Nchi ya mabango yasiyoendana na ukweli

Nchi ya mabango yasiyoendana na ukweli

Duh...!. Yaani Tanzania tuna watu wa ajabu sana!. Yaani pamoja na mema yote, makubwa mazuri yote ya huyu Mama anayoyafanya, bado kuna mtu unakereka na mabango tuu ya Mama?!.
Kiukweli mfumo dume...
Mtu akiishaamini Mwanamke hawezi, hata akiweza kila kitu, wale wa kukereka wataendelea kukereka tuu!, na wakikosa kila cha kukosoa wataibuka wanakereka na Hijab Nyekundu!.
P
Mfumo dume na mambo ya hijabu hayahusiani na hii mada acha kuvuruga mjadala.

Demokrasia sio kuunga mkono kila kitu hata kukosoa pia ni sehemu yake.
 
Sasa tuseme nchi ilichafuka pia kwa yule. Ila yule na huyu wako sawa. Huyu kafanya nini?

Hata watu wanaefanya nae kazi wanaona aibu kusimama mbele ya jamii na kuieleza.

Unatuambia kwenye mabango umetoa ruzuku ya mbolea ya bilioni 150 wakati unga tunanunua kilo 2000. Tukiuliza tunajibiwa serikali haimuingilii mkulima. Sasa nini maana ya ruzuku kama kweli mmetoa.

Unatuambia umetusogezea maji wakati kila siku maji ni mgao toka uingie. Kaeni chini mjipange. Acheni upuuzi ili mlete maendeleo.
Maendeleo jiletee mwenyewe ili uache kulialia kuwa huwezi kununua unga au nenda kalime wewe ili uuze unga kilo kwa 500. Tatizo nyie Sukuma gang bado mnaendelea kuomboleza mpaka leo badala ya kufanya kazi. Shetani kaisha ondoka nchi inasonga mbele
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
ACHA WIVU. AKILI MBOVU, NA ROHO MBAYA
 
Nikweli niushamba sana kujiuuuza... simtu apige kazi atafahamika!! Tatizo tunasiasa zakilofa sana alafu kujipendekeza kumetawala hasa kwakuwa nafasi za uteuzi nitele!!
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Chawa wa mama ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
Nilipita pale External kuna bango mama kaweka rudhuku ya Billion 100 kwenye mafuta.

Mtu niliekuwa nae akaoji.. ni mafuta gani hayo?
 
Duh...!. Yaani Tanzania tuna watu wa ajabu sana!. Yaani pamoja na mema yote, makubwa mazuri yote ya huyu Mama anayoyafanya, bado kuna mtu unakereka na mabango tuu ya Mama?!.
Kiukweli mfumo dume...
Mtu akiishaamini Mwanamke hawezi, hata akiweza kila kitu, wale wa kukereka wataendelea kukereka tuu!, na wakikosa kila cha kukosoa wataibuka wanakereka na Hijab Nyekundu!.
P
Rais Samia amestawisha taifa kimfumo zama za umwamba na kauli za "tukutane central hazina nafasi tena" mabango si agenda muhimu kwa nchi, Mama ameweza, tukosoe kwa Hoja na si vihoja Kwa mustakbari wa uchumi wetu, Rais Samia ana maono chanya pengine wapambe nuksi, wahafidhina na fisi wenye makengeza " mafisadi" ndio doa kwa utawala wake.
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Pole na roho mbaya yako lakini sisi watanzania tunasema Rais Samia Suluhu amerahisisha maisha ni kweli gharama ya maisha imepanda lakini mzunguko wa oesa upo mtaani kwa kipindi kile vitu vilikua bei ya chini lakini kuipata 500 ilikua mtihani lakini saizi ajira zipo za kutosha Mama ameweka mazingira mazuri ya wananchi kujiajiri tutake nini tena watanzania tunasema tuko na mama hadi 2030
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Hata wakati wa utawala ule wa chuma aling'oa matangazo yote akaweka picha zake nchi nzima ila hatujawahi kuona ukilalamika
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Yanakera sana
 
Sasa tuseme nchi ilichafuka pia kwa yule. Ila yule na huyu wako sawa. Huyu kafanya nini?

Hata watu wanaefanya nae kazi wanaona aibu kusimama mbele ya jamii na kuieleza.

Unatuambia kwenye mabango umetoa ruzuku ya mbolea ya bilioni 150 wakati unga tunanunua kilo 2000. Tukiuliza tunajibiwa serikali haimuingilii mkulima. Sasa nini maana ya ruzuku kama kweli mmetoa.

Unatuambia umetusogezea maji wakati kila siku maji ni mgao toka uingie. Kaeni chini mjipange. Acheni upuuzi ili mlete maendeleo.
Vipi yule alietudanganya kuwa kajenga viwanda 4000? Unauona huo uhalisia?
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Heri hizo gharama za Mabango angeongezea kwenye hizo so called Ruzuku, huenda asingehitaji mabango....
 
Back
Top Bottom