Nchi ya Morocco imewa-prove wrong

Nchi ya Morocco imewa-prove wrong

Watanzania hata Kiswahili hawajui.

Wanatafuta mchawi wakati tatizo lao uchafu.

Hata wakibadilisha mambo kwenda Kiswahili watajikuta hawakijui.

Then what?

Tubadilishe kwenda kwenye lugha za makabila?

Ndo hapo sasa.

Watu wengi wanadhani wanakijua Kiswahili wakati ujuzi wao ni mdogo sana.

Waweza mwambia mtu 'msalimie nyoko' ukaishia kununua ugomvi sababu ya ujinga wake.

Na ukimwambia mtu kuwa yeye ni 'mjinga' kuhusu jambo au kitu fulani mwenzako anaona umemtukana.

Uliza ni watu wangapi hata wana kamusi za Kiswahili-Kiswahili.....

Vyovyote vile sisi ni majanga tu na Kiingereza kisiwe kisingizio.
 
"Truth is sometimes in conformity, sometimes not."

Nakubaliana na Kiranga -WaTanzania siyo kwamba tu hawajui Lugha ya Kiswahili na Kiingereza bali pia hawajui Lugha zao za Asili...
 
Last edited by a moderator:
Ndo hapo sasa.

Watu wengi wanadhani wanakijua Kiswahili wakati ujuzi wao ni mdogo sana.

Waweza mwambia mtu 'msalimie nyoko' ukaishia kununua ugomvi sababu ya ujinga wake.

Na ukimwambia mtu kuwa yeye ni 'mjinga' kuhusu jambo au kitu fulani mwenzako anaona umemtukana.

Uliza ni watu wangapi hata wana kamusi za Kiswahili-Kiswahili.....

Vyovyote vile sisi ni majanga tu na Kiingereza kisiwe kisingizio.

Ndugu unachanganya mambo! Watz kuona kwamba neno Mjinga ni tusi haimaanishi kwamba hawajui Kiswahili, HAPANA bali ni culture, culture yetu mtu kukuita mjinga ni tusi lakini culture nyingine SIYO tusi!
Neno tusi linategemea na culture yako kwa mfano kwetu ukimwita mtu k.u.m.a ambacho ni kiungo cha mwili ni tusi kubwa lakini kwenye culture nyingine watu watakushangaa nakukuona wewe ndio mjinga na kutokukuelewa! Tanzania ukimwita mwanaume shoga mtapigana ataona umemtukana lkn culture nyingine kama yeye siyo shoga atakwambia tu mimi siyo shoga na wala hatojisikia kama umemtusi bali atajaribu kukusahihisha tu na kukwambia yeye siyo shoga basi!
Ulichokifanya wewe ni kuchukua neno UJINGA ktk kwenye culture nyingine ambapo siyo tusi na kutafsiri kwa kiswahili ambapo kwa culture yetu sisi tunalichukulia kama tusi na wala haina uhusiano na kuelewa au kutokuelewa Kiswahili!
 
Kwa hiyo Nyerere alipotangaza maadui watatu wa maendeleo mmoja wapo akiwa 'ujinga' alikuwa anatukana Watanzania?

Sijawahi kuona kamusi yoyote ile ya Kiswahili inayolifasili hilo neno na kutoa angalizo kwamba ni tusi.

Kulichukulia kuwa ni tusi ndo ujinga wenyewe huo kwa sababu kama mtu unajua maana huwezi kulichukulia hivyo.

Na hakuna mtu asiye mjinga duniani. Sote tu wajinga kuhusu mambo na vitu fulani.

Unaweza kunitajia mtu yeyote yule asiye na ujinga wowote ule?

Na ushawahi kukisoma kitabu cha "Ujinga wa Mwafrika"?
 
Labda haujanielewa hoja kuu ya watu wengi ni kwamba bila kiingereza Dunia hii hauwezi kutoka na mimi ndio nikaleta mfano wa kamba kama Kiingereza ndio sababu ya nchi kutoka basi ningetegemea nchi zinazotumia kiingereza kwenye elimu yao kama Kenya, Nigeria&Co. kuwa juu kimaendeleo kuliko zisizotumia Kiingereza hapa Afrika kama hilo ndio tatizo, kwa maana Wanigeria au Waghana wanajua kiingereza kuliko Wamoroko.

mkuu kwa makusudi kabisa umeipita South Africa iliyo ya 49, na ukaona ya muhimu ni ya 50 ya Morocco
 
Kwa hiyo Nyerere alipotangaza maadui watatu wa maendeleo mmoja wapo akiwa 'ujinga' alikuwa anatukana Watanzania?

