Nchi inaendeshwa Kisela sela sana

Nchi inaendeshwa Kisela sela sana

Wakuwalaumu ni JWTZ, sijui wanasubiri nini kufanya jambo.

ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi
Ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo IGP kama Siro ni kada wa CCM:

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Speaker ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kuna Mkuu wa Mkoa. mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM and presidential appointments , Hizo ni nafasi zinapaswa kuwa za kiutumishi na kila Mtanzania mwenye sifa aweze kuzi access ….. badala yake ni nafasi za makada wa CCM kulinda vyeo vyao

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Rais Hawezi kushitakowa kwa Ufisadi alioufanya na kundi lake

Kauli za kuita katiba ni kijitabu tusinge sikia….. yaani kiongozi wa nchi Anachukulia poa KATIBA iliyosimamiwa kuhakikisha anakaa madarakani, inashangaza sana.

Katiba ndio inaleta amani na utulivu, sio Quran au Bible…. Ni kukosa uelewa wa mambo tu ;

Ndio maana kwenye kuapa aliapa kwa kusema nitailinda Tanzania kwa mujibu wa Katiba na sio kwa mujibu wa Quran au Biblia. Viongozi kabla ya kufika juu, wafundishwe kwanza somo la katiba. Unaongozaje nchi hujui thamani ya katiba, Strange!

Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise

Heshima kubwa sana kwa CHADEMA, uchaguzi wa kisela umepitwa na wakati, sasa ni wakati wa reforms nchi itoke kwenye utawala wa drama drama na Usela huku wachache wakinenepeana kama vifurushi.
It is now or never

Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada
Kalale nyumbu, nchi hii ni zaidi ya hiko kitec chako. Hawawezi kutupangia cha kufanya kwa sababu tu hawampendi anayeongoza kwa sababu tu 'siye wao'. Pumbaaavu
Hao TEC na chadema yao hatutaki watuhariboe nchi yetu. Wanalazimisha Kila mtu amchukie Samia lkn hilo halitowezekana sababu hawajamuumba wao.
 
We mbwa koko we katulize makalio kafanye vibarua vyako vya kubeba maboksi, hakuna mchaga mwenye akili mmejaa roho ya ubaguzi, huna akili umejaa arrogance wakati ni mpumbavu moja tu unaokoteza vibarua huko. Mburukenge kwl
 
Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi
Ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo IGP kama Siro ni kada wa CCM:

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Speaker ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kuna Mkuu wa Mkoa. mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM and presidential appointments , Hizo ni nafasi zinapaswa kuwa za kiutumishi na kila Mtanzania mwenye sifa aweze kuzi access ….. badala yake ni nafasi za makada wa CCM kulinda vyeo vyao

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Rais Hawezi kushitakowa kwa Ufisadi alioufanya na kundi lake

Kauli za kuita katiba ni kijitabu tusinge sikia….. yaani kiongozi wa nchi Anachukulia poa KATIBA iliyosimamiwa kuhakikisha anakaa madarakani, inashangaza sana.

Katiba ndio inaleta amani na utulivu, sio Quran au Bible…. Ni kukosa uelewa wa mambo tu ;

Ndio maana kwenye kuapa aliapa kwa kusema nitailinda Tanzania kwa mujibu wa Katiba na sio kwa mujibu wa Quran au Biblia. Viongozi kabla ya kufika juu, wafundishwe kwanza somo la katiba. Unaongozaje nchi hujui thamani ya katiba, Strange!

Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise

Heshima kubwa sana kwa CHADEMA, uchaguzi wa kisela umepitwa na wakati, sasa ni wakati wa reforms nchi itoke kwenye utawala wa drama drama na Usela huku wachache wakinenepeana kama vifurushi.
It is now or never

Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada
Kwanza we siyo mtanzani tena acha upoyoyo tulia zako huko utumwani
 
Cha kushangaza ni kwamba katiba anaiita kajitabu na wakatiba hiyo hiyo ndio iliwezesha kumuweka madarakani...That shows how stupid she is.
 
