Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,168
- 9,536
Zenyu zinapiga route za dala dala, na hiyo hasara yote now if we extrapolate the numbers by hypothetically we assume that atcl has the same number of routes as KQ., Mtakua ovyo zaidi! Fanya hesabu uone, just a few years or months in the business munakula loss wazimu na ni route za ndani kwa wingi., A dead state.Hii ni sawa na $60M, wakati KQ ndani ya miaka 5 imepata hasara zaidi ya $1.8B, hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app