Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,771
- 10,672
Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi
Ni Kada wa CCM ,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo IGP kama Siro ni kada wa CCM:
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Speaker ni Kada wa CCM ,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kuna Mkuu wa Mkoa. mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM and presidential appointments , Hizo ni nafasi zinapaswa kuwa za kiutumishi na kila Mtanzania mwenye sifa aweze kuzi access ….. badala yake ni nafasi za makada wa CCM kulinda vyeo vyao