Wachumi tulionao hawapewi nafasi kutoa mchango wao kwa taifa.
Wenye nyazifa ndiyo wanaoamini wanajua kila kitu, angalia sasa matokeo yake.
Waziri wa fedha ukimu assess anaonekana ametopea kwenye ulevi wa madaraka usiyo mithilika, hana lolote jipya.
Nchi hii tunahitaji kupata waziri wa fedha na uchumi wa kweli na anayeweza kuwashirikisha wachumi waliopo nchini kuinua uchumi wa taifa letu.
Rasilimali tulizonazo, ni aibu kuwanyanyasa wananchi kwa kuwatoza kodi na tozo kubwa kila kona.