Wewe ndo umeongea point kabisa.....watu hapa wanachangia kisiasa zaidi..,
Ikitokea UKAWA walete mgombea maslahi mfukoni, pia CCM watuleteee mwingne kuipeleka nchi shimoni ndo tuwaache tu kisa nini?
Kuna mambo wananchi hawawezi kuyasikia na ikitokea wakafaham juu ya hao wanaowashabikia wanaweza wakastajaabu na kupata stroke
Hii nchi bado changa sana hata huo upinzani inabidi ujengewe uwezo kuongoza nchi.....Mtauzwa hadi mayai yaliyo tumboni kwa ushabiki watanzania ....tulieni tujenge hii nchi yetu sote si ya kuendeleza kusini, Kaskazini, wala kanda yeyote ile..tunahitaji maendeleo na tuache propaganda tusizozijua kwa undani wake...hatuwezi kabidhi nchi kwa mtu kisa mahaba ya siasa
Top 5 ya awali ilikuwa na majina mengine lakini kitengo kikayabadili na kuwaingiza Membe na January wakiamini wangepenya kwenye wajumbe lakini wakadunda Membe wao akakatwa . Sasa wamejipanga kumpa uwaziri mkuu Membe kisha nape atakuwa waziri wa Utawala bora au mambo ya ndani . Kitengo wana uhakika magufuli ni Rais Hata Kama watanzania wote watapiga kura Kwa DP ya mtikila .Je Kitengo kipo kikatiba?Kama jibu ni hapana mbona kina nguvu sana hadi Mzee Kingunge anakihofia?Labda Kitengo ni baadhi ya vyombo vya usalama wa Taifa ambavyo vipo very invisible but very powerful and untouchable.Mh Lowassa amekuwa Waziri Mkuu,na amekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama Bungeni,hivi hakujua nguvu ya kitengo kabla ya kutangaza nia?
Uchaguzi Mkuu ujao Ngazi ya raisi na wabunge hauna maana kwa wananchi ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani kitengo kimeisha maliza kazi yake.
Kuna wapiga kura mil 20, ccm ina wanachama mil6 , ukawa wa jitahidi kuvuna wana chama at least wawe mil 8 kwa mwaka 2025, waende kwenye matawi chini huko , then watafute suppor ya kitengo , kitengo hakiwezi kumpa mbowe nchi au slaa. Tanzania sio uingereza au marekani , demokrasia yetu inavyoendeshwa ni kama urusi na China , hizo nchi zote vyama Vya upinzani havijawahi shika nchi , comrade kinana amekirudisha chama huko hadi kapeleka watu kwenye mafunzo China kwanini haendi uingereza hadi Balozi wa China kasimama jukwaa la ccm , kitengo kina nguvu sana ila kwa ugomvi wa membe na lowassa kumteua magufuli aisee Jamaa wamecheza
Wakuu, kwanza naomba nikiri kuwa 'kitengo' kipo! Kwa mara nyingine kimeshindwa kumpitisha rais (Membe) ila kama kinashindwa kufanya hivyo, system yote inayofuata huamuliwa na kitengo. Mathalan Membe anaenda kuwa waziri mkuu.
Na Nape atakuwa waziri wa Utawala bora ili wawakomeshe wafuasi wa Lowasa
Wakuu, kwanza naomba nikiri kuwa 'kitengo' kipo! Kwa mara nyingine kimeshindwa kumpitisha rais (Membe) ila kama kinashindwa kufanya hivyo, system yote inayofuata huamuliwa na kitengo. Mathalan Membe anaenda kuwa waziri mkuu.
Sasa why wasitumie nguvu yao kuwapa zaidi wananchi sauti?
why wasiwabane CCM waruhusu Tume ya Uchaguzi huru ili wananchi wawe na final say?
why wao wajipe 'mandate' ya kuwaamulia wananchi?
una uhakika gani wao hawana udini na ukabila kwenye maamuzi yao?
wao sio part yahiyo middleclass inayo waburuza wanyonge?
Nasikia wanamuweka LUKUVI...
Mkuu safari ya matumaini ndo umekubali iishie njiani au?
Mkuu unanitega ee!
Sikuridhishwa kabisa na mchakato wa kumpata mgombea wa CCM.
Binafsi sikubali kabisa safari hii ikome ghafla hivi, ila tusubiri kidogo majibu yatapatikana hivi punde!
Cha kutumaini sina!
Mkuu ni taarifa gani hiyo? Unajua kuna watu wengine hawakuwa wanampenda Lowassa, lakini hisia za kwamba kaonewa zinawafanya wawe upande wake... bora zingetajwa hizo taarifa. Binafsi japo siko kwa Lowassa, lakini ningependa haki... Kama ana mabaya si yawekwe wazi tu. Kwanini kulindana.Kitengo hawakutaka JK awe rais 2005 lakini Mkapa baada ya kuona hawezi kuzima Moto wa JK wa 2005 hakukubaliana na kitengo.
JK baada ya kuingia madarakani 2005 aliwashiti kiaina kitengo ushauri wao mwingi aliupuuza, baada ya CCM kupitia kwenye mapito ya kujivua gamba kitengo wakamshauri JK amteue Kinana kuwa Katibu mkuu na Mangula kuwa makamu mwenyekiti , Kikwete alikubali alishindwa kuwakatalia baada ya kuona Chama kinakwenda mrama.
2015 kitengo hawakumtaka EL , Kikwete hakuwa na jinsi, kitengo walimpa taarifa ambayo hata ungekuwa wewe mleta Mada ndio JK ungelikata tu jina la EL.
Mkuu uko sahihi, kwa hili tuko pamoja!Binafsi sikufurahishwa pia na mchakato ulivyokwenda though nilijua kitakachojiri....
Ila vyovyote itakavyokuwa... iwe leo au kesho... masika au kiangazi ipo siku CCM italipa hii gharama ya kupandikiza chuki za kikanda....
MUSSA ALLAN sikuwa napenda Lowassa awe mgombea Urais kupitia CCM hasa nilipojua makundi yaliyokuwa nyuma yake. Sijapenda namna alivyonyimwa haki kama wale wengine 33 pasipo kupewa maelezo. Lakini ninaamini anapaswa kutulia kwa sasa, ayaache yaliyopita. Si kila mtu atakuwa Rais... Alipofika panamtosha.Mkuu unanitega ee!
Sikuridhishwa kabisa na mchakato wa kumpata mgombea wa CCM.
Binafsi sikubali kabisa safari hii ikome ghafla hivi, ila tusubiri kidogo majibu yatapatikana hivi punde!
Cha kutumaini sina!