Nchi Inavyoliwa

Nchi Inavyoliwa

Inabildi kuwa makini Tanzania ya Leo isio na mwenyewe Unaweza kuamka ukakuta umeshauzwa kwenye intaneti unasubiri kuchukuliwa tu
 
Tanzania ilipaswa iwe katika sayari nyingine kabisa!

Tuko duniani kimakosa!
 
mimi na wewe kupitia serikali. Au una maana nyingine? Au una maana ya public? Umma ni kwamba hata masanja Maslakulangwa yule mchungaji apate access siyo hadi awe mpangaji wa Se Cliff ndio aogelee ufukweni!

nilitaka nijue kama hiyo sheria inaongelea nini kuhusu umma, manake huyo jamaa lazima kuna ubovu fulani katika sheria zetu ndio ameegemea,vinginevyo asingekuwa na hicho kiburi. Mnakumbuka Mfanya biashara maarufu bongo kafanywa nini kule UK kuhusu mambo ya ardhi Tz?
 
...mnashangaa hii!!!....hii mbona ndogo!!..nendeni Zanzibar mkaone fukwe na hotel zake zinavyomilikiwa na wageni(wazungu)....Ukiona mtu mweusi kule labda awe mchuuzi...au mlinzi..au mfanyakazi wa hotel......wanaokula nchi kule woote wazungu....utafikiri haupo TZ.......unbelievable yaani.....Naskia Karume aliuza sana ardhi kwa wageni(wazungu)wakati wa utawala wake.....na bado anapokea 10% sasa.....ndo maana hata siasa za majitaka za ccm hazifagilii.....Mnabisha...fanyeni utafiti.....nendeni beach za zenj......mtashangaa...

Hili la Zanzibar nalo neno. Tatizo ni kwamba waTZ wengi, sio wa Tanganyika pekee, hata wa huko zenjibar hawejaenda kujionea atiiii ... na wanaokwenda pande zile huishia kushangaa tu ... Niliuliza baadhi ya hoteli mbili zimefuatana, mlinzi akanambia ni za mwingereza mmoja na kiwanja kinachofuatia kakinunua (huyu mlinzi ni mmasai) na wahudumu ni kutoka humuhumu. Nilikuwa na kazi ya field kuzunguka karibu Zanzibar yote, baada ya kufika huku nikapata jibu kuwa wengi wamezoea matatizo. kwani wote wameishia kulalama tu na wazungu wanaendelea kuchota kama huyu.
 
Mkapa umemsahau au ni kale ka-uginjwa ketu cha udini kana kusumbua?

Kaugonjwa hako kanakusumbua wewe. Mkapa asingekuwa fisadi, katika uongozi alikuwa makini kulinganishwa na Mwinyi na Kikwete. Ameiacha serikali ikiwa na surplus ambayo Kikwete ameifyeka na sasa nasikia anakopa left and right kulipia matumizi ya kawaida tu. Hujasikia deni la taifa linavyopanuka? Mkapa tumseme kwa ufisadi, lakini katika uongozi wake hakuna mtu alisema serikali imekwenda likizo. Naona hilo ni tatizo la waswahili, bila hata kuingiza dini.
 
We Jasusi hakuna asiyekujua humu kwa kuendekeza jicho la hawa wetu na wale wa kule!... Yani wewe huoni Barick walivyofukia watu wakiwa alive Bulyanhulu, au Barick na Resolute walivyopewa mikataba mibovu zaidi na ya kinyonyaji kuliko popote duniani au NBC bank walipopewa "bure" kwa kuuziwa benki pamoja na mikopo yote outstanding ya serikali na taasisi zake ndio unaouna umakini wa kutolea mfano!..Na mifano ipo mingi tu ya maamuzi ya kuitafuna nchi left,right and center. Kweli upofu wa hawa wenzetu na wale wa kule umekufikia pabaya.

Ni kweli serikali ya sasa imekosa umakini thabiti, lakini huwezi kuisingle out awamu ya nne na ya pili halafu ukaispare awamu ya tatu kwa kukosa umakini. Unapoteza credibility tu hapa na hoja zisizokua na mashiko, eti unakubali mkapa ni fisadi lakini makini? Those two cannot go hand in hand.
 
Ndugu yangu huwezi kuitaja Barrick bila kumtaja Kikwete. Kwanza peleleza urafiki wake na Sinclair, pia peleleza urafiki wake na Joseph Kahama, halafu rudi hapa tuendeleze mjadala. Kweli hii ya kufukiwa watu live lawama zinamwangukia Mkapa, lakini katika hili walikuwa bega kwa bega na Kikwete. Udhalimu na ufisadi hauna dini. Lakini kiutawala, lazima tumpe Mkapa heko kwa sababu alikuta serikali haina fedha na ameondoka ameichia surplus. Leo tunakopa kulipa mishahara. Huo ni ukweli usiopingika.
 
Kaka, mbona unajichanganya hivyo?... Hapohapo unamsifia Mkapa alikua makini na thabiti, na wote tunajua Barick waliingia mikataba wakati rais alikua Mkapa, na ilikua mikataba mibovu zaidi duniani, mpaka pale Mh. Zitto alipocharuka kuhusu swala la Buzwagi na kuforce uundwaji wa tume ya madini iliyozaa some ammendments za kuboresha ile mikataba, tena wakati wa rais wa sasa. Halafu bado hujagusia suala la NBC kupewa bure kwa maigizo ya "kuuziwa" benki na outstanding loans zote, ambapo balance ilikua ni kama Tshs 2billion na kidogo, kama ukichukua bei ya mauzo minus madeni ya "uhakika kulipwa", hapo hujaweka value za properties za NBC nchi nzima.

