DuniaTanzania
New Member
- Jul 28, 2021
- 3
- 9
Watanzania wapambanaji wenzangu habari.
Moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Binafsi nimekuwa nakereka na tabia ya baadhi y watanzania wenzetu ambao wamegeuza maeneo ya kupumzika,majengo ya abiria na vyombo vya usafiri kama sehemu ya kufanyia mahubiri au mtangazo ya dini.
Hii imekuwa too much sana,naelewa katiba inatoa haki ya kila mtz kuabudu apendapo lakini sina hakika kama inatoa mwanya wa ku'interfere utulivu wa wengine kisa unaeneza dini yako mahali ambapo kuna watu wengi wenye itikadi tofauti na yako.
Mbaya kuliko zote ni kuwa wahubiri hawa wamekuwa wakifanya hivyo maeneo ambayo sidhan kama ni sahihi!Nadhan maeneo kama vituo vya mabasi au katika vyombo vya usafiri na mahali penye mikusanyiko ya watu isiyo ya kidini si mahali sahihi pa kuhubiria.
Nnajua kuwa baadhi au wengi wao ni wanatumwa na vyombo maalumu ili kunusanusa(!) lakini hii imekuwa kero sasa.
Napendekeza watu hao wangekuwa wanatoa elimu juu ya maliasili,haki,historia nk kuhusu nchi yetu.Bahati mbaya sana wanaendeleza kuwajaza watu wetu mapokeo ambayo sidhan kama yana tija.