Nchi yetu haina dini, madhehebu ya Hindu na Sikh msijitenge

Nchi yetu haina dini, madhehebu ya Hindu na Sikh msijitenge

Kina Kiranga & co.akili kubwa hawanaga shobo na akili za kufikiri kutengwa ama la...tatizo la inferiority complex tunalo sisi waumini hasa wa dini ya Kikristo na Kiislamu.sad

...kina Kiranga & co...wao wako busy kuwaza waifanyie nini dunia ili pawe mahali pazuri pa kuishi...ni hayo tu kwa Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia hawa akina Kiranga au unawazungumzia wazungu huko?
 
Mbona na kina mshana jr na Mzizimkavu hawakualikwa kuomba?? Ningetamani na sisi tukaribishwe kuja kuomba na tunguri zetu, Wengi huja kwetu karibu na ucaguzi tu ili tuwatengenezee njia zao. Ila wakiisha pata hutusahau
 
Neno la kwanza la wimbo wa taifa linasemaje..?? Afu useme nchi etu haina dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
dini na mungu ni vitu viwil vinavyo jitegemea sometimes, si kla asie na dini haamini uwepo wa mungu, mfano mzuri mababu zetu hawakuamini dini ila waliamini mizimu ya marehemu ilikuwa na nguvu kwa sababu walikuwa wako karibu na mungu, au hata wamasai walikuwa na mungu aliyeitwa ngai, ila huyo ngai aliamniwa umasaini bila ya wamasai kuwa na dini yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uzi unajadiliwa kihekima, hakuna aliyechafua hadhara
1551277519391.png
 
Back
Top Bottom