Nchi yetu imeshakuwa ‘Taifa la Propaganda’

Kutangulia sio kufika if anything Kenya walitakiwa wawe mbali asilimia kubwa ya viwanda walivyoachiwa na mkoloni bado vipo, (kutokana na vigezo vya inflow and outflow ya uchumi, hizo ndio advantage pekee walizonazo zidi yetu). Unlike us tulivyojenga tumeshaua kwa ivyo walikuwa wana advantage ni sawa na kuanza mashindano ya mita mia mwenzako kasimama mita ishirini mbele halafu mjifananishe.

Lakini kwa sasa tunakwenda indicators zote sahihi zipo upande wa Tanzania, pamoja na changamoto za nchi ambazo kuna mijitu kila siku inakimbiza potential investors kwa maswala ambayo hayana kichwa wala miguu na washauri ambao utaalamu wao una mashaka.

Lakini hili aliondoi ukweli raisi anapambana kwa upande wake na yeye si mtaalamu kila sehemu, mtu yeyote makini alijua hatua za awali za serikari ya tano zitaathiri ukuaji wa uchumi mbeleni, yale yalikuwa maamuzi ya wataalamu kwa mujibu wa nafasi zao. Na walipokuwa wanaanza tu sie tuliokuwa tunapiga makelele December 2015 what will happen mbeleni ndio tunaonekana waropakaji with time watajifunza unaona kabisa wanaanza kuwa waoga wanaonza ni swala la kurudisha investment confidence za ndani bila ufisadi maana nalo lilikuwa tatizo.

Lakini by any means Tanzania ina stability ya foreign currency kushinda Kenya kilichokesana hapo ni kujua kiasi cha FDI kilichopo kati yao na kwetu lakini kwa data za inflow and outflow za uchumi we are better off na lenders wanatuweka sisi juu ya Kenya in terms of stability ya kulipa madeni yetu.
Kwako wewe , upuuzi ulikuwa huko nyuma kabla ya 2015 October 25 sio? You are very wrong. Halimbovu ipo na inaendelea kuwa mbovu zaidi. Angalia report ya CAG ya toka 2016/17 utajua kuwa viashiria vinaonyesha hadi 2020 tutakuwa chini zaidi.
 
Tunaelekea kwenye "The total economic collapse" na wale wenye mashaka wasubiri miezi kadhaa kabla mwaka haujaisha.

Inavyoonyesha serikali inakosa udhibiti wa uchumi kadri siku zinavyozidi kwenda na huku propaganda za kisiasa zikichukua nafasi.

Uchumi ni pure science, huwezi kuendesha uchumi kwa huu usanii wa kubumba takwimu. It simply can't help you. Time will prove them wrong.
 
Its economic forecast same trend analysis walizotumia kusema uchumi utakuwa kwa kiasi fulani zinaweza tumika kusema vingine, depending on the model of their forecast and what not was included.

Sasa aina maana their argument cannot be disputed, source ya IMF data ujue ni NBS ya Tanzania na serikari pia inaweza kuwa na model yake ask any economist he will tell you GDP can easily be influenced inategemea mpigaji kaweka nini kaacha nini.

Lakini linapokuja swala la mkopo hilo halina mjadala utapigiwa hesabu za ratio hapo based on evidence zako za madeni yako na makusanyo yako, na hao jamaa Moody's sikia wakisema rate yako ni hiyo hakuna investors ataenda kinyume nao wao. As yet they think Tanzania is in better financial position kushinda Kenya.
Tume kuzoeeni. Ndo propaganda zenyewe hizi.
Haliilivyo mtaani hatuna Sabah ya kutumia hizo models zenu. Hali ya uchumiimeshuka sana kwa mtu mmojammoja.
 
Kutangulia sio kufika if anything Kenya walitakiwa wawe mbali asilimia kubwa ya viwanda walivyoachiwa na mkoloni bado vipo, (kutokana na vigezo vya inflow and outflow ya uchumi, hizo ndio advantage pekee walizonazo zidi yetu). Unlike us tulivyojenga tumeshaua kwa ivyo walikuwa wana advantage ni sawa na kuanza mashindano ya mita mia mwenzako kasimama mita ishirini mbele halafu mjifananishe.

Lakini kwa sasa tunakwenda indicators zote sahihi zipo upande wa Tanzania, pamoja na changamoto za nchi ambazo kuna mijitu kila siku inakimbiza potential investors kwa maswala ambayo hayana kichwa wala miguu na washauri ambao utaalamu wao una mashaka.

