Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Jina Tanganyika halikubaliki...! Hata kama hao wenzentu wataamua kututenga kamwe tusiruhusu kuangukia kwenye mtego wao
Wewe hujaelewa mada au hujui historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar!
 
Tanganyika alipotelea ughaibuni tuu tukafikili alisha kufa!
Mwadera kawiza kinehe mayo huyo alishakufaga banaa tukubali tu..... wandugu labda useme tuchunguze kifo chake au tutafute upelelezi juu ya mauti ya marehemu. Hata kidogo hakupotea kama kwaida ya serkali ya awamu ya kwanza kuweka watu kiziuzini (detention)labda alikufiyemo humo. lakini haturudi nyuma tena Go Tz go!Mwangaluka kwa heri wajamaani.LONG LIVE TANZANIA.
 
Tanganyika lazima itambulike kama nchi kama ilivyo Zanzibar. Kuna baadhi ya mashirika na taasisi bado zinaitambua na kuheshimu Tanganyika mfano TFA = Tanganyika Farmers Associaton, Tanganyika Law Society, Tanganyika Bus n.k.
 
Tanganyika is abundantly blessed! Lkn kikundi cha watu wachache kiitwacho ccm ndo kimeharibu na kuifilisi km sio ku plunder rasilimali za nchi hii
 
mkuu kwani tanzania maana yake nini!?
 
The name "Tanganyika" is derived from the Swahili words tanga ("sail") and nyika ("uninhabited plain", "wilderness"). It might, therefore, be understood as a description of using Lake Tanganyika: "sail in the wilderness".[SUP][1][/SUP]
 
The name "Tanganyika" is derived from the Swahili words tanga ("sail") and nyika ("uninhabited plain", "wilderness"). It might, therefore, be understood as a description of using Lake Tanganyika: "sail in the wilderness".[SUP][1][/SUP]

that is according to the english dictionally, i gave a homework up here! ask the germans how do they define the same name!
 
KASIMBA maana ya jina haitokani na lugha ingine bali na lugha iliyotumika kuliunda il jina not otherwise kwao inaweza wakarelate tuu na haitaleta maana yoyote
 
I like Tanganyika - the blessed land full of minerals and soil fertility. Naunga sana mkono iwe ni TANGANYIKA.
 
Baba wa muungano ni Tz bara na jina la Tanzania ni jina la ubatizo la Tanganika kwani kule visiwani panaitwa Zanzibar na kule UN wanatambua Tanzania sasa Kama zenji ikitokea wakajitenga jina la Tanzania litabakia huku kwenye watu million 44 wale watu million 1.5 watabaki na jina Zanzibar
 

Tanganyika lazima itambulike kama nchi kama ilivyo Zanzibar. Kuna baadhi ya mashirika na taasisi bado zinaitambua na kuheshimu Tanganyika mfano TFA = Tanganyika Farmers Associaton, Tanganyika Law Society, Tanganyika Bus n.k.


Tafadhali msinielewe vibaya ndugu zangu. Kwa siku karibu nne nimejishughulisha sana na hili jambo la Muungano wetu humu JamiiForum. Hata sina hakika kama najua kwanini limenihusu sana jambo hili. Nimejibizana na Wazanzibari wengi humu ndani na kujifunza kitu naomba tafadhali niwashirikishe ni kipi nimejifunza humu.

Wazanzibari wanasumbuliwa na shida mbili katika muungano: Hofu ya kupoteza culture yao ya Uislamu, na hali duni ya kiuchumi ambapo vyote viwili wanadhani vimeletwa na Muungano. Lakini nataka niseme hivi: Nimejifunza humu JF pia, kwamba wapo Wazanzibari ambao wanawahesabu watu wa bara ni ndugu zao, na wanalipokewa kabisa wazo la serikali moja. Ila sauti zao zipo chini hazisikiki kama zile za wanaokataa na kupayuka hovyo.

Kumbukeni ndugu zangu mara nyingi sana hutokea sauti ndogo ndiyo sauti ya amani. Nadiriki kusema Tanganyika tunaitaka kwa hasira ya kusumbuliwa sana na wapigakelele wa Zanzibar. Lakini nimejifunza kuwa Si wazanzibari wote wanaafikiana na kelele hizo. Hizi kelele linaweza likawa jaribu tu kupima udugu wetu katika taifa hili.

Tukizungumza namna ya kuyaelekea mahusiano ya dini zetu na jinsi ya kupunguza umaskini katika nchi yetu, unaweza ukute hasira hizi hazina maana kabisa. Naipenda Tanganyika yangu sana, lakini Tanzania tulivu yenye upendo na kuvumiliana katika imani zetu ni nzuri pia.
 
Wadanganyika kama mliweza kuizika tanganyika hai kwa ujinga wa mtu mmoja basi jiandaeni kuizika tanzania mfu.
 
Wewe hujaelewa mada au hujui historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar!

Mkuu nina hakika wewe utakuwa umesoma post moja hiyo uliyo nukuu...kama ungefuatilia jinsi tulivyokuwa tunaeleweshana na Kasimba G katika huzi huu wala husinge lalamika hivi
 
Last edited by a moderator:
KASIMBA maana ya jina haitokani na lugha ingine bali na lugha iliyotumika kuliunda il jina not otherwise kwao inaweza wakarelate tuu na haitaleta maana yoyote

kwanza nikujuze kitu! wajerumani au hata wanyakyusa kama wewe unaweza tohoa neno sehemu nyingine na ukatumia kwa maana nyingine kabisa, mfano neno tapeli ukihusanisha na mji wa Taiwan lakini kwa maana ya laghai huku kwetu!
 
Tanganyika Tanganyika,
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanganyika,
Jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuwaza wewe,
Niamkapo ni heri mama weee,
Tanganyika Tanganyika
Jina lako ni tamu sana.

Three, four, start
 
Wadanganyika kama mliweza kuizika tanganyika hai kwa ujinga wa mtu mmoja basi jiandaeni kuizika tanzania mfu.
Sisi ni waelevu zaidi yenu, suala si ni kipato? Mnapata kiasi gani?
 
Tanganyika Tanganyika,
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanganyika,
Jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuwaza wewe,
Niamkapo ni heri mama weee,
Tanganyika Tanganyika
Jina lako ni tamu sana.

Three, four, start

great!
 
Haya niliyaandika kwingine , nayarudia hapa:

Utumwa huo pimbi wewe.. Unakataa mpaka jina lako u ajipendekeza na na sisi.. Au unapenda hiyo zannnnn huh.... Aibu mtu mzima hiyo wacga kukataa unyika wako huo.. Jina limekaa kimsitu msitu kinoma mpaka mwenyewako unaliogopa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…