Nchi ya Uturuki (Turkey)

Nchi ya Uturuki (Turkey)

mimi nimeishi Uturuki miaka almost 6 nimesoma chuo kinaitwa University of Instanbul. infact kwa Elimu wanajaitahidi sana ila kwa maisha pako very tight. kupata kazi za vibarua kama UK au States ni almost impossible njia rahisi ni uwe mmachinga. nchi ipo so crowded, Istanbul alone ina watu zaidi ya 20 milion. na hii inaifanya ajira kuwa ngumu kidogo. upande wa chakula wapo vzr wana aina nyingi sana za vyakula na wanajua haswa kupika. ubaguzi upo kiasi especially pembezoni mwa miji. kuna mabinti wazuri sana na wanapenda sana wanaume weusi ahida kaka zao wanakuwaga na wivu sana kwenye hili unaweza kupigwa. upande wa maisha yapo expensive kidogo kupangisha aprtment inabidi ujiweze sisi tulikuwa tunaishi wanne nyumba moja ila ofcourse tulikuwa wanafunzi. gharama za simu zipo juu nadhani ndio inaongoza dunia nzima. ukiwa mwanafunzi lakini unapeta kuna ofa kibao za mitandao yote. upande wa transportation kuna ferry boat inayotoka European side kwenda Asian side, kuna mabasi kama haya ya mwendokasi kule wanaita Metrobus, kuna Tram ambayo ni nzuri sana kuna mabasi ya kawaida na Metro ya underground. mavazi ni moja ya eneo ambalo wapo vzr sana wana nguo kali na bei ya chini. Industry hiyo kule nahisi ni one of the best in the World. vivutio vya utalii ni vingi kuna maeneo ambayo yametajwa kwenye Quran na Bible ya zama hizo. In general naiweka katika nchi ambazo unatakiwa utembelee kabla hujafa. Its a really interesting Country. Hope nimetoa information ulizokuwa unazihitaji. kama kuna la ziada utaniuliza.
majina yao huko ndio yananichekesh
antalyaspor
konyaspor
Adana demispor
buzaspor
matalyaspor
yemispor
instanbulspor
instAnbul baksekhir
 
Nimeishi huko takribani mwaka mmoja ni sehemu nzuri mno.....changamoto ni pale utakapokutana na watu wasiojua kiingereza .itabidi ujifunze lugha yao. Safari njema mkuu
kwan kiingereza hawajui?
hiyo lugha yao MBNA kali
 
mimi nimeishi Uturuki miaka almost 6 nimesoma chuo kinaitwa University of Instanbul. infact kwa Elimu wanajaitahidi sana ila kwa maisha pako very tight. kupata kazi za vibarua kama UK au States ni almost impossible njia rahisi ni uwe mmachinga. nchi ipo so crowded, Istanbul alone ina watu zaidi ya 20 milion. na hii inaifanya ajira kuwa ngumu kidogo. upande wa chakula wapo vzr wana aina nyingi sana za vyakula na wanajua haswa kupika. ubaguzi upo kiasi especially pembezoni mwa miji. kuna mabinti wazuri sana na wanapenda sana wanaume weusi ahida kaka zao wanakuwaga na wivu sana kwenye hili unaweza kupigwa. upande wa maisha yapo expensive kidogo kupangisha aprtment inabidi ujiweze sisi tulikuwa tunaishi wanne nyumba moja ila ofcourse tulikuwa wanafunzi. gharama za simu zipo juu nadhani ndio inaongoza dunia nzima. ukiwa mwanafunzi lakini unapeta kuna ofa kibao za mitandao yote. upande wa transportation kuna ferry boat inayotoka European side kwenda Asian side, kuna mabasi kama haya ya mwendokasi kule wanaita Metrobus, kuna Tram ambayo ni nzuri sana kuna mabasi ya kawaida na Metro ya underground. mavazi ni moja ya eneo ambalo wapo vzr sana wana nguo kali na bei ya chini. Industry hiyo kule nahisi ni one of the best in the World. vivutio vya utalii ni vingi kuna maeneo ambayo yametajwa kwenye Quran na Bible ya zama hizo. In general naiweka katika nchi ambazo unatakiwa utembelee kabla hujafa. Its a really interesting Country. Hope nimetoa information ulizokuwa unazihitaji. kama kuna la ziada utaniuliza.
Najiandaa kuitembelea kibiashara, ntakucheki mkuu
 
Mkuu umesahau kule ni kawaida kuona familia nzima wanavuta sigara baba mama hadi watoto wa kike. Nakumbuka mwaka fulani nilikuwa Ankara kwenye bustani moja, Bwana na Bi harusi walipomaliza kupiga picha kila mtu akawasha fegi yake wakiwa katika mavazi ya harusi !
nomaa
 
Ndio nchi ya Wagalatia unayoisikia kwenye Biblia. ni nchi ya watu wenye akili ya kijinga kijinga... leo wakishikwa njaa upo nao na wakishashiba hujidai hata kukutukana kesho njaa ikiwashika wanakuomba uwasidie hao ndio Wagalatia au Waturuki. Juzi wamemtusi Marekani anayemsaidia kwa asilimia nyingi na Kwa Israel miaka michache tu wamerejesha uhusiano now anaipinga huku bado anamshikilia na pia anashawishi nchi zingine ziingie King mbaya kama Tanzania baadae tutaibika kufuata akili ya Wagalatia
 
Sijaenda au kukaa huko, ila kwa taarifa niliyoipata ni nchi nzuri tu, ndiyo nchi inayotenganisha Asia na EU..
Wana maendeleo kama EU, wanajitegemea, wako makini na zamani hizo (kutokana na vitabu vya historia), enzi za Ottoman Empire hawa jamaa walikuwa na nguvu sana...
Je ukaoeme kule, ndio, je kunaishika ndiyo, kabisa....
Ukafanye kazi? Ndio, wako kama wa Italiano, ila upige kazi usilete za uvivu vivu kama za bongo...
Maendeleo yao hayana tofauti na nchi nyingi EU...
Ubaguzi upo? Sana tu.. Kwani kuna sehemu haupo?! Hata South Africa upo!
Ni wewe tu kuamuwa, tena wana chakula kizuri sana, kama kwetu tu...
 
Back
Top Bottom