Sijawahi kuona kamusi yoyote ile ya Kiswahili inayolifasili hilo neno na kutoa angalizo kwamba ni tusi.

Kulichukulia kuwa ni tusi ndo ujinga wenyewe huo kwa sababu kama mtu unajua maana huwezi kulichukulia hivyo.

Na hakuna mtu asiye mjinga duniani. Sote tu wajinga kuhusu mambo na vitu fulani.

Unaweza kunitajia mtu yeyote yule asiye na ujinga wowote ule?

Nyerere hakusema Watz ni wajinga bali alisema UJINGA hapo kuna tofauti ndugu, kama Nyerere angesimama na kusema Watz ni wajinga hapo wangeona amewatukana na lkn amesema tupige vita ujinga sasa hapo siyo tusi nafikiri kuna tofauti hapo!

Ni swala la culture tu kuna culture nyingine mtoto anaweza kwambia baba yake kwamba ,,baba hakuna kitu unajua katika hili" na isiwe ishu lkn kwenye culture yetu kumwambia baba yako kwamba ,,wewe baba hakuna kitu unajua hapa" itakuwa ni tusi, au kuna tamaduni nyingine unaweza kumwambia Mwalimu wako kwamba ,,nafikiri hapo hausemi ukweli"lkn kwenye culture yetu huwezi kumwambia mwalimu wako kwamba hapo ,,hausemi ukweli"atalichukilia kama tusi na hiyo haihusiani na kujua lugha au kutokuijua bali ni culture tofauti!

Kuhusu neno Ujinga linatumiwa tofauti kulingana na culture kwa mfano kwetu ukiuliza swali kama ulilouliza watu watakushangaa kwamba hakuna mtu asiye na ujinga? lakini ukiuliza kwamba Je kuna mtu ambaye anajua kila kitu? Utasikia jibu lake ni tofauti na watu watakuelewa na wala hawatakushangaa! hivyo usitafsiri neno kwa neno na siyo kila neno lina maana ya moja kwa moja kwenye kila lugha/culture!
 
Nyerere hakusema Watz ni wajinga bali alisema UJINGA hapo kuna tofauti ndugu, kama Nyerere angesimama na kusema Watz ni wajinga hapo wangeona amewatukana na lkn amesema tupige vita ujinga sasa hapo siyo tusi nafikiri kuna tofauti hapo!

Kwani huo ujinga ulikuwa ni wa kina nani? Haukuwa wa Watanzania? Nyerere mwenyewe kwenye moja ya hotuba zake alishawahi kukiri ujinga wake juu ya jambo fulani (kwa sasa nimelisahau ila nikikumbuka nitakuwekea video yake hapa).

Ni swala la culture tu kuna culture nyingine mtoto anaweza kwambia baba yake kwamba ,,baba hakuna kitu unajua katika hili" na isiwe ishu lkn kwenye culture yetu kumwambia baba yako kwamba ,,wewe baba hakuna kitu unajua hapa" itakuwa ni tusi, au kuna tamaduni nyingine unaweza kumwambia Mwalimu wako kwamba ,,nafikiri hapo hausemi ukweli"lkn kwenye culture yetu huwezi kumwambia mwalimu wako kwamba hapo ,,hausemi ukweli"atalichukilia kama tusi na hiyo haihusiani na kujua lugha au kutokujua bali ni culture tofauti!

Kwangu siyo suala la utamaduni (culture kwa Kiswahili ni utamaduni, kama ulikuwa hujui). Kwangu ni suala la ujuzi na ufahamu wa lugha. Kwa ujumla Watanzania hatuzijui vizuri lugha tuzitumiazo.

Wewe mwenyewe hapo nikikuuliza nini maana ya neno 'mahuluti' sidhani kama unaweza kunambia bila kuangalia kwenye kamusi

Kuhusu neno Ujinga linatumiwa tofauti kulingana na culture kwa mfano kwetu ukiuliza swali kama ulilouliza watu watakushangaa kwamba hakuna mtu asiye na ujinga? lakini ukiuliza kwamba Je kuna mtu ambaye anajua kila kitu? Utasikia jibu lake ni tofauti na watu watakuelewa na wala hawatakushangaa! hivyo usitafsiri neno kwa neno na siyo kila neno lina maana ya moja kwa moja kwenye kila lugha/culture!

Naomba nitafutie kamusi ya Kiswahili inayolifasili hilo neno kama ulivyoelezea hapo. Unayo hata kamusi ya Kiswahili wewe?
 
