mleta mada ni mpuuzi
watanzania tunatumia kiswahili na kingereza
wamorrocco wanatumia kiarabu na kifaransa
mfumo wa elimu morrocco ni copy and paste ya mfumo wa ufaransa
kama ishu ni lugha ya ughaibuni mbona morrocco wanayo ya ufaransa???
China hayo masomo yote yanafundishwa kwa kichina na still wamepiga hatua kwenye hii inshu option zilikuwa mbili tu aidha kufundisha kwa kiingereza kuanzia vidudu mpk chuo kikuu au kutumia kiswahili kuanzia vidudu mpk chuo, nashukuru serikal imechagua moja maana ilikuwa mvurugano shule ya msingi miaka 7 unafundishwa kiswahili unaingia secondary unafundishwa kwa english.