Nchi ya wanaume bure kabisa

Nchi ya wanaume bure kabisa

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
705
Reaction score
1,368
Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii…

Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa mstari wa mbele kuikomboa jamii katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mambo mengine mengi.

Lakini sisi nyumbu, raia namba moja ni mwanamke BURE KABISA, na ndani ya muda mfupi ameonesha namna gani hana anachoweza zaidi ya kupeleka taifa la watu zaidi milioni 60 matopeni

Na kati ya hao 43% (sensa ya 2022) ni chini ya miaka 15 ambao ni watoto taifa la kesho hawawezi kujitetea kabisa.

Asilimia 3% ni 60+ ambao maisha yao ni kama yameshaisha hawana cha kupoteza zaidi ya kuzeeka na kufa hatimaye

Ila sasa kuna asilimia 50+ hapa katikati ni ya 15+ na hapo kuna 25+ iliyojaa wanaume na wanawake wenye afya. Lakini sasa wanaume ndo wamekua mstari wa mbele kumpa nguvu huyu mwanamama BURE kabisa kutesa wanachi zaidi ya milioni 60 na vizazi vijavyo.

1. Nikianza hapa JF, wapo wanaume wanaoshinda na kucha kwenye mijadala ya kuunga mkono hoja zisizo na tija badala ya kusimama kudai mabadiliko.

2. Vyombo vya usalama, ambavyo vimeundwa kulinda taifa, mara nyingi vinaonekana kulinda maslahi ya wachache, huku wananchi wakizidi kudorora kiuchumi.

Basi bora wangefilisi huku wakiinvest ndani ya nchi, but kitu pekee wanawafanya ni kununua magari ya kifahari (ambayo hata barabara za kuendeshea hamna)
Na kupeleka hela nchi za watu huku nchi ikizidi kuwa masikini

Bado wanaenda mbali kabisa, na kugeuza wa chini yao vikatuni vya kulinda wafilisi nchi.

Ni aibu kubwa vyombo vya usalama kulinda maslahi ya wachache wasio na faida kwa wengi.
Na bado vinaenda mbali zaidi na kubebwa kwenye mabus ya watoto shule kuendelea kutumikia watesi kama mataahira.

Kama wewe ni mtu wa miaka 18-49 na unaona maisha magumu, basi jua huu ni mwanzo, na kama wewe sio tajiri wa kutupwa jua ugumu ujao ni mbaya zaidi.

Na hii 43% ya watoto ambao ni taifa la kesho wataishi kama mashetani sababu baba zao, mama zao, kaka zao, dada zao, uncles and aunties wao walishindwa kukomboa nchi

Walikua busy kuangalia na kuruhusu MWANAMKE BURE KABISA asiyefaa kuwa hata kiongozi wa nyumba 10 akipeleka nchi ya watu zaidi ya milioni 60 shimoni

Sasa kama ambavyo wanaume ndo walitutoa kwa mkoloni mweupe, wewe ndugu wa kiume kama upo hapo na hutarajii kufanya chochote kulikomboa taifa lako kwa mkoloni mweusi kwaajili yako na kizazi chako, unalikosea sana taifa lako

Na ewe mwanaume ambae kutwa kucha upo hapa kuendelea kupamba huyo mwanamke bure, jua wewe ni bora ufe walau tutapata faida ukirutubisha udongo tupate mazao....

Na wewe mwanamke unaesupport na kushiriki yanayoendelea, wewe ni shetani na kiwango chako cha ubinafsi ni kiukubwa mno, nchi inavyotikisika watoto unaobeba tumboni mwako wanateseka, huyo mwanaume wako akiwa anashinda anahangaika kutafuta mkate kama mdudu wewe ndo utakua wa kwanza kupeana kipochi manyoya hovyo na kuzidi kuangamiza jamii.

Badilika, simama na wanaume wenye nia ya kurudisha uwajibikaji kwenye taifa

Watanzania tuamke, yajayo ni magumu kuliko ya sasa.

Itaendelea..........

N.B mimi sio mwandishi so tusameheame kwa makosa madogo madogo ya kiuandishi.
 
Kuna nini kwani mbona me Niko mtaani hakuna hoja za viashiria vya uvunjifu wa Amani
 
Kibinyo kikizidi hata maiti inaweza kupiga chafya.. Kwa hiyo yanayoendelea mimi naona ni sawa kabisaaa..
 
Huu ni uhaini kama uhaini mwingine. Mods futeni huu uzi unaochochea maasi.
 
Hoja nzito sana umeitoa , mimi binasfi siungi mkono utawala uliopo, na vile vile kwa kua wanaomba tena kuchaguliwa siwaungi mkono.

