Hili jinamizi la utanganyika linawasumbua sana watu!
Rais wa nchi hiyo (Tanganyika) ni nani?
Kimsingi Tanzania ndio Tanganyika na siku Muungano ukivunjika basi tutaendelea na jina la Tanzania kwa maana ya Tanganyika + Azania (a country spanning from lake Tanganyika to the coast of Indian ocean which is called Azania) which as well include Tanga and all plains (Nyika) like serengeti, Selous plains, savana zote za central regions na mambo lukuki ; upo hapo????
mkuu, kwa hiyo kumbe jina la zanzibar halikuingia kwenye jina la tanzania? basi huu muungano ni feki.
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !
Hakuna Nchi inaitwa Tanganyika Duniani.
Hiyo kaitafute makumbusho ya Taifa.
Shakespear katika kitabu chake cha comedy of errors kuna Character kama wewe. Nakuona unaishi katika ile.nchi ya kitabu cha Shaaban Robert - Kusadikika
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !
Hili jinamizi la utanganyika linawasumbua sana watu!
mimi sio mtanganyika,
sikuzaliwa Tanganyika,
maana ya neno Tanganyika, siijui,
Tanganyikailitoka wapi, sijui,
ilibatizwa jina na nani, sijui
nilizaliwa Tanzania,
nilizaliwa Afrika
nilizaliwa duniani
nlizaliwa na mwanadamu
kwa hiyo;
mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mdunia
mimi ni mwanadamu
maana ya Tanzania, najua
maana ya Afrika, najua
maana ya Dunia, najua
maana ya mwandamu, najua
nawauliza wazanzibari,
nini maana ya Zanzibari,
nani aliipa jina Zanzibari,
kwa nini wajivunie uzanzibari?
kwa nini wasijivunie utanzania?
Mwisho utakuja kutuambia kwamba wewe si mnyakyusa , kisa eti umezaliwa Dar es salaam tena unajivuna kabisa nimezaliwa Ocean Road!!!Wewe ndo utadumisha Tanzania,i hate this name Tanzania b'coz it contain a portion of Zenjibar which does not exist here in Tanganyika,long live Tanganyika!
Mimi ni MTANGANYIKA ..Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
Mm ni Mtanzania bhana