Namfahamu Fr. Dr. Kitima tangu 2005. Miaka 20 iliyopita enzi hizo anakaa kijiweni kwa mama mchoma mahindi pale jirani na SAUT MAIN CAMPUS ile ya zamani. Wakati huo akiwa Corporate wa SAUT. Unajua maana ya Corporate lakini?
Kuwa na kadi ya chama kuna shida gani, kama anayo?
 
Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi
Ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo IGP kama Siro ni kada wa CCM:

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Speaker ni Kada wa CCM ,

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kuna Mkuu wa Mkoa. mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM and presidential appointments , Hizo ni nafasi zinapaswa kuwa za kiutumishi na kila Mtanzania mwenye sifa aweze kuzi access ….. badala yake ni nafasi za makada wa CCM kulinda vyeo vyao

Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Rais Hawezi kushitakowa kwa Ufisadi alioufanya na kundi lake

Kauli za kuita katiba ni kijitabu tusinge sikia….. yaani kiongozi wa nchi Anachukulia poa KATIBA iliyosimamiwa kuhakikisha anakaa madarakani, inashangaza sana.

Katiba ndio inaleta amani na utulivu, sio Quran au Bible…. Ni kukosa uelewa wa mambo tu ;

Ndio maana kwenye kuapa aliapa kwa kusema nitailinda Tanzania kwa mujibu wa Katiba na sio kwa mujibu wa Quran au Biblia. Viongozi kabla ya kufika juu, wafundishwe kwanza somo la katiba. Unaongozaje nchi hujui thamani ya katiba, Strange!

Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise

Heshima kubwa sana kwa CHADEMA, uchaguzi wa kisela umepitwa na wakati, sasa ni wakati wa reforms nchi itoke kwenye utawala wa drama drama na Usela huku wachache wakinenepeana kama vifurushi.
It is now or never

Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada
1 šŸ™‹šŸ‘‹āœļøšŸŽÆšŸ‘šŸ‘ŠšŸ‘šŸ¤šŸ™
 
Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise

Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada
Hakuna kitu kinaitwa KATIBA YA WARIOBA. Warioba na wenzake waliandaa rasimu ya katiba tu ambayo ilijadiliwa kwenye bunge la katiba na kupatikana katiba pendekezwa. Kilichokuwa kimebaki ni kuipigia kura. Nyie CHADEMA kwa kuwa hamtaki kufuata sheria ndo mnataka rasimu ya katiba ipitishwe bila kujadiliwa. MNACHOKIFANYA NI UHUNI.
 
Ukiniambia Lissu ana kadi namba ngapi ya Chadema mi nitakupa za Fr. Dr. Kitima.
Kipigo kile cha Pd. Kitima mlimpiga mwanachama wa CCM? Kumbe hakuna aliye salama mbele ya watawala dhalimu.
Confucius:heri kubaki kwenye mwitu na kuraruliwa na wanyama wa mwitu kuliko kuwa na watawala dhalimu.
 
Kalale nyumbu, nchi hii ni zaidi ya hiko kitec chako. Hawawezi kutupangia cha kufanya kwa sababu tu hawampendi anayeongoza kwa sababu tu 'siye wao'. Pumbaaavu
Hao TEC na chadema yao hatutaki watuhariboe nchi yetu. Wanalazimisha Kila mtu amchukie Samia lkn hilo halitowezekana sababu hawajamuumba wao.
HUNA Akili
 
Hakuna kitu kinaitwa KATIBA YA WARIOBA. Warioba na wenzake waliandaa rasimu ya katiba tu ambayo ilijadiliwa kwenye bunge la katiba na kupatikana katiba pendekezwa. Kilichokuwa kimebaki ni kuipigia kura. Nyie CHADEMA kwa kuwa hamtaki kufuata sheria ndo mnataka rasimu ya katiba ipitishwe bila kujadiliwa. MNACHOKIFANYA NI UHUNI.
Ijqdilini basi na muipitishe

Shida nin
 
Mkuu, bosi wa rais Samia ni watanzania wapiga kura! Jakaya ni mzee wetu na rais mstaafu basi!!
Kwan hujaona akimtambulisha boss wake

Nyie Raia hamjqwqhi kuwa boss , ndio maana mnatekwq na kuuliwa

Unaweza Kumuua boss wako ?
 
Back
Top Bottom