Lakini hili aliondoi ukweli raisi anapambana kwa upande wake na yeye si mtaalamu kila sehemu, mtu yeyote makini alijua hatua za awali za serikari ya tano zitaathiri ukuaji wa uchumi mbeleni, yale yalikuwa maamuzi ya wataalamu kwa mujibu wa nafasi zao. Na walipokuwa wanaanza tu sie tuliokuwa tunapiga makelele December 2015 what will happen mbeleni ndio tunaonekana waropakaji with time watajifunza unaona kabisa wanaanza kuwa waoga wanaonza ni swala la kurudisha investment confidence za ndani bila ufisadi maana nalo lilikuwa tatizo.

Lakini by any means Tanzania ina stability ya foreign currency kushinda Kenya kilichokesana hapo ni kujua kiasi cha FDI kilichopo kati yao na kwetu lakini kwa data za inflow and outflow za uchumi we are better off na lenders wanatuweka sisi juu ya Kenya in terms of stability ya kulipa madeni yetu.
Taarifa yako ni ya 2016, I think by then we were doing a bit good, hayo ni mabaki ya JK, kwa sasa worse comes to worse!!!

Mtoa Maada yupo right, nilimsikia Mkuu sikumoja ati alikuta sukari kilo tsh 5000/-, do they think everyone is stupid?

Propaganda is at its climax! Ni tatizo kama huoni ni wewe tuu!
 
Hivi siku hizi hakuna waandishi wa habari wa kuuliza maswali ya msingi? Au wanaongea tuu hawaruhusu maswali?
 
Ngoja waje vijana wa Lumumba uone watakavyokuzodoa...

Viongozi wetu wako bize na kina Piere Konki kujiweka juu kileleni... afu mtu makini kama Prof Assad anaonekana si lolote...

Wabunge wetu makini ndo kina Msukuma na Lusinde.... Aliyetuloga sijui kajificha wapi.
Mwenge unaokimbizwa kila sehemu ya nchi hii
 
Nilisoma kwenye gazeti la Kiswahili kuwa gavana wa Banki kuu Prof. Florens Luoga akisema uchumi wetu unakua vizuri na tuna akiba kubwa ya USD 5.0 Billions na hii itatosha kuendesha nchi kwa miezi mitano bila ya nchi kukusanya kodi au watu kufanya kazi, siku hiyo hiyo Rais Magufuli akatamka maneno hayo hayo.

Ninamfahamu Prof. Luoga kama mwalimu wangu na mkuu wa Chuo wakati nikisoma, nilimuona kama mtu mwenye credibility kubwa kwenye jamii ila kilichonishangaza aidha kwa kutojua au kwa makusudi alinishangaza aliposema kuwa hiyo akiba ya fedha za kigeni ni kubwa kuliko akiba ya nchi za Africa Mashariki! Ilishangaza sana.....

Sikutaka kushangaa zaidi hivyo nilienda kwenye website ya Central Bank of Kenya na kuangalia reserve ya siku hiyo.

Kifupi tu ni kwamba hatujawahi kuwa na akiba kubwa ya pesa za kigeni kuishinda Kenya kwa sababu Kenya wana tax base kubwa na kodi zao zinalipika tofauti na kwetu ambapo ni wachache tu wanaolipa kodi lakini wanakamuliwa kodi kubwa zisizolipika.

Namwelewa Dr. Patrick Ngugi Njoroge (Gavana wa Central Bank of Kenya) kama mtu makini sana, mchumi mzuri wa IMF, si hivyo tu huyu gavana pia kwa kiasi kikubwa aliaminika na Umoja wa Mataifa hadi kuchaguliwa mwenyekiti wa U.N Task force ya mambo ya Digital Financing ya SDG mwaka jana akiwa bado Gavana...Ningeweza kumfananisha na Prof. Assad kwa uchapaji kazi wake au kama Prof. Benno Ndullu kabla ya kuchanganya professional yake na siasa!

Wakati gavana wetu, Prof. Luoga mwalimu wangu wa Tax Law akisema tunayo akiba kubwa ya kutosha miezi mitano bila kufanya kazi ya USD Billions 5.0 niliamua kucheki akiba waliyonayo wenzetu wa kaskazini kwetu, Kenya. Akiba waliyonaya Kenya kwenye Banki kuu yao ilikuwa USD. 8.8 Billions na haijawahi kushuka kufika Billioni 7 au chini, sisi akiba yetu ya miezi mitano haijawahi kuvuka USD 5.8 Billions kwa kipindi tajwa sasa leo professor wa Tax Law na gavana wa banki kuu atasema vipi kitu ambacho si sahihi??? Leo tutamwamini vipi mtu kama huyo? Hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kushindwa kujua ipi ni kubwa kati ya 5 na 8.8!
Je ni utamaduni wetu kudanganya?

Katika kipindi hiki tangu aingie rais Magufuli mbona Propaganda zimekuwa nyingi...Kuna kitu wanaficha au wanataka wasifiwe hata kama hawastahili sifa? Sijasema wakati wa Kikwete hakukuwa na hizi propaganda, la hasha zilikuwepo ila hazikuwa nyingi hivi na za kijinga jinga kama za wakati huu, Sishangai kusikia rais mwenyewe alijifanya kushangaa kutekwa kwa Mo Dewji na wazungu wabantu na sarakasi nyingi na maigizo mengi yaliyofuata baadaye.

