martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
Habari wana jf!Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.Kama title inavyojieleza hapo juu,ningependa kupata ufafanuzi au data kuhusu nchi hiyo ya UTURUKI kuanzia MAISHA,ELIMU,CHAKULA,na maswala mengine yote.Kwa yeyote mwenye nondo za kutosha anaweza kunishushia hapa!Natanguliza shukarani zangu.
