Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

Abuu Ibraahiym Sibomana

Senior Member
Joined
Jun 1, 2025
Posts
130
Reaction score
114
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al sheikh aliyefariki dunia mwezi ulizopita.

Kabla ya uteuzi huo baada ya kufariki Mufti aliyetangulia mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo mheshimiwa mwanamfalme Muhammad bin Salman maarufu kama MBS alikuwa amependekeza kwa mfalme wa nchi hiyo majina mawili kwa ajili ya kiti cha umufti wa nchi hiyo ambayo ni,
1️⃣Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan na
2️⃣ Sheikh Swaaleh bin Humeid ambaye baadhi ya mitandao ya kijamii kiasi cha wiki tatu zilizopita ilitangaza kwamba ndiye mteule wa kiti cha umufti wa nchi hiyo kabla ya tangazo la jana lililotolewa na mfalme wa nchi hiyo na mtumishi wa misikiti miwili mitukufu mheshimiwa mfalme Salmaan bin Abdil Aziz Aal Saudi lililobainisha kwamba Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ndiye mufti mpya wa nchi hiyo.

Pamoja na cheo cha umufti ambacho ni cheo kikubwa nchini Saudi Arabia tangazo la mfalme limeeleza kwamba mufti atakuwa na majukumu ya ziada ambayo ni pamoja na kuwa kiongozi mkuu wa baraza la wanachuoni wakubwa wa nchi hiyo na pia kiongozi mkuu wa kamati kuu ya tafiti za kielimu na fatwa ya nchi hiyo akibeba na kusimamia majukumu yote yaliyokuwa chini ya wizara ya masuala ya kiislamu ya nchi hiyo kwa kiarabu
وزارة الشؤون الإسلامية.

SHEIKH AL FAUZAN NI NANI?

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ni msomi nguli ,muhitimu na muhadhiri mstaafu wa chuo kikuu cha kiislamu cha Imaam Muhammad bin Saud kitivo cha sharia ya kiislamu na ambaye kwa miaka mingi sana amejulikana sana, kuheshimika sana na kupendwa sana na waislamu wengi duniani hasa wale wa madhehebu ya ahlissunna wal jamaa( masalafi).

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan pamoja na kuwa muhitimu wa chuo kikuu kilichotajwa hapo juu amepata elimu nyingi kupitia masheikh mbalimbali wa nchi hiyo ikiwa pamoja na :
1️⃣ Mufti wa zamani wa Saudi Arabia Sheikh Abdul Aziz bin Abdillaah bin Baaz .
2️⃣Sheikh Abdul Rahman bin Nasser Al Sa'adiy.
3️⃣Sheikh Abdullaah bin Humeid.
4️⃣Sheikh Muhammad Al Amiyn Al Shinqiytwiy.
5️⃣ Sheikh Abdul Razzaaq A'fiyfiy na wengine kadhaa.

Kati ya wanafunzi waliosoma kwa Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ni pamoja na Imamu na khatiybu wa msikiti mkuu wa Makka na msomaji mkubwa wa Qur'an maarufu sana duniani Sheikh Abdul Rahman bin Abdil Aziyz Al Sudeysi, Sheikh Muhammad bin Swaaleh Al Munajjid na wengine wengi ikiwa pamoja na sisi wanafunzi wa kitanzania na maeneo mengine duniani tunaosoma vitabu vyake na kufuatilia vipindi vyake vya redio , Tv na pia kupitia mitandao ya kijamii.

Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan ameandika na kusherehesha vitabu vingi sana zaidi ya 50 na kati ya vitabu vyake vingi vilivyoenea katika maduka mengi ya vitabu vya kiislamu duniani ikiwa pamoja na maduka ya vitabu vya kiislamu ya hapa Tanzania ni pamoja na :1️⃣ Aqiydatul Tauhiyd.
2️⃣Al Irshaadu Ilaa Swahiyhil Ii'-tiqaadi.
3️⃣ Al mulakh khaswul -Fiqhiy
4️⃣ Ahkaamul -Atw-i'mati Fy- l -shariya'til - islaamiyyah.
5️⃣ Sharhul -Sunnah cha Imaamu Al - barbahaariy.
6️⃣ Sharhul A'qiydatil- waasitwiyyah cha Ibnu Taymiyyah na vingine vingi , na pia amekuwa akiandika makala nyingi sana ambazo zimekuwa zikiwekwa katika magazeti na majarida ya kiislamu.

Kabla ya uteuzi wa jana sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan amewahi kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali ikiwa pamoja na:
1️⃣. Mwalimu katika taasisi ya elimu ya Riyaadh.
2️⃣Muhadhiri katika kitivo cha sharia ya kiislamu.
3️⃣Mwalimu katika idara ya elimu ya juu ya wahitimu wa chuo cha misingi ya dini,
4️⃣ Mwalimu mkuu na muhadhiri katika taasisi ya elimu ya juu ya mahakama .
5️⃣Imaamu,khatiybu na mwalimu katika msikiti wa prince Mit-i'b bin Abdil Aziz katika mji wa Al-Malaz.