Ukienda Youtube utakutana na propaganda za akina Musiba anachoongea hakina sense ila ni comedy...Akili ndogo zinazoendelea kumtuma akaongee senseless zinashangilia. Akitukana, kuchafua wengine, kuropoka nk kwa hao anaonekana shujaa. Kweli Taifa letu limepotea!

Mambo madogo madogo ya “Dr. Shika” yanapewa kipaumbele.......watu wanasahau mambo ya msingi kuhusu maisha ya watanzania. Madawa hayapo, yaliyopo aidha yameisha muda wake au hayafai kwa matumizi ya binadamu (Refer: Report ya CAG), bajeti ya afya imetekelezwa kwa asilimia chini ya 40, bajeti ya dawa kwa asilimia 16. Wao wanapelekwa India, Africa kusini na nchi nyingine vipi Watanzania kama mimi na wewe ambao baba na babu zetu hawakuwa na nafasi serikalini....Si tutaishia hospitali za wilaya ambazo kwanza kulazwa hapo unatoka na ugonjwa mwingine, badala ya kupona unapata magonjwa mengine? Ni nini kinashindwa kuboresha huduma za afya angalau zikafanywa universal, tukose mengine yote lakini tuwe na haki ya kuishi?

Nchi ni yetu sote, Watanzania tuna akili za kuweza kutambua tunakoelekea, leo hii uchumi wetu unaenda kwenye asilimia 4 kutoka 7.2% halafu watu na akili zao watakwambia ni kitu cha kawaida kwa vile hata Marekani uchumi wake unakua kwa asilimia 2....Kweli hata akili za utambuzi mdogo tu hakuna? Ni wapi wamesikia uchumi wa nchi za dunia ya kwanza unakuwa kwa asilimia 7? wasomi wetu wanashindwa kuelewa hata hilo..Ndiyo maana wajenzi wa TBA kwenye hosteli za Chuo Kikuu walisema kuwa eti ile mipasuko ya kuta Expansion joint.....Sawa ni expansion joint sasa ilikuwaje mlikimbilia kuziziba?

Inabidi tuangalie kama elimu yetu inatosha na inasaidia kunyanyua taifa letu maana yanayofanyika sasa yanashangaza.
Duuh
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana ila hii nchi mimi nalilaumu jeshi kukubali siasa chafu angalia Sudan jeshi lilivyosimama na wananchi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi hukawii kuambiwa unaibagaza nchi.
 
Ni kweli mkuu nchi yetu imejaa propaganda za kishenzi sana kuanzia watu wa kawaida mpka viongozi, uongo uongo kila mahali hii hua inanikera sna yan mfano tu kwenye daladala konda anakwambia ingia ukae siti zipo za kutosha ukiangalia hakuna siti na watu kibao wamesimama yaan upuuzi upuuzi mwingi.

Na hii inarudisha nyuma maendeleo ya taifa hasa inapofanyika kwenye mambo ya msingi ya taifa.

Hakuna uwazi kabsa siku hizi.
Hivi hii nayo ni uongo au ni ujinga wa anayepanda? Au hao watu waliosimama unawaona baada ya kuingia kwenye gari?
 
Shida ni CCM,hiki chama ni mtambo wa kuconfuse watanzania ili wale wachache walinde makaburi yao
Nilisoma kwenye gazeti la Kiswahili kuwa gavana wa Banki kuu Prof. Florens Luoga akisema uchumi wetu unakua vizuri na tuna akiba kubwa ya USD 5.0 Billions na hii itatosha kuendesha nchi kwa miezi mitano bila ya nchi kukusanya kodi au watu kufanya kazi, siku hiyo hiyo Rais Magufuli akatamka maneno hayo hayo.

Ninamfahamu Prof. Luoga kama mwalimu wangu na mkuu wa Chuo wakati nikisoma, nilimuona kama mtu mwenye credibility kubwa kwenye jamii ila kilichonishangaza aidha kwa kutojua au kwa makusudi alinishangaza aliposema kuwa hiyo akiba ya fedha za kigeni ni kubwa kuliko akiba ya nchi za Africa Mashariki! Ilishangaza sana.....

Sikutaka kushangaa zaidi hivyo nilienda kwenye website ya Central Bank of Kenya na kuangalia reserve ya siku hiyo.

Kifupi tu ni kwamba hatujawahi kuwa na akiba kubwa ya pesa za kigeni kuishinda Kenya kwa sababu Kenya wana tax base kubwa na kodi zao zinalipika tofauti na kwetu ambapo ni wachache tu wanaolipa kodi lakini wanakamuliwa kodi kubwa zisizolipika.