Kwani huo ujinga ulikuwa ni wa kina nani? Haukuwa wa Watanzania? Nyerere mwenyewe kwenye moja ya hotuba zake alishawahi kukiri ujinga wake juu ya jambo fulani (kwa sasa nimelisahau ila nikikumbuka nitakuwekea video yake hapa).

Kwangu siyo suala la utamaduni (culture kwa Kiswahili ni utamaduni, kama ulikuwa hujui). Kwangu ni suala la ujuzi na ufahamu wa lugha. Kwa ujumla Watanzania hatuzijui vizuri lugha tuzitumiazo.

Wewe mwenyewe hapo nikikuuliza nini maana ya neno 'mahuluti' sidhani kama unaweza kunambia bila kuangalia kwenye kamusi
[/SIZE]

Naomba nitafutie kamusi ya Kiswahili inayolifasili hilo neno kama ulivyoelezea hapo. Unayo hata kamusi ya Kiswahili wewe?

Ni kweli ya kwamba Watz hatukijui Kiswahili vizuri, lakini Dunia nzima iko hivyo hakuna nchi ambayo Wananchi wake hawana matatizo ya lugha (ya nchi yao) ingekuwa ni hivyo basi Wanafunzi wa kiingereza au kiMarekani wangekuwa wanapata 100% kwenye soma la English na hata lingefutwa labda kwa maana lisingekuwa na umuhimu!
Lakini ukisoma ripoti za Elimu za Marekani au Uingereza watakwambia kwamba ni lazima Serikali ijitahidi zaidi kuwekeza kwenye masomo ya Math na English na hawa ni native speakers sasa ni kwa nini? Si wanajua pia ya kwamba watu wao wana matatizo ya lugha ya kiingereza?
Moja kati ya sababu ya watu ambao hawana kazi kwa muda mrefu Marekani na Uingereza pia ni kwenye matumizi ya Lugha ya Kiingereza pmj na mambo mengine ingawaje ni lugha yao na wanaitumia kila siku!

Halafu isitoshe neno MJINGA kwenye kamusi ya kiswahili kwa tafsiri nzuri kwa kiingereza ni Stupid! sasa je ukimiwta Mmarekani stupid siyo tusi?
 
Una uhakika na hiyo tafsiri? Umeitoa kwenye kamusi gani?

Na 'ignorant' kwa Kiswahili ni nini? Na 'pumbavu' kwa Kiingereza ni nini?
 
Nina uhakika! Ignorant ni mtu aliyekosa uelewa wa jambo fulani!
 
limetumbuka Unataka kusema nini? Kwamba tukihamia ktk Kiswahili tutafanikiwa?
Huo ni upuuzi wa kiwango cha juu. unahitaji Madarasa, Vitabu, Maabara na kuondokana na Mfumo wa Elimu wa kitumwa wa mtu kuangalia Maksi wakati hajui chochote. Lugha sio tatizo kabisa.

Ukipitia Takwimu zetu utajua, kama unaelewa ninachosema lakini.
Sioni unachombishia Kiranga ... sheer truth!
 
limetumbuka Unataka kusema nini? Kwamba tukihamia ktk Kiswahili tutafanikiwa?
Huo ni upuuzi wa kiwango cha juu. unahitaji Madarasa, Vitabu, Maabara na kuondokana na Mfumo wa Elimu wa kitumwa wa mtu kuangalia Maksi wakati hajui chochote. Elimu sio tatizo kabisa.

Ukipitia Takwimu zetu utajua, kama unaelewa ninachosema lakini.
Sioni unachombishia Kiranga ... sheer truth!

Unarahisisha sana mambo! Kwa kiasi ni kweli kwamba tukiammua kutumia Kiswahili kabisa kwa 100% itatutoa hapa tulipo kwa kiasi kikubwa sana na huo ndio utakuwa mwanzo wa sisi kutoka kama nchi! kwa nini nasema hivi, Kwanza kwenye swala la kujiamini tu, chukulia mfano mdogo sana labda kwako hauna maana lkl potelea mbali Miss TZ anakwenda kushindana labda Ufilipino sasa ni kwanini asiulizwe maswali kwa Kiswahili? hauoni kama akiulizwa maswali kwa kiswahili itamuongezea kujiamini kwenye kujibu kwani anakuwa hana wasiwasi wa kukosea?
Pili kutumia Kiswahili kwa 100% kutapunguza matabaka TZ kwa kiasi kikubwa sana kwani kutakuwa hakuna lugha ya wasomi na isiyokuwa ya Wasomi kama ilivyo sasa, tatu itawashirikisha watu wengi zaidi kwenye mzunguko wa kiuchumi kwani ni rahisi wao kufwatilia na kuelewa nini kinaendelea nchini mwao nitakupa mfano Kenya wanaojua Kiingereza hawafiki asilimi 30% lakini Raisi wa Kenya anahutubia kwa Kiingereza kwa maana hiyo 70% ya wananchi waliomchagua hawaelewi raisi wao anaongea nini kwa kifupi ni kwamba 70% ya wananchi wa Kenya hawawezi kusoma gazeti, hawawezi kujaza fomu yoyote ile ya Serikali na hata kusoma Kitambulisho chao cha Uraia hawawezi kwa maana kimeandikwa kwa kiingeraza!

