.......
Lakini research hii ya kusema jina la Tanzania ni la laana (kama nimekunuu sawasawa) huku Tanganyika ni jina la baraka nina mashaka nayo. Binafsi "baraka" inayolenga kuwagawa waafrika tena wakati huu ambao tunaanza kujitambua naipinga waziwazi na ki-ukweli si hitaji kamwe. Nina imani pia kuwa na wewe hauko tayari kuona Waafrika wanarudishwa nyuma kwa jengewa mazingira ya kubaguana.
Ni hayo mkuu.
Ki historia wakati ujerumani inajigawia Tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea Tanganyika?
Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.
Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia Tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, Tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi waTanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.
Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na Mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!
Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa Mungu!
God bress Tanganyika, God bress Africa!
kwa mjerumani Tanganyika
manayake the land of minerals, fertile land! unalijua hilo?
sasa jina zuri hilo unalifuta kwa jina hamnazo au nothing? is it fair,
say mtoto wako umemname kwa jina Tajiri then babu yake aje ampe jina
masikini utaridhika au utaanzisha tifu?
Inakupasa urudie kuandika mchango wako na uweke "l" mahala pa "r" na kinyume chake.
Mfano uandike Ujelumani badala ya Ujerumani
lahisi - rahisi, kujiuriza - kujiuliza
Kama bress badala ya bless.
Naam! Kuna mwandishi mahiri wa zamani aliyeuliza " kuna nini katika jina" (What's in a name?) Na ndio sababu issue hii inazungumzwa kwa hisia zinazokinzana kwa kiwango kikubwa. Kuna nini katika jina Tanganyika? Kuna nini katika jina Tanzania? Hoja na haja yetu ni nini? Utambulisho? Urithi? Sifa? Amani ya akili na Rohoni?
Inakupasa urudie kuandika mchango wako na uweke "l" mahala pa "r" na kinyume chake.
Mfano uandike Ujelumani badala ya Ujerumani
lahisi - rahisi, kujiuriza - kujiuliza
Kama bress badala ya bless.
Naam! Kuna mwandishi mahiri wa zamani aliyeuliza " kuna nini katika jina" (What's in a name?) Na ndio sababu issue hii inazungumzwa kwa hisia zinazokinzana kwa kiwango kikubwa. Kuna nini katika jina Tanganyika? Kuna nini katika jina Tanzania? Hoja na haja yetu ni nini? Utambulisho? Urithi? Sifa? Amani ya akili na Rohoni?
Ohh masikini jamanii Tulisha mzika marehemu, Na leo baada ya nusu karne wanataka kumfufua !! Sijui watakuta maiti ipo haligani??? Nasikitika na simanzi juu ya msiba wake( Tanganyika alikufa zamani na tukafuta kumbukumbu zake zote) wakuu tuache tafrani hizi siye tupo live TANZANIA na tuishi na Tanzania asilimia 90% wamezaliwandani ya Tanzania wanaijua zaidi kuliko TG. Tuwe watu wenye kuendeleza mbele na siyo kurudisha gurudumu na historiya nyuma. hata zije nchi kumi na ziondoke nchi 10 Tanzania itabaki TANZANIA.God bless Tanzania na watu wake.Pamoja tujenge taifa letu.
nadhani umeielewa hoja, kwa mtazamo wangu kwenye Tanzania kuna, uongo, wizi, uvivu, upole uliokithili, uvivu wa kufikili, woga na mengi mengine mabaya, Tanganyika is the bressed land!
Kaka Kasimba...heshima yako! Huoni kama unaikatisha tamaa jamii ya JF na Watanzania kwa tafsiri hiyo? Kubwa zaidi kwa mtazamo wako huu unatueleza kuwa mabadiliko chanya na muafaka ni kupitia matumizi ya jina Tanganyika? Wengi tuna imani kuwa nchi hii bado ni ya matumaini, asali, maziwa na utajiri wa kutosha.
ki historia wakati ujerumani inajigawia tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea tanganyika?
Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.
Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi watanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.
Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!
Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa mungu!
God bress tanganyika, god bress africa!
Haya niliyaandika kwingine , nayarudia hapa:
kwa bahati nzuri Mungu kanijalia utafiti, can i give you a home work? ongea na mjerumani akuambie maana ya Tanganyika then you will know what i mean! Tanganyika is the blessed name, land!