Nchi yetu imeshakuwa ‘Taifa la Propaganda’

Nchi yetu imeshakuwa ‘Taifa la Propaganda’

Propaganda huwa na affection kubwa kwa wapumbavu.
Rejea maana ya mpumbavu with relation to country's leadership.

Napita hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli wala sibishi uwezi linganisha kila mtu anachangamoto tofauti. The point I was making ni kuhusu madai ya kuwa Tanzania aiwezi kuwa financial stable kushinda Kenya kama mleta mada alivyo imply hivyo serikari iache propaganda. Ndio lengo la kuonyesha Kenya ina matumizi makubwa kuliko Tanzania ya dollar and yet Tanzania ina afadhali ya makusanyo kushinda Kenya ya dollar sasa atasemaje atuwezi kuwashinda reserves ya hiyo currency.

Ukirudi Tanzania pia kuna matatizo yake nchi ilukuwa imejaa ufisadi ambao ilikuwa inachochea ukuwaji na mzunguko wa pesa, biashara zingine kushamiri kwa sababu watu walikuwa awalipi kodi, etc. Serikari makini aiwezi kuwacha hela zake zipotee wakati wanamajukumu ya kufanya investment ya mazingira yenye kuvutia wawekezaji, wanajukumu la kuinvest kwenye merit goods ambazo bila yao wengine awatowekeza and so forth.

Namna pekee ya kuongeza kasi ya uwekezaji huo ilikuwa ni kuzuia ubadhirifu na matumizi ya ovyo ya hela zake ndio walichokifanya na sidhani kama ni sahihi kupinga hatua hizo, Tatizo lililo jitokeza katika harakati hizo ni wataalamu kutumia nguvu hasa kwenye madai ya kodi na kutofanya re investment sahihi za kubakiza mzunguko wa pesa hiyo ndio technical mistake waliyofanya na wala sishangai revision ya IMF maana ata bank data zina ashiria kupungua kwa mikopo ya biashara (but that is for the government to argue their case).

Lakini sasa sio kuponda as if watu hatua walizochukua ilikuwa kubomoa wakati ni ajali tu kazini, isitoshe miradi mingi inayofanywa na serikari ikikamilika italeta faida na kuongeza kasi ya ukuaji
Your points look relatively good. Nonetheless, you're suffering from a "wrong blaming zone" problem, tatizo ambalo ni zao au chanzo cha tatizo analolizungumzia mtoa mada. Tunaelewa vizuri kuwa ugumu wa state intervention kwenye uchumi. Nguvu kubwa ya propaganda inayotumika ni ili ku-justify "wŕong interventions" walizofanya na/au wanazoendelea kufanya kwenyè uchumi.

Hata kama kulikuwa na policy mismanagement katika uchumi, lkn interventions zinazofanywa kwa sasa hazina any future prospects katika afya ya uchumi wetu. Haziko planned wala organized towards economic health.
 
Tanzania exported $5.3B and imported $8.17B, resulting in a negative trade balance of $2.88B.
source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/tza/

Kenya exported $6.17B and imported $17.1B, resulting in a negative trade balance of $11B
Source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/ken/

Tanzania tourism receipts were 2.157 USD bn in 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/tanzania/tourism-statistics/tz-international-tourism-receipts

Kenya's Tourism Revenue reached 2 USD bn in Dec 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/indicator/kenya/tourism-revenue

Not good but Tanzania credit rating according to Moody's is B1
Source https://www.reuters.com/article/tan...dys-for-negative-rating-outlook-idUSL5N1QN4U8

Even worst is the Kenyan credit rating given by the same agency (Moody's) B2
https://www.ft.com/content/c145f044-16f5-11e8-9e9c-25c814761640
..........................................................................................................................................................................................................

That is to say ingawa wote Tanzania na Kenya hoe hae, hila Tanzania is more financial stable kushinda Kenya all the indicators shows that.

Hizo takwimu kuhusu Kenya sio sahihi hata kidogo na tatizo ni hiyo source

Kenya hawawezi kuwa na export ya 6 billion USD hata siku moja, ni kubwa kuliko hiyo
 
Mkuu Propaganda hazijaanza leo hii nchi, Pengine mumesahau Tumekulia tukiamininishwa kua Mwalimu ni Mtukufu
 
Tanzania exported $5.3B and imported $8.17B, resulting in a negative trade balance of $2.88B.
source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/tza/

Kenya exported $6.17B and imported $17.1B, resulting in a negative trade balance of $11B
Source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/ken/

Tanzania tourism receipts were 2.157 USD bn in 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/tanzania/tourism-statistics/tz-international-tourism-receipts

Kenya's Tourism Revenue reached 2 USD bn in Dec 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/indicator/kenya/tourism-revenue

Not good but Tanzania credit rating according to Moody's is B1
Source https://www.reuters.com/article/tan...dys-for-negative-rating-outlook-idUSL5N1QN4U8

Even worst is the Kenyan credit rating given by the same agency (Moody's) B2
https://www.ft.com/content/c145f044-16f5-11e8-9e9c-25c814761640
..........................................................................................................................................................................................................

That is to say ingawa wote Tanzania na Kenya hoe hae, hila Tanzania is more financial stable kushinda Kenya all the indicators shows that.

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom