Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

إن توضيح الواضحات

من أصعب المشكلات.

وليس يصح في الأذهان شيء

.إذا احتاج النهار إلى الدليل

(كل من عرفناه صاحب علم من المتقدمبن والمتؤخرين

مارأيناه إلا متصفا بالصفات المذكورة في إجابتنا. وأرشدك إلى كتاب إن شئت، كتاب سماحة الشيخ الفوزان المسمى
"الاجوبة المفيدة عن الأسئلة المناهج الجديدة

.سوف تستفيد بكثير إذا كنت طالب علم
اما إذا كنت طالب جدل،
فلست انا من اهل الجدل.
Hii ni aya katika Qurani? Kama ndio ni aya gani ya sura gani?

Je haya maneno ni hadithi? Kama ndio ni hadithi namba ngapi kutoka kitabu gani?

Je ni maneno ya swahaba gani haya uliyoyaandika?

Usiandike kiarabu ukadhani ndio dalili mufti hapana, dalili ni ile iliyotoka kwa Mtume, ama Qurani yenyewe..

Ningeomba uniwekee dalili ya sifa ulizozitaja.

Kiarabu sio dalili, dalili ni قال الله و قال رسوله na sio vinginevyo Ndugu yangu..
 
قد كنت ظننتك من قبل جاهلا
ثم وجدتك من بعد سفيها.

وقد قال الإمام الشافعي رحمه الله.
"ما جادلت عالما إلا غلبته
وما جادلت سفيها إلا غلبني."

فمن علمك أن الأدلة الشرعية تنحصر في الكتاب والسنة فقط؟
فأين مكانة الإجماع والقياس الصحيح في شريعتنا؟
وقد أرشدتك إلى كتاب تستفيد منه بكثير إن كنت تريد الاستفادة.
وهو الأجوبة المفيدة عن الأسئلة المناهج الجديدة.
لفضيلة الشيخ الفوزان حفظه الله.
 
Najua waswahili wengi ukiwauliza kuhusu Dalili hubadilika na kuwa waarabu wakidhani kiarabu Chao ndio Dalili.

Mwanzo uliandika vizuri kiswahili,ulipoombwa dalili unageuka na kuwa mwarabu ili ufiche nini ??😄😄

Piano Kuna jamboree umeuliza kana kwamba unashangaa kwamba eti nimepata wapi kuwa dalili ni kitabu na sunna,na mimi nakuuliza wapi Kuna Dalila kwamba Dalili za kisheria zinaweza kutoka nje ya Kitabu na sunna?

Usidhani kujua maneno meeeeeengi ya wanachuoni ndio elimu ,laaa hasha
 
قد سمعتك، فلا حاجة إلى الجدال أكثر.
كلُّ إنسانٍ يُظهِرُ نفسه بكلامه، وليس كلُّ أحدٍ مُوفَّقًا بالحكمة.
السلام عليك، فلننهِ هذا النقاش هنا، ودَعْه في سَفاهتِه
 
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al sheikh aliyefariki dunia mwezi ulizopita.

Kabla ya uteuzi huo baada ya kufariki Mufti aliyetangulia mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo mheshimiwa mwanamfalme Muhammad bin Salman maarufu kama MBS alikuwa amependekeza kwa mfalme wa nchi hiyo majina mawili kwa ajili ya kiti cha umufti wa nchi hiyo ambayo ni,
1️⃣Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan na
2️⃣ Sheikh Swaaleh bin Humeid ambaye baadhi ya mitandao ya kijamii kiasi cha wiki tatu zilizopita ilitangaza kwamba ndiye mteule wa kiti cha umufti wa nchi hiyo kabla ya tangazo la jana lililotolewa na mfalme wa nchi hiyo na mtumishi wa misikiti miwili mitukufu mheshimiwa mfalme Salmaan bin Abdil Aziz Aal Saudi lililobainisha kwamba Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ndiye mufti mpya wa nchi hiyo.

Pamoja na cheo cha umufti ambacho ni cheo kikubwa nchini Saudi Arabia tangazo la mfalme limeeleza kwamba mufti atakuwa na majukumu ya ziada ambayo ni pamoja na kuwa kiongozi mkuu wa baraza la wanachuoni wakubwa wa nchi hiyo na pia kiongozi mkuu wa kamati kuu ya tafiti za kielimu na fatwa ya nchi hiyo akibeba na kusimamia majukumu yote yaliyokuwa chini ya wizara ya masuala ya kiislamu ya nchi hiyo kwa kiarabu
وزارة الشؤون الإسلامية.

SHEIKH AL FAUZAN NI NANI?