6️⃣Mjumbe wa kamati ya kudumu wa ya utafiti wa kielimu na fat-wa.
7️⃣
Mjumbe wa baraza la wanachuoni wakubwa nk na pia amekuwa akisomesha masomo mbalimbali kupitia vipindi vya redio na TV na pia akiandika makala katika magazeti na majarida mbalimbali ya kiislamu.

Waislamu wengi duniani hasa wale wa madhehebu ya ahlissunnah wal jamaa (Masalafi) wamepokea kwa furaha sana taarifa ya uteuzi wa sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan kuwa mufti mkuu wa nchi ya Saudi Arabia na wanamuomba Allaah mtulufu amsaidie Sheikh Dr Swaaleh Al fauzaan katika utekelezaji wa majukumu aliyopewa.
 
Cha kushangaza huyo mufti hana sijdah. Sasa njoo kwa niggers nyeusi kiwalani, mbauda, itigi Na nyarugisu nyeusiii tiii lakini ina misijdah miikubwa kwenye paji zao nyeusi.

adriz
 
na huyo ndiyo mzao wa mtume Muhamadi? nilisoma mahali kizazi cha muhamadi ndiyo royal family ya saudia ya leo …
 
na huyo ni mzao wa mtume Muhamadi, nilisoma mahali kizazi cha muhamadi ndiyo royal family ya saudia ya leo …
Hapana, royal family ya Saudia sio kizazi Cha Muhammad.

Kizazi Cha Muhammad kimebaki katika uongozi na shuhuli za kiimani na sio za kiutawala.
 
Hivi mtu ili awe mwanachuoni inabidi awe na sifa gani?
 
Alama kwenye paji la uso inayosababishwa na kusujudu (SIJDA) na alama kwenye unyayo wa mguu wa kushoto inayosababishwa na kukaa kwa kukunja mguu chini wakati wa kusoma tashahhudi (Attahiyyaatu) hutokana na (A) hali ya ngozi ya mtu na (B) hali ya tandiko analosujudu na kukaa juu yake wakati wa kuswali!.
Sio waarabu tu bali hata kwetu waswahili kuna watu wanaswali vipindi vyote na kuongeza na swala za sunna lakini nyuso zao zipo kawaida tu au alama inaweza onekana kwa mbali kutokana na hali ya ngozi zao au matandiko wanayoyatumia wakati wa kuswali.
 
Hakuna wee muongo mijitu mieusi inaamini eti ikifa kwenye uislamu inabadilika na kuwa miarabu ndo maana inajisugua paji zao nyeusi hadi na Steel wire na msasa eti ipate misijdah kwenye paji zao nyeusi.

Hovyo kabisa pathetic

adriz Adiosamigo Jagina
 
Hakuna wee muongo mijitu mieusi inaamini eti ikifa kwenye uislamu inabadilika na kuwa miarabu ndo maana inajisugua paji zao nyeusi hadi na Steel wire na msasa.

Hovyo kabisa pathetic

adriz Adiosamigo
Kama huko mtaani kwenu kuna mijitu ya aina hiyo basi ni bahati mbaya kwamba imefahamu vibaya mafunzo ya uislamu!.
Uislamu haujafundisha kusugua uso na msasa na steel wire, wala uislamu haujafundisha kwamba waislamu wakifufuka watakuwa waarabu.
 
makonda kasema ni uhujumu uchumi, kwa nini ulienda kuandikishwa kwa yale makamera yaliyotumia mahela mengi ya umma halafu huendi kupiga kura
Nilipiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 wakatangazwa CCM ya Mchengerwa.

Sasa safari hii Makonda anataka nipige ili iweje?
 
na huyo ni mzao wa mtume Muhamadi, nilisoma mahali kizazi cha muhamadi ndiyo royal family ya saudia ya leo …
Royal family ya Jordan (Hashimite) ndio wanadai wametoka Bani Hashimi, ukoo wa Mtume kupitia kwa mjukuu wake Hassan
 
duh kwa hiyo kwenye lineage ya Muhamad kuna wazungu pia? kwa maana mfalme wa jordani mamake ni mzungu …
 
Yes, descendants,mama wa King Abdullah ni mzungu na alikuwa mkiristo kabla ya kuolewa na King Hussein, ambaye naye mama yake alikuwa na asili ya Ulaya
Uislam hauko kwa ajili ya Waarabu tu, hata Mtume alioa kutoka jamii ya Jews na Coptic Christian ingawa hakuzaa nao watoto
 
Cha kushangaza huyo mufti hana sijdah. Sasa njoo kwa niggers nyeusi kiwalani, mbauda, itigi Na nyarugisu nyeusiii tiii lakini ina misijdah miikubwa kwenye paji zao nyeusi.

adriz
Inategemea na Sehemu anapofanyia ibada mfano wanafunzi walio kosa madawati hali zao sisawa na wa kwenye madawati.
 
Hapana, royal family ya Saudia sio kizazi Cha Muhammad.

Kiazi Cha Muhammad kimebaki katika uongozi na shuhuli za kiimani na sio za kiutawala.
Umesema kwamba huyo mfuti ni kipenz cha waislam wa Sunni Kuna madhehebu mangapi katika uislam na kwanini hayo medhehebu mengine hayampendi huyu mfuti
 
Back
Top Bottom