Namwelewa Dr. Patrick Ngugi Njoroge (Gavana wa Central Bank of Kenya) kama mtu makini sana, mchumi mzuri wa IMF, si hivyo tu huyu gavana pia kwa kiasi kikubwa aliaminika na Umoja wa Mataifa hadi kuchaguliwa mwenyekiti wa U.N Task force ya mambo ya Digital Financing ya SDG mwaka jana akiwa bado Gavana...Ningeweza kumfananisha na Prof. Assad kwa uchapaji kazi wake au kama Prof. Benno Ndullu kabla ya kuchanganya professional yake na siasa!

Wakati gavana wetu, Prof. Luoga mwalimu wangu wa Tax Law akisema tunayo akiba kubwa ya kutosha miezi mitano bila kufanya kazi ya USD Billions 5.0 niliamua kucheki akiba waliyonayo wenzetu wa kaskazini kwetu, Kenya. Akiba waliyonaya Kenya kwenye Banki kuu yao ilikuwa USD. 8.8 Billions na haijawahi kushuka kufika Billioni 7 au chini, sisi akiba yetu ya miezi mitano haijawahi kuvuka USD 5.8 Billions kwa kipindi tajwa sasa leo professor wa Tax Law na gavana wa banki kuu atasema vipi kitu ambacho si sahihi??? Leo tutamwamini vipi mtu kama huyo? Hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kushindwa kujua ipi ni kubwa kati ya 5 na 8.8!
Je ni utamaduni wetu kudanganya?

Katika kipindi hiki tangu aingie rais Magufuli mbona Propaganda zimekuwa nyingi...Kuna kitu wanaficha au wanataka wasifiwe hata kama hawastahili sifa? Sijasema wakati wa Kikwete hakukuwa na hizi propaganda, la hasha zilikuwepo ila hazikuwa nyingi hivi na za kijinga jinga kama za wakati huu, Sishangai kusikia rais mwenyewe alijifanya kushangaa kutekwa kwa Mo Dewji na wazungu wabantu na sarakasi nyingi na maigizo mengi yaliyofuata baadaye.

Ukienda Youtube utakutana na propaganda za akina Musiba anachoongea hakina sense ila ni comedy...Akili ndogo zinazoendelea kumtuma akaongee senseless zinashangilia. Akitukana, kuchafua wengine, kuropoka nk kwa hao anaonekana shujaa. Kweli Taifa letu limepotea!

Mambo madogo madogo ya “Dr. Shika” yanapewa kipaumbele.......watu wanasahau mambo ya msingi kuhusu maisha ya watanzania. Madawa hayapo, yaliyopo aidha yameisha muda wake au hayafai kwa matumizi ya binadamu (Refer: Report ya CAG), bajeti ya afya imetekelezwa kwa asilimia chini ya 40, bajeti ya dawa kwa asilimia 16. Wao wanapelekwa India, Africa kusini na nchi nyingine vipi Watanzania kama mimi na wewe ambao baba na babu zetu hawakuwa na nafasi serikalini....Si tutaishia hospitali za wilaya ambazo kwanza kulazwa hapo unatoka na ugonjwa mwingine, badala ya kupona unapata magonjwa mengine? Ni nini kinashindwa kuboresha huduma za afya angalau zikafanywa universal, tukose mengine yote lakini tuwe na haki ya kuishi?

Nchi ni yetu sote, Watanzania tuna akili za kuweza kutambua tunakoelekea, leo hii uchumi wetu unaenda kwenye asilimia 4 kutoka 7.2% halafu watu na akili zao watakwambia ni kitu cha kawaida kwa vile hata Marekani uchumi wake unakua kwa asilimia 2....Kweli hata akili za utambuzi mdogo tu hakuna? Ni wapi wamesikia uchumi wa nchi za dunia ya kwanza unakuwa kwa asilimia 7? wasomi wetu wanashindwa kuelewa hata hilo..Ndiyo maana wajenzi wa TBA kwenye hosteli za Chuo Kikuu walisema kuwa eti ile mipasuko ya kuta Expansion joint.....Sawa ni expansion joint sasa ilikuwaje mlikimbilia kuziziba?

Inabidi tuangalie kama elimu yetu inatosha na inasaidia kunyanyua taifa letu maana yanayofanyika sasa yanashangaza.
 
Ngoja waje vijana wa Lumumba uone watakavyokuzodoa...

Viongozi wetu wako bize na kina Piere Konki kujiweka juu kileleni... afu mtu makini kama Prof Assad anaonekana si lolote...

