MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Kila anayepinga udhalimu maigizo ya serikali ya CCM, yaani mpenda mageuzi ya kweli, hana budi aangalie hiki kibao cha Kala Jeremiah ft. Roma.
Nimefarijika sana kuona kwamba kuna wana wa kizazi kipya na hususan wasanii ambao wanaweza kuelimisha jamii kwa kutumia usanii wao. Hawa hata wakitia nia ya kugombea ubunge, unawaunga mkono bila kuhoji kunani! Hawa sio aina ya Ms. Ubaya!!