Pamoja na kuwa sitaenda kupiga kura, nita kuwa natoa maoni kuonyesha kutokubaliana na hali ya uongozi na vile sauti zetu wengine hazifiki mbali , muhimu ni kufanya kila linalowezekana watoto wetu wapate cha kuanzia maana huko tunakoenda watakuwa na taifa lenye hali mbaya sana.
 
Mods acheni kupotosha uzi wangu..... kama hamuwezi kuuacha kama ulivyo futeni
 
Utangulizi: Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa mwanzilishi wake ni mwanaume basi itakupa picha namna wanaume ni tatizo kubwa nchi hii...

Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume ndo wamekuwa wakiikomboa nchi katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mengine mengi.

Lakini sisi nyumbu, raia namba moja ni mwanamke BURE KABISA, na ndani ya muda mfupi ameonesha namna gani hana anachoweza zaidi ya kupeleka taifa la watu zaidi milioni 60 matopeni

Na kati ya hao 43% (sensa ya 2022) ni chini ya miaka 15 ambao ni watoto taifa la kesho hawawezi kujitetea kabisa.

Asilimia 3% ni 60+ ambao maisha yao ni kama yameshaisha hawana cha kupoteza zaidi ya kuzeeka na kufa hatimaye

Ila sasa kuna asilimia 50+ hapa katikati ni ya 15+ na hapo kuna 25+ iliyojaa wanaume na wanawake wenye afya. Lakini sasa wanaume ndo wamekua mstari wa mbele kumpa nguvu huyu mwanamama BURE kabisa kutesa wanachi zaidi ya milioni 60 na vizazi vijavyo.

1. Nikianza na hapa JF, ni wanaume bure kama wakina mwashamba na genge wanakesha hapa usiku na mchana kuimba mapambio na hoja zisizo na kichwa na miguu

2. Nchi ina vyombo vya usalama, na wengi wao ni wanaume waliokula viapo, lakini leo hii viongozi wa juu kabisa wa hivyo vyombo kende zao wote wamezibinya ndani wakifilisi nchi.
Basi bora wangefilisi huku wakiinvest ndani ya nchi, but kitu pekee wanawafanya ni kununua magari ya kifahari (ambayo hata barabara za kuendeshea hamna)
Na kupeleka hela nchi za watu huku nchi ikizidi kuwa masikini

Bado wanaenda mbali kabisa, na kugeuza wa chini yao vikatuni vya kulinda wafilisi nchi.

Ni aibu kubwa vyombo vya usalama kulinda maslahi ya wachache wasio na faida kwa wengi.
Na bado vinaenda mbali zaidi na kubebwa kwenye mabus ya watoto shule kuendelea kutumikia watesi kama mataahira.

Kama wewe ni mtu wa miaka 18-49 na unaona maisha magumu, basi jua huu ni mwanzo, na kama wewe sio tajiri wa kutupwa jua ugumu ujao ni mbaya zaidi.

Na hii 43% ya watoto ambao ni taifa la kesho wataishi kama mashetani sababu baba zao, mama zao, kaka zao, dada zao, uncles and aunties wao walishindwa kukomboa nchi

Walikua busy kuangalia na kuruhusu MWANAMKE BURE KABISA asiyefaa kuwa hata kiongozi wa nyumba 10 akipeleka nchi ya watu zaidi ya milioni 60 shimoni

Sasa kama ambavyo wanaume ndo walitutoa kwa mkoloni mweupe, wewe ndugu wa kiume kama upo hapo na hutarajii kufanya chochote kulikomboa taifa lako kwa mkoloni mweusi kwaajili yako na kizazi chako, unalikosea sana taifa lako

Na ewe mwanaume ambae kutwa kucha upo hapa kuendelea kupamba huyo mwanamke bure, jua wewe ni bora ufe walau tutapata faida ukirutubisha udongo tupate mazao....

Na wewe mwanamke unaesupport na kushiriki yanayoendelea, wewe ni shetani na kiwango chako cha ubinafsi ni kiukubwa mno, nchi inavyotikisika watoto unaobeba tumboni mwako wanateseka, huyo mwanaume wako akiwa anashinda anahangaika kutafuta mkate kama mdudu wewe ndo utakua wa kwanza kupeana kipochi manyoya hovyo na kuzidi kuangamiza jamii.
Badilika, simama na wanaume wenye nia ya kurudisha uwajibikaji kwenye taifa

Watanzania tuamke, yajayo ni magumu kuliko ya sasa.

Itaendelea..........

N.B mimi sio mwandishi so tusameheame kwa makosa madogo madogo ya kiuandishi.
 
IMG_20240820_020451.jpg
 
Back
Top Bottom