Wabunge wetu makini ndo kina Msukuma na Lusinde.... Aliyetuloga sijui kajificha wapi.
Na ndo wsnaokataa kuambiwa dhaifu. Mwenyezi atutoe kwenye hili giza nene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania exported $5.3B and imported $8.17B, resulting in a negative trade balance of $2.88B.
source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/tza/

Kenya exported $6.17B and imported $17.1B, resulting in a negative trade balance of $11B
Source https://atlas.media.mit.edu/en/profile/country/ken/

Tanzania tourism receipts were 2.157 USD bn in 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/tanzania/tourism-statistics/tz-international-tourism-receipts

Kenya's Tourism Revenue reached 2 USD bn in Dec 2016
Source https://www.ceicdata.com/en/indicator/kenya/tourism-revenue

Not good but Tanzania credit rating according to Moody's is B1
Source https://www.reuters.com/article/tan...dys-for-negative-rating-outlook-idUSL5N1QN4U8

Even worst is the Kenyan credit rating given by the same agency (Moody's) B2
https://www.ft.com/content/c145f044-16f5-11e8-9e9c-25c814761640
..........................................................................................................................................................................................................

That is to say ingawa wote Tanzania na Kenya hoe hae, hila Tanzania is more financial stable kushinda Kenya all the indicators shows that.
Ukweli ni kwamba Tanzania haiwi tajiri kutokana na umaskini wa Kenya. Tourism ya Kenya iliathiriwa kwa kiasi kikubwa sana na matokeo ya ugaidi kwa miaka ya karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Tanzania haiwi tajiri kutokana na umaskini wa Kenya. Tourism ya Kenya iliathiriwa kwa kiasi kikubwa sana na matokeo ya ugaidi kwa miaka ya karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli wala sibishi uwezi linganisha kila mtu anachangamoto tofauti. The point I was making ni kuhusu madai ya kuwa Tanzania aiwezi kuwa financial stable kushinda Kenya kama mleta mada alivyo imply hivyo serikari iache propaganda. Ndio lengo la kuonyesha Kenya ina matumizi makubwa kuliko Tanzania ya dollar and yet Tanzania ina afadhali ya makusanyo kushinda Kenya ya dollar sasa atasemaje atuwezi kuwashinda reserves ya hiyo currency.

Ukirudi Tanzania pia kuna matatizo yake nchi ilukuwa imejaa ufisadi ambao ilikuwa inachochea ukuwaji na mzunguko wa pesa, biashara zingine kushamiri kwa sababu watu walikuwa awalipi kodi, etc. Serikari makini aiwezi kuwacha hela zake zipotee wakati wanamajukumu ya kufanya investment ya mazingira yenye kuvutia wawekezaji, wanajukumu la kuinvest kwenye merit goods ambazo bila yao wengine awatowekeza and so forth.

Namna pekee ya kuongeza kasi ya uwekezaji huo ilikuwa ni kuzuia ubadhirifu na matumizi ya ovyo ya hela zake ndio walichokifanya na sidhani kama ni sahihi kupinga hatua hizo, Tatizo lililo jitokeza katika harakati hizo ni wataalamu kutumia nguvu hasa kwenye madai ya kodi na kutofanya re investment sahihi za kubakiza mzunguko wa pesa hiyo ndio technical mistake waliyofanya na wala sishangai revision ya IMF maana ata bank data zina ashiria kupungua kwa mikopo ya biashara (but that is for the government to argue their case).

Lakini sasa sio kuponda as if watu hatua walizochukua ilikuwa kubomoa wakati ni ajali tu kazini, isitoshe miradi mingi inayofanywa na serikari ikikamilika italeta faida na kuongeza kasi ya ukuaji
 
Utumiaji mbaya wa statistics, negative trade balance ya kenya ina operate kwenye uchumi twice as big and robust than wetu, wakati negative trade imbalance yetu iko kwenye uchumi legelege na mdogo, kwa hiyo uchumi wa kenya unaweza kujihimili zaidi, suala la credit rating lina umuhimu zaidi kwa kiwango cha mkopo, sawa sisi tuna credit rating nzuri (lakini ni sawa na messnger mwenye mshahara wa laki mbili hana deni na anaweza kukopa laki mbili) , wenzetu ni kama ( meneja mwenye mshahara wa milioni 5, na deni la milioni 2, lakini anaweza kukopa milion3) , kwa aibu nasema propaganda ya awamu hii imeenda shule economic results , zero.
Haya sijui kakwambia nani credit rating inaangaliwa in terms of ratio zako za income na madeni yako, vis a vis retained earnings zako (akiba iliyopo bank kuu), etc with other ratios. Wakisema ukopesheki maana yake ni kwamba atakaekupa hela anachukua risk kubwa maana wewe una liquidity crisis.
 