Bottom line, kama wewe ni head of state, THE BUCK STOPS WITH YOU! Period!. Hakuna cha kusema waziri wangu alileta ushawishi wala nini? kama unavyomponda JK ni kwa vile yeye ni head of State, hatuwezi kusema huyo mwekezaji wa Amboni ni best wa Lowassa au best wa Membe ikawa ni excuse kwa rais wa sasa kuacha mambo yaende kombo.

Wake up! tuache upofu na ushabiki usiokua na tija!
 
Hebu niambie, mikataba imeboreshwa? Kutoka 3% hadi 4% ndio uboreshwaji huo? Na kwa nini Kikwete alikuwa akimwonyesha Sinclair mapendekezo ya mabadiliko ya mikataba hiyo kabla hata haijakamilika? Na Sinclair, bila aibu, akiutangazia ulimwengu kuwa hakuna litakalobadilishwa? You must be joking. Mikataba ya Barrick ilisainiwa enzi za Mwinyi wakati Kikwete akiwa waziri wa nishati na madini. Hayo ya Amboni estates kwa hakika nitaomba tuisheni. Sijui lolote juu yake
 
Sehemu nyingi za mipakani na fukwe zimemilikishwa kwa wageni. Wanaingia na kutoka nchini watakavyo na bila 'bugdha'.
 
Hebu niambie, mikataba imeboreshwa? Kutoka 3% hadi 4% ndio uboreshwaji huo? Na kwa nini Kikwete alikuwa akimwonyesha Sinclair mapendekezo ya mabadiliko ya mikataba hiyo kabla hata haijakamilika? Na Sinclair, bila aibu, akiutangazia ulimwengu kuwa hakuna litakalobadilishwa? You must be joking. Mikataba ya Barrick ilisainiwa enzi za Mwinyi wakati Kikwete akiwa waziri wa nishati na madini. Hayo ya Amboni estates kwa hakika nitaomba tuisheni. Sijui lolote juu yake

Hahahaa...duh, basi kaka mshindi wewe. Maana inaonekana hata kugoogle African Barrick Gold ili kupata basics tu za Barrick waliingia lini Tanzania ni tatizo. Barrick huwa wananunua proven reserves from exploration companies. Mkataba wa mining for gold na ule wa exploration for minerals ni vitu viwili tofauti sana.

Kifupi pamoja nakuwa unatumia nguvu nyingi kummaliza JK na kumspare Mkapa, their damage is the same kwenye kulinda rasilimali za nchi.
 
Kaka,
Kwenye sentenso yako ya mwisho tupo page moja kabisa. Hakuna ubishi. Ubarikiwe.
 
Nimependa sana hii article.
Kama nchi ingekuwa na investigative journalist kama huyu jamaa bila kujali hata kama ana maslahi ndani yake, atleast wananchi wangekuwa wanalishwa habari zenye nyama ambazo ni muhimu katika ustawi wa jamii.

Waandishi wengi Tanzania hawapendi kuhangaisha miili na fikra zao kutafuta habari, wengine hata bila aibu wana copy & paste kile kinachotokea hapa Jamii Forum (JF). Cha kushangaza magazeti mengi nchini yanaweza yakabeba habari moja inayofanana kwenye Kurasa zote za mbele.

Kuhusu habari. Inasikitisha kuona watu wasio wazawa wa nchi wanakuwa na VOICE & POWER zaidi ya wazawa, inafikia mpaka wanaogopwa na mamlaka ya nchi!!. This is absurd.

Kwenye nchi zao, huwezi kukuta kitu kama hii. Only in Tanzania.

mkuu tanzania hakuna waandishi wa habari. hata kama walikuwepo labda walishakufa siku nyingi. mimi siku hizi sinunuagi magazeti kabisa.
baada ya kujiuliza sana nilikuja kujua kwamba wengi walienda huko kwa sababu hawakuwa na alternative. they are purely empty.
 
Ni kitu cha kusikitisha wakati wananchi kwa kipindi hiki cha mpito wa kidemokrasia halisia na utandawazi ndiyo wanahitaji sana habari ambazo ni ziko between the bound of decency and defamation.

Habari lazima isheheni ukweli uliochimbuliwa, balanced, objectivity na iwe kwa faida ya wananchi.

Inashangaza unakuta mwandishi wa habari kwa mfano, anatoa habari za mahakama wakati hata hafahamu taratibu za kimahakama na uendeshaji wa kesi zikoje, matokeo yake hata habari yake inaishia kutokukamilika huku wananchi wakiachwa na mkanganyiko kuhusu kesi yenyewe.
 
Wee mswahili nenda kwao uswisi ukajitwalie hata kajieka kamoja tu afu ukaweke online unakauza uone yatakayokusibu!! Hawa jamaa wanatutomasa makalio tunawachekea tu! Ama kweli serekali ipo likizo, hizo chenga na danadana hao wakulu wanazompiga mwandishi wa habari hii kila wakipigiwa simu zingepelekwa Taifa Stars lazima tungechukua kombe la dunia!
 
Back
Top Bottom