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ni msomi nguli ,muhitimu na muhadhiri mstaafu wa chuo kikuu cha kiislamu cha Imaam Muhammad bin Saud kitivo cha sharia ya kiislamu na ambaye kwa miaka mingi sana amejulikana sana, kuheshimika sana na kupendwa sana na waislamu wengi duniani hasa wale wa madhehebu ya ahlissunna wal jamaa( masalafi).

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan pamoja na kuwa muhitimu wa chuo kikuu kilichotajwa hapo juu amepata elimu nyingi kupitia masheikh mbalimbali wa nchi hiyo ikiwa pamoja na :
1️⃣ Mufti wa zamani wa Saudi Arabia Sheikh Abdul Aziz bin Abdillaah bin Baaz .
2️⃣Sheikh Abdul Rahman bin Nasser Al Sa'adiy.
3️⃣Sheikh Abdullaah bin Humeid.
4️⃣Sheikh Muhammad Al Amiyn Al Shinqiytwiy.
5️⃣ Sheikh Abdul Razzaaq A'fiyfiy na wengine kadhaa.

Kati ya wanafunzi waliosoma kwa Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ni pamoja na Imamu na khatiybu wa msikiti mkuu wa Makka na msomaji mkubwa wa Qur'an maarufu sana duniani Sheikh Abdul Rahman bin Abdil Aziyz Al Sudeysi, Sheikh Muhammad bin Swaaleh Al Munajjid na wengine wengi ikiwa pamoja na sisi wanafunzi wa kitanzania na maeneo mengine duniani tunaosoma vitabu vyake na kufuatilia vipindi vyake vya redio , Tv na pia kupitia mitandao ya kijamii.

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ameandika na kusherehesha vitabu vingi sana zaidi ya 50 na kati ya vitabu vyake vingi vilivyoenea katika maduka mengi ya vitabu vya kiislamu duniani ikiwa pamoja na maduka ya vitabu vya kiislamu ya hapa Tanzania ni pamoja na :1️⃣ Aqiydatul Tauhiyd.
2️⃣Al Irshaadu Ilaa Swahiyhil Ii'-tiqaadi.
3️⃣ Al mulakh khaswul -Fiqhiy
4️⃣ Ahkaamul -Atw-i'mati Fy- l -shariya'til - islaamiyyah.
5️⃣ Sharhul -Sunnah cha Imaamu Al - barbahaariy.
6️⃣ Sharhul A'qiydatil- waasitwiyyah cha Ibnu Taymiyyah na vingine vingi , na pia amekuwa akiandika makala nyingi sana ambazo zimekuwa zikiwekwa katika magazeti na majarida ya kiislamu.

Kabla ya uteuzi wa jana sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan amewahi kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali ikiwa pamoja na:
1️⃣. Mwalimu katika taasisi ya elimu ya Riyaadh.
2️⃣Muhadhiri katika kitivo cha sharia ya kiislamu.
3️⃣Mwalimu katika idara ya elimu ya juu ya wahitimu wa chuo cha misingi ya dini,
4️⃣ Mwalimu mkuu na muhadhiri katika taasisi ya elimu ya juu ya mahakama .
5️⃣Imaamu,khatiybu na mwalimu katika msikiti wa prince Mit-i'b bin Abdil Aziz katika mji wa Al-Malaz.

6️⃣Mjumbe wa kamati ya kudumu wa ya utafiti wa kielimu na fat-wa.
7️⃣
Mjumbe wa baraza la wanachuoni wakubwa nk na pia amekuwa akisomesha masomo mbalimbali kupitia vipindi vya redio na TV na pia akiandika makala katika magazeti na majarida mbalimbali ya kiislamu.

Waislamu wengi duniani hasa wale wa madhehebu ya ahlissunnah wal jamaa (Masalafi) wamepokea kwa furaha sana taarifa ya uteuzi wa sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan kuwa mufti mkuu wa nchi ya Saudi Arabia na wanamuomba Allaah mtulufu amsaidie Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan katika utekelezaji wa majukumu aliyopewa.
Kobazi bhna,sasa hii inatusaidia nini sisi kujikwamua dhidi ya utawala dharimu wa kijani.
 
Kobazi bhna,sasa hii inatusaidia nini sisi kujikwamua dhidi ya utawala dharimu wa kijani.
Wavaa misalaba bwana!
Kama haikusadii kitu jua kwamba haikuhusu kwahiyo potezea tu, na habari za utawala dhalimu mimi hazinihusu kwasababu sijadhulumiwa chochote na yeyote.
Kwahiyo kama wewe kuna mtu kakudhulumu mali yako kafungue kesi ya madai katika mamlaka zinazohusika .
 
Najua waswahili wengi ukiwauliza kuhusu Dalili hubadilika na kuwa waarabu wakidhani kiarabu Chao ndio Dalili.