USA ina current account balance ya mwisho duniani ipo namba 206 lakini uchumi wao wai kwanza duniani, sisi yetu ni nzuri lakini uchumi wetu ni hohehahe. Kenya wako chini yetu lakini wana uchumi mzuri ndiyo maana wao GDP yao ipo USD 98 Billions, sisi yetu ni USD 56 Billions na hatusogei mbele kwa vile Growth rate yetu imekuwa estimated kuwa ndogo kwa mwaka huu na mwaka ujao, kwa hiyo hata tu-rebase ukuaji wa uchumi bado hatutakwenda mbali.
Ni kweli kabisa, ila nakumbuka dunia ina mataifa 192.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa, ila nakumbuka dunia ina mataifa 192.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, ila nakumbuka dunia ina mataifa 192.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo suala la kukumbuka kaka....kwenye uchumi nchi, states au overseas territories zinahesabiwa kama "entity" kwa mfano Hong Kong ingawa ni China inahesabiwa kama nchi ingawa siyo sovereignty state ila sehemu ya China, au Macau pia inahesabiwa kama "entity", Montserrat, Marshall island, French Polynesia, Cook Islands, British Virgin islands zote hizi zinajitegemea, Ni kama vile unasikia Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke lakini ukiangalia kwenye "adminstration" mikoa ya Tanzania hakuna mkoa unaoitwa Kinondoni, Kigamboni au Temeke ila kwa jinsi wanavyo-"grade" na ndivyo tunavyo-"grade" nchi na "states" kwenye mambo ya uchumi hivyo ndugu yangu jitahidi angalau usome some na kufanya utafiti kidogo, tusiwe wavivu na kushindwa kuwa "updated" na mambo mepesi mepesi. Ngoje nikuonyeshe hiyo "copy" ili uone kuwa kuna nchi zaidi ya 192 na pia kuwa na deficit kubwa siyo hoja sana kwani uchumi mkubwa unachukua muda mfupi kuweza ku-offset deficit".
197INDONESIA-$17,330,000,0002017 est.
198MEXICO-$19,350,000,0002017 est.
199ALGERIA-$22,100,000,0002017 est.
200ARGENTINA-$31,320,000,0002017 est.
201AUSTRALIA-$36,010,000,0002017 est.
202TURKEY-$47,440,000,0002017 est.
203INDIA-$48,660,000,0002017 est.
204CANADA-$48,750,000,0002017 est.
205UNITED KINGDOM-$99,210,000,0002017 est.
206UNITED STATES-$449,100,000,0002017 est
Au angalia list yote ya Current balance ya nchi zote duniani. Zipo nchi au states 206

