hili namuunga mkono,
safi!!!!na ndio maana nikasema ndugu mwenyekiti kafulia!!!yeye kazi yake siku hizi ni kukurupuka tu!!!!!!aende vacation Sweden atakuja na mawazo onyevu!!!Kama huzifahamu siasa za CCM na viongozi wake ndio utasifia matamko ya akina Nape na wenzake.....siasa za Tanzania hazijatoa mipaka ya utendaji wa chama na serikali...kwasababu ya hili tatizo,mara nyingi chama kina msukumo mkubwa sana kwa maamuzi ya serikali....mfano juzi NEC ilimpa agizo JK akutane na vyama vya siasa kuhusu kujadili mswada wa marekebisho ya katiba.Kwa hali hii uwezi niambi kuwa posho za wabunge CCM walikuwa hawajui,wakati kwa hakika mambo mengi yanayoendesha nchi hii CCM wanayajua......
Wether haya maneno yanatoka moyoni au la, nchi yetu imeshagawanyika na mgawanyiko huu hautokani na hoja. Kuna watu wapo tayari kumkashifu mtu anayepinga posho, simply because wabunge wao wamekuwa wakipokea posho.
Mwanasiasa yeyote aki reach out for support, watu wanamtukana.
Lakini Nape, inabidi ujifunze kuheshimu tofauti kati yetu na wana CDM, umewatukana matusi ya nguoni Mwanza na unapenda kutumia kebehi kama signature yako unapofanya kazi yako ya uenezi. Sasa chochote utakachosema sidhani kama utapata support kutoka upinzani hasa CDM.
Kuhusu Zitto, nakuonea huruma sana ndugu yangu.Kwa namna moja au nyingine huko ulipo hawakupi support unayotaka, na wala hakuna kiongozi aliye balance intelligence/diplomacy na militancy/radicalism.
Vyama vyote vikuu sasa hivi vimeoza, havina points. Wezi watupu wamejazana.

karibu sana Nipe tano...........i mean Nape.
Ilani?.... mbona wabunge wenu wanachukua posho? Au hawachukui?kwa hiyo zitto atoke huko alipo aende Red Cross???
Si umesema vyama vyote vimeoza!!!
Yale yale ya ushabiki wa watu. Unajua swala la posho lipo kwenye ilani ya uchaguzi ya cdm?? Unajua kwamba sio ajenda binafsi ya Zitto??
Nafikiri wewe unahitaji kutoka huko ulipo uende cuf ya akina mnyaa, sio ya mtatiro.
"Nchi Kwanza, Chama Baadae"- Nalipelile 'Nape' Moses Nnauye. Jumatano, Novemba 14, 2011.
Ndugu yangu Nape,
Nadhani jina lako ni kifupi cha Nalipelile, utanisahihisha kama nimekosea. Hakika, kauli yako hiyo ni nzito sana. Kauli uliyoitoa leo kwenye ukumbi wa facebook. Yumkini kauli hiyo itakutoa kutoka kwenye tope ulilonasa, if you will walk your talk. Maana, mwanadamu anayeyejaribu kumtoa mwanadamu mwenzie kwenye tope alilonasa, naye yumo kwenye hatari ya kunasa topeni. Juhudi ya kwanza ya kujinasua kwenye tope yapaswa ifanywe na aliyenasa topeni.
Maggid Mjengwa, Iringa.
Kuwa mzalendo peke yake hakutoshi. Mmmoja wao amezidi kebehi na matusi.Soby,
Katika watu wanasikitisha wewe unaongoza. Hivi hata kwa mambo ya msingi we akili zako ki masaburi tu??? Hivi katika wazelondo wa nchi hawa vijana wawili hawamo?? Iko kazi na tatzo la wengi nchini ni kuunga mkono watu kwasababu ya makundi yao a wanapata mkate basi,kuna jema gani wangefanya hawa kwako lingekufur,ahisaha?? Shame na sitaarabika