mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,718
Kwa nini iwe feki.?Mkuu mtanganyika wa kweli, mwana-JF Elungata alituhabarisha kwenye ile thread nyingine kwamba hii habari ni feki. Tunaomba reliable source ya hii kitu.
Watanyongwa mkuuRoho wa Mungu aendelee kuwaongoza..ila chakushangaza hawa wachungaji waliojazana huku kwenye Uhuru wa kuabudu hawaendi kutangaza injili huko.
Nenda wewe ukahubiriRoho wa Mungu aendelee kuwaongoza..ila chakushangaza hawa wachungaji waliojazana huku kwenye Uhuru wa kuabudu hawaendi kutangaza injili huko.
Ni ujinga uliopitiliza karne 21 unataka upangie watu cha kuabudu, uwaamulie mungu wao ambae unamtaka yeye.
Dini zinafanya watu wanakua wajinga sana.
Umesikia nikijiita mchungaji,?Nenda wewe ukahubiri
Ubaguzi mbaya sana.Watanyongwa mkuu
Kwan wao hawaogopi kufa..ahaha
Dah KUMBE ULIKUWQ UKIBADILI UNANYONGWA ,NCHI ILIKUWA YA KISENGE UNALAZIMISHWA KUAMINI