Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,833
- 145,697
Na ndiyo hoja yangu kwamba tatizo la Tanzania au Afrika kwa ujumla SIYO Lugha Kiingereza bali tatizo liko sehemu nyingine kabisa na sababu hasa ya mimi kuleta hii mada kwa maana tumekuwa tukiaminishwa kwamba sisi ni masikini kwa maan hatujui kiingereza sasa kama ni hivyo basi nilitegema wanaojua Kiingereza wawe wameendelea lkn SIYO kweli hivyo tatizo letu liko mahali pengine kabisa na ni kweli hata kama leo TZ yote tukizumzungumza Kiingereza kama Uingereza bado tutakuwa masikini tu, ndiyo hoja yangu!
Sasa kama tatizo sio lugha, mbona unakazania kulitatua kwa kutumia utatuzi wa lugha?
Learn how to speak Spanish with former footballer turned...
Erin Bookovich: Julia Roberts brushes up on her trivia as...
How NOT to be a Brit abroad: Forget the ridiculous hats, use...