Mwanzo uliandika vizuri kiswahili,ulipoombwa dalili unageuka na kuwa mwarabu ili ufiche nini ??😄😄

Piano Kuna jamboree umeuliza kana kwamba unashangaa kwamba eti nimepata wapi kuwa dalili ni kitabu na sunna,na mimi nakuuliza wapi Kuna Dalila kwamba Dalili za kisheria zinaweza kutoka nje ya Kitabu na sunna?

Usidhani kujua maneno meeeeeengi ya wanachuoni ndio elimu ,laaa hasha
Labda nikuulize swali linaloweza kusaidia upatikanaji mzuri na bora wa kile unachohitaji kukijua ikiwa kweli unahitaji kujua!
Je ,wewe ni mwanachuoni,sheikh , ustaadhi, mwanafunzi unayetafuta elimu, au ni maamuma unayefuata chochote unachoelekezwa na imamu wako?!
 
Wavaa misalaba bwana!
Kama haikusadii kitu jua kwamba haikuhusu kwahiyo potezea tu, na habari za utawala dhalimu mimi hazinihusu kwasababu sijadhulumiwa chochote na yeyote.
Kwahiyo kama wewe kuna mtu kakudhulumu mali yako kafungue kesi ya madai katika mamlaka zinazohusika .
Kwahiyo wewe unafurahi kuona watanzania wenzako,wakiteshwa,kutekwa na kuuawa kwamba hilo halikuhusu?
Ebu acha kujitoa akili unless haupo tz na wewe sio mtz
 
إن توضيح الواضحات

من أصعب المشكلات.

وليس يصح في الأذهان شيء

.إذا احتاج النهار إلى الدليل

(كل من عرفناه صاحب علم من المتقدمبن والمتؤخرين

مارأيناه إلا متصفا بالصفات المذكورة في إجابتنا. وأرشدك إلى كتاب إن شئت، كتاب سماحة الشيخ الفوزان المسمى
"الاجوبة المفيدة عن الأسئلة المناهج الجديدة

.سوف تستفيد بكثير إذا كنت طالب علم
اما إذا كنت طالب جدل،
فلست انا من اهل الجدل.
Moja ya matatizo magumu zaidi:
Hakuna kitu kinachokubalika katika akili,
Ikiwa mchana unahitaji ushahidi.
Kila mtu tuliyemjua mwenye elimu,
Toka kwa waliotangulia hadi waliobaki,
Hatukumuona isipokuwa akiwa na sifa
Zilizotajwa katika majibu yetu.
Na nitakuelekeza kwenye kitabu ikiwa utapenda,
Kitabu cha Sheikh Fozan kinachoitwa
“Majibu ya Manufaa kuhusu Maswali ya Mitaala Mipya.”
Utanufaika sana ikiwa wewe ni mwanafunzi wa elimu,
Lakini ikiwa wewe ni mwanafunzi wa mabishano,
Mimi sio mmoja wa watu wa kujadili.-Grok
 
Kwahiyo wewe unafurahi kuona watanzania wenzako,wakiteshwa,kutekwa na kuuawa kwamba hilo halikuhusu?
Ebu acha kujitoa akili unless haupo tz na wewe sio mtz
Kama kuna watu wanateswa,kuuawa na kutekwa hizo ni kesi zinazotakiwa kushughulikiwa na vyombo husika ambavyo bila shaka ni polisi na usalama wa taifa.
Mimi sio polisi wala sio afisa wa usalama wa taifa ndio maana nikasema hizo habari za watu kudhilumiwa sizijui na hazinihusu.
Na nimekushauri kama wewe umedhulumiwa kafungue kesi ya madai mahakamani ili haki yako ipatikane kwakuwa mahakama ndio chombo Cha kusimamia na kutoa haki za waliodhulumiwa.
 
Moja ya matatizo magumu zaidi:
Hakuna kitu kinachokubalika katika akili,
Ikiwa mchana unahitaji ushahidi.
Kila mtu tuliyemjua mwenye elimu,
Toka kwa waliotangulia hadi waliobaki,
Hatukumuona isipokuwa akiwa na sifa
Zilizotajwa katika majibu yetu.
Na nitakuelekeza kwenye kitabu ikiwa utapenda,
Kitabu cha Sheikh Fozan kinachoitwa
“Majibu ya Manufaa kuhusu Maswali ya Mitaala Mipya.”
Utanufaika sana ikiwa wewe ni mwanafunzi wa elimu,
Lakini ikiwa wewe ni mwanafunzi wa mabishano,
Mimi sio mmoja wa watu wa kujadili.-Grok
GOOGLE TRANSLATION saa nyingine hutoa tafsiri ambayo haijanyooka sana au hutafsiri kwa misamiti isiyotumiwa na walio wengi.
 
Back
Top Bottom