Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,656
- 14,618
Hivi Tanzania tunauwezo wa kutengeza pacemakerNa siku hizi anavyokunja sura sijui kafundishwa na nani, au anajihami kwa nini hajiamini?
Ajitahidi atafute amani ya moyo wake mapema kabla hajaanza kushamvuliwa na magonjwa ya moyo.
Aliyeandika shairi unamfananisha na "Machinga"?😀 au umetumia neno hilo kutaka 'kudogosha ujumbe wa bwana Ghassani?!Ukipata muda msikilize pale Dw na ni Mzanzibari aliyekomaa kifikra!Wamachìnga bhana...
Hizbu huyo....masalia ya itikadi za akina Sultan Jamshid.....Aliyeandika shairi unamfananisha na "Machinga"?😀 au umetumia neno hilo kutaka 'kudogosha ujumbe wa bwana Ghassani?!Ukipata muda msikilize pale Dw na ni Mzanzibari aliyekomaa kifikra!
Kwani mwanzo walikuwa wanapata wapi hela yao?Lipeni Kodi kwa maendeleo ya nchi,oneni aibu kila siku kuomba wazungu
Acha kutukana imani za watu...Sasa mtume SAW ni Mungu Mwenyezi wa kuwalaani watu?!!Mtume (SAW) mlaani huyu shetani wa kike anayeonea watu
Serikali bila ya vyanzo vipya vya mapato itapata pesa kutoka mbinguni?!!!Moja ya vitu vinavyoniudhi ni hichi kinachoitwa "tozo ya serikali"
Huu NI wizi,utapeli,ujambazi na uharamia.
Inaelekea wapi? Sio kwamba wewe ndio unatishika? 😂😂 Chadomo kwa kujifariji hamjambo.
Huu Wa KatiUchumi umekuwa hovyo
Hofu yako tuuNa siku hizi anavyokunja sura sijui kafundishwa na nani, au anajihami kwa nini hajiamini?
Ajitahidi atafute amani ya moyo wake mapema kabla hajaanza kushamvuliwa na magonjwa ya moyo.
Angalia madini anayotoa usiangalie Vyama.Mohamed Al Ghassani ni HIZBU.... unategemea nini kwake?!!!
#Siempre JMT
Mh.Rais SSH akitaka aongoze vyema akopi kidogo mfumo wa hayati JPM huku akichanganya na wa Marais wengine wastaafu.....Na siku hizi anavyokunja sura sijui kafundishwa na nani, au anajihami kwa nini hajiamini?
Ajitahidi atafute amani ya moyo wake mapema kabla hajaanza kushamvuliwa na magonjwa ya moyo.
Kwani zamani walikuwa wana pata wapi hela?Serikali bila ya vyanzo vipya vya mapato itapata pesa kutoka mbinguni?!!!
Usakala huo
Hivi lini MCHAWI akasifia haki ya mutume wa Mungu?!!!Angalia madini anayotoa usiangalie Vyama.
Chadomo 😁😁Acha KUKURUPUKA na kuonyesha ujuha wako hadharani!!! Aliyeandika hayo nani kakudanganya ni Chadema? 😳😳😳