Kwa kifupi kama mnataka Tanzania tutumie Kiingereza basi iwe kwa 100% na siyo nusu nusu na hiki sasa ni kitu ambacho hakiwezakani kwani hakuna nchi ya Kiafrika ambayo wamefanikiwa kwenye hilo matokeo yake wanaishia tu 40% wananchi waliobaki wanakuwa wanakatwa kwenye mfumo mzima wa kiuchumi kwa maana hawana uwezo wa kuelewa na kutumia lugha inayotumiwa na nchi yao!
 
Halafu unaweza kukuta wewe pia ni Policy Maker somewhere!
No Wonder we have a lot of failed Policies!
 
You know nothing about Kenya, who can't understand whats on their ID.70% of Kenya's population is youthful,most of them have basic education,infact walifika fourth wengi.usidanganye watu Tafadhali.
 
Huo ni mtazamo wako na una haki ya kusema utakavyo!
Hapa natoa maoni yangu binafsi sijamtukana wala kumtusi mtu na maadamu sijafungiwa basi nina Uhuru wa kufanya hivyo na wala sijakuomba uchangie au usome hoja zangu hivyo kama ulivyoingia pia unaweza kupotezea!
 
You know nothing about Kenya, who can't understand whats on their ID.70% of Kenya's population is youthful,most of them have basic education,infact walifika fourth wengi.usidanganye watu Tafadhali.

Tafuta nchi ya Kenya hiyo orodha za nchi! Hiyo ni kulingana na wikipedia wanaoweza kutumia kiingereza Kenya ni 18% kumbuka Kenya siyo Nairobi! Sasa unaweza ukapinga na ukaja na namba yako na ukasahihisha na maadamu haujafanya inabakia kuwa hivyo!

List of countries by English-speaking population - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ni kweli ya kwamba Watz hatukijui Kiswahili vizuri, lakini Dunia nzima iko hivyo hakuna nchi ambayo Wananchi wake hawana matatizo ya lugha (ya nchi yao) ingekuwa ni hivyo basi Wanafunzi wa kiingereza au kiMarekani wangekuwa wanapata 100% kwenye soma la English na hata lingefutwa labda kwa maana lisingekuwa na umuhimu!
Lakini ukisoma ripoti za Elimu za Marekani au Uingereza watakwambia kwamba ni lazima Serikali ijitahidi zaidi kuwekeza kwenye masomo ya Math na English na hawa ni native speakers sasa ni kwa nini? Si wanajua pia ya kwamba watu wao wana matatizo ya lugha ya kiingereza?
Moja kati ya sababu ya watu ambao hawana kazi kwa muda mrefu Marekani na Uingereza pia ni kwenye matumizi ya Lugha ya Kiingereza pmj na mambo mengine ingawaje ni lugha yao na wanaitumia kila siku!

Halafu isitoshe neno MJINGA kwenye kamusi ya kiswahili kwa tafsiri nzuri kwa kiingereza ni Stupid! sasa je ukimiwta Mmarekani stupid siyo tusi?

Ujinga ni ignorance.
Upumbavu ni stupidity.
Unakuwa mjinga wa kitu fulani sababu hauna uelewa wa jambo au haujafundishwa kuhusiana na hicho kitu, ila ukiwa mpumbavu, maana yake wewe haufundishiki, hata ukifundishwa au kuelekezwa, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
You know nothing about Kenya, who can't understand whats on their ID.70% of Kenya's population is youthful,most of them have basic education,infact walifika fourth wengi.usidanganye watu Tafadhali.

Debating with that guy you've to be ready to swallow all manners of lies. Ati 70% of Kenyans can't read newspapers or fill forms. A country whose literacy level is above 70%.
 
Yale yale ya kuiga tembo kunya.

Unawezaje kufananisha China na Tanzania wakati populations za Beijing na Shanghai tu ni zaidi ya 90% population ya Tanzania?

population imeingia vipi hpa?
 
Back
Top Bottom