Nchi nzima Ni CCM tu, vipi Maendeleo yakoje uko ulipo?

Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome
tulipigwa hakuna mtaa hata mmoja kwenye ujenzi wa barabara mpya
 
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome
HAKUNA KITU Nchi hii inaliwa na Viongozi hakuna haja ya Maendeleo kwa wananchi
 
Mama amesema ajira zipo tele lkn vijana ndiyo hawachangamkii
 
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome
Hayo yalikuwa ni mawazo ya marehemu mgonjwa wa akili
 
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome

ECE264E3-D4DA-4FF8-BBF8-1CFA22C339A1.jpeg

9BF0E78E-865B-45E1-9BB8-263BBAE1CBCB.jpeg

F36325C8-4F3D-4A65-BDF1-901FDB92091D.jpeg
 
It is surprising that they are not even embarassed or concerned that it is all green! And their leader is encouraging them to continue the good life “ kila moja ale kwa urefu wa kamba yake lakini msivimbiwe”
My God Tz inaelekea wapi?????
 
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome
Huku kwa Jerry Slaa kulisahaulika tangu awamu ya tano ife. Barabara hazikarabatiwi, hakuna lolote linaloonekana. Hata pesa za UVIKO zilizokopwa huku hazikufika. Yawezekana wajanja na wahuni walipita nazo juu kwa juu.
 
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.

Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.

Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.

Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni

Welcome
Kwa wapinzani type ya akina Lema, Sugu, Msigwa na wa aina hiyo, ni bora CCM watawale milele! And Samia katika vitu vizuri vya JPM hatakiwi kuachana navyo ni kuwaodoa hawa wapinzani wasaka tonge na wapuuzi, Kikwete walimyumbisha sana kumbe walikuwa wanataka ulaji, ni wa kuwaondolewa kabisa
 
Back
Top Bottom