Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,792
- 19,814
Tuchukulie mfano wa teknolojia ya mawasiliano ikihusisha kompyuta, OS zake na Software mbalimbali. Utakuta kompyuta labda na baadhi ya softwares zimegunduliwa Marekani. Baada ya muda inagunduliwa software kutoka nchi nyingine ambayo inaweza tumika katika hiyo kompyuta iliyogunduliwa Marekani na inafanya kazi perfectly and effectively
Tena aina hiyohiyo ya technolojia ukaikuta kwenye taifa hasimu na nchi iliyogundua awali teknolojia husika. Waweza kukuta North Korea wanatumia technolojia zilizovumbuliwa Marekani na Ulaya ilhali nchi hizi ni mahasimu hasaa wa kuviziana na hata kuhujumiana!
Tafadhali wakuu mwenye kujua zaidi mambo haya yanakuaje atupe shule japo kidogo