Rank Order Listing for the Current account balance field
RANKCOUNTRYCURRENT ACCOUNT BALANCEDATE OF INFORMATION
1GERMANY$291,000,000,0002017 est.
2JAPAN$196,100,000,0002017 est.
3CHINA$164,900,000,0002017 est.
4NETHERLANDS$87,460,000,0002017 est.
5TAIWAN$82,880,000,0002017 est.
6KOREA, SOUTH$78,460,000,0002017 est.
7SWITZERLAND$66,550,000,0002017 est.
8SINGAPORE$60,990,000,0002017 est.
9ITALY$53,420,000,0002017 est.
10THAILAND$51,080,000,0002017 est.
11RUSSIA$35,440,000,0002017 est.
12IRELAND$28,140,000,0002017 est.
13UNITED ARAB EMIRATES$26,470,000,0002017 est.
14DENMARK$24,820,000,0002017 est.
15SPAIN$24,740,000,0002017 est.
16NORWAY$22,010,000,0002017 est.
17SWEDEN$17,790,000,0002017 est.
18MACAU$16,750,000,0002017 est.
19SAUDI ARABIA$15,230,000,0002017 est.
20HONG KONG$14,750,000,0002017 est.
21NIGERIA$10,380,000,0002017 est.
22ISRAEL$10,120,000,0002017 est.
23IRAN$9,491,000,0002017 est.
24MALAYSIA$9,296,000,0002017 est.
25AUSTRIA$7,859,000,0002017 est.
26KUWAIT$7,127,000,0002017 est.
27QATAR$6,426,000,0002017 est.
28VIETNAM$5,401,000,0002017 est.
29PAPUA NEW GUINEA$4,859,000,0002017 est.
30HUNGARY$4,390,000,0002017 est.
31IRAQ$4,344,000,0002017 est.
32VENEZUELA$4,277,000,0002017 est.
33SLOVENIA$3,475,000,0002017 est.
34LUXEMBOURG$3,112,000,0002017 est.
35LIBYA$2,574,000,0002017 est.
36BULGARIA$2,562,000,0002017 est.
37TRINIDAD AND TOBAGO$2,325,000,0002017 est.
38CZECHIA$2,317,000,0002017 est.
39CROATIA$2,150,000,0002017 est.
40BOTSWANA$2,146,000,0002017 est.
41BRUNEI$2,021,000,0002017 est.
42FINLAND$1,806,000,0002017 est.
43UZBEKISTAN$1,713,000,0002017 est.
44MALTA$1,712,000,0002017 est.
45AZERBAIJAN$1,685,000,0002017 est.
46POLAND$1,584,000,0002017 est.
47GUATEMALA$1,134,000,0002017 est.
48AFGHANISTAN$1,014,000,0002017 est.
49PORTUGAL$993,000,0002017 est.
50CUBA$985,400,0002017 est.
51URUGUAY$879,000,0002017 est.
52ICELAND$857,000,0002017 est.
53BERMUDA$818,600,0002017 est.
54ESTONIA$809,000,0002017 est.
55ESWATINI$604,000,0002017 est.
56LITHUANIA$364,000,0002017 est.
57BRITISH VIRGIN ISLANDS$362,600,0002011 est.
58FRENCH POLYNESIA$207,700,0002014 est.
59COOK ISLANDS$26,670,0002005
60ARUBA$22,000,0002017 est.
61SAINT LUCIA$21,000,0002017 est.
62KIRIBATI$18,000,0002017 est.
63MICRONESIA, FEDERATED STATES OF$12,000,0002017 est.
64NAURU$5,000,0002017 est.
65TUVALU$2,000,0002017 est.
66PUERTO RICO$02017 est.
67SAN MARINO$02017 est.
68MARSHALL ISLANDS-$1,000,0002017 est.
69SURINAME-$2,000,0002017 est.
70VANUATU-$13,000,0002017 est.
71MONTSERRAT-$15,400,0002017 est.
72SAMOA-$19,000,0002017 est.
73ANGUILLA-$23,200,0002017 est.
74COMOROS-$27,000,0002017 est.
75GUINEA-BISSAU-$27,000,0002017 est.
76SAO TOME AND PRINCIPE-$32,000,0002017 est.
77MADAGASCAR-$35,000,0002017 est.
78TAJIKISTAN-$35,000,0002017 est.
79PALAU-$53,000,0002017 est.
80TONGA-$53,000,0002017 est.
81SOLOMON ISLANDS-$54,000,0002017 est.
82DOMINICA-$70,000,0002017 est.
83GRENADA-$77,000,0002017 est.
84NEPAL-$93,000,0002017 est.
85SAINT KITTS AND NEVIS-$97,000,0002017 est.
86LESOTHO-$102,000,0002017 est.
87CABO VERDE-$109,000,0002017 est.
88ANTIGUA AND BARBUDA-$112,000,0002017 est.
89SAINT VINCENT AND THE GRENADINES-$116,000,0002017 est.
90ERITREA-$137,000,0002017 est.
91BELIZE-$143,000,0002017 est.
92MACEDONIA-$151,000,0002017 est.
93SOUTH SUDAN-$154,000,0002017 est.
94CENTRAL AFRICAN REPUBLIC-$163,000,0002017 est.
95DOMINICAN REPUBLIC-$165,000,0002017 est.
96BARBADOS-$189,000,0002017 est.
97GAMBIA, THE-$194,000,0002017 est.
98CONGO, DEMOCRATIC REPUBLIC OF THE-$200,000,0002017 est.
99LATVIA-$231,000,0002017 est.
100GUYANA-$237,000,0002017 est.
101FIJI-$277,000,0002017 est.
102DJIBOUTI-$280,000,0002017 est.
103TIMOR-LESTE-$284,000,0002017 est.
104PARAGUAY-$298,000,0002017 est.
105KYRGYZSTAN-$306,000,0002017 est.
106SEYCHELLES-$307,000,0002017 est.
107ARMENIA-$328,000,0002017 est.
108HAITI-$348,000,0002017 est.
109ECUADOR-$349,000,0002017 est.
110HONDURAS-$380,000,0002017 est.
111TOGO-$383,000,0002017 est.
112CURACAO-$400,000,0002011 est.
113SIERRA LEONE-$407,000,0002017 est.
114BURUNDI-$418,000,0002017 est.
115NAMIBIA-$438,000,0002017 est.
116SOMALIA-$464,000,0002017 est.
117KOSOVO-$467,000,0002017 est.
118CAYMAN ISLANDS-$492,600,0002017 est.
119EL SALVADOR-$501,000,0002017 est.
120BHUTAN-$547,000,0002017 est.
121CHAD-$558,000,0002017 est.
122MALAWI-$591,000,0002017 est.
123MOLDOVA-$602,000,0002017 est.
124RWANDA-$622,000,0002017 est.
125LIBERIA-$627,000,0002017 est.
126JAMAICA-$679,000,0002017 est.
127NICARAGUA-$694,000,0002017 est.
128GUINEA-$705,000,0002017 est.
129MAURITANIA-$711,000,0002017 est.
130ZIMBABWE-$716,000,0002017 est.
131GABON-$725,000,0002017 est.
132EQUATORIAL GUINEA-$738,000,0002017 est.
133MONTENEGRO-$780,000,0002017 est.
134BELGIUM-$807,000,0002017 est.
135BOSNIA AND HERZEGOVINA-$873,000,0002017 est.
136MAURITIUS-$875,000,0002017 est.
137MALDIVES-$876,000,0002017 est.
138MALI-$886,000,0002017 est.
139ALBANIA-$908,000,0002017 est.
140BELARUS-$931,000,0002017 est.
141CAMEROON-$932,000,0002017 est.
142ZAMBIA-$1,006,000,0002017 est.
143BURKINA FASO-$1,019,000,0002017 est.
144BENIN-$1,024,000,0002017 est.
145CONGO, REPUBLIC OF THE-$1,128,000,0002017 est.
146MONGOLIA-$1,155,000,0002017 est.
147NIGER-$1,160,000,0002017 est.
148UGANDA-$1,212,000,0002017 est.
149YEMEN-$1,236,000,0002017 est.
150ANGOLA-$1,254,000,0002017 est.
151GEORGIA-$1,348,000,0002017 est.
152GAZA STRIP-$1,444,000,0002017 est.
153WEST BANK-$1,444,000,0002017 est.
154CYPRUS-$1,458,000,0002017 est.
155TANZANIA-$1,464,000,0002017 est.
156NEW CALEDONIA-$1,469,000,0002014 est.
157SENEGAL-$1,547,000,0002017 est.
158GREECE-$1,596,000,0002017 est.
159BAHRAIN-$1,600,000,0002017 est.
160COSTA RICA-$1,692,000,0002017 est.
161COTE D'IVOIRE-$1,860,000,0002017 est.
162CAMBODIA-$1,871,000,0002017 est.
163BAHAMAS, THE-$1,909,000,0002017 est.
164SLOVAKIA-$2,005,000,0002017 est.
165LAOS-$2,057,000,0002017 est.
166UKRAINE-$2,088,000,0002017 est.
167SYRIA-$2,123,000,0002017 est.
168GHANA-$2,131,000,0002017 est.
169SRI LANKA-$2,310,000,0002017 est.
170SERBIA-$2,354,000,0002017 est.
171BOLIVIA-$2,375,000,0002017 est.
172PERU-$2,414,000,0002017 est.
173PHILIPPINES-$2,518,000,0002017 est.
174MOZAMBIQUE-$2,824,000,0002017 est.
175BURMA-$2,900,000,0002017 est.
176PANAMA-$3,036,000,0002017 est.
177MOROCCO-$3,920,000,0002017 est.
178CHILE-$4,102,000,0002017 est.
179TUNISIA-$4,191,000,0002017 est.
180JORDAN-$4,257,000,0002017 est.
181TURKMENISTAN-$4,359,000,0002017 est.
182SUDAN-$4,811,000,0002017 est.
183KENYA-$5,021,000,0002017 est.
184BANGLADESH-$5,322,000,0002017 est.
185KAZAKHSTAN-$5,353,000,0002017 est.
186NEW ZEALAND-$5,471,000,0002017 est.
187ETHIOPIA-$6,551,000,0002017 est.
188ROMANIA-$7,114,000,0002017 est.
189SOUTH AFRICA-$8,584,000,0002017 est.
190BRAZIL-$9,762,000,0002017 est.
191COLOMBIA-$10,360,000,0002017 est.
192OMAN-$10,760,000,0002017 est.
193LEBANON-$12,370,000,0002017 est.
194PAKISTAN-$12,440,000,0002017 est.
195FRANCE-$14,830,000,0002017 est.
196EGYPT-$14,920,000,0002017 est.
197INDONESIA-$17,330,000,0002017 est.
198MEXICO-$19,350,000,0002017 est.
199ALGERIA-$22,100,000,0002017 est.
200ARGENTINA-$31,320,000,0002017 est.
201AUSTRALIA-$36,010,000,0002017 est.
202TURKEY-$47,440,000,0002017 est.
203INDIA-$48,660,000,0002017 est.
204CANADA-$48,750,000,0002017 est.
205UNITED KINGDOM-$99,210,000,0002017 est.
206UNITED STATES-$449,100,000,0002017 est.
 
Swali langu kubwa ni kwa nini Tz tunashindwa kwenda mbele sana ya Kenya na resources tulizonazo. Tanzanite, almasi, dhabu, uranium, gas, other precious stones, tourism, coffee, cashews, cotton, tea, sisal na ardhi nzuri maramia kuliko Kenya mpaka wakenya wanakuja kuoa wasichana wetu ili tu wapate ardhi???
Viongozi wetu wajiulize. Je are they the cause of the situation we are in?
They must find answers. Wasipende tu kuitwa waheshimiwa!
 
Jihu umeweka mwisho hao waheshimiwa ni useless
 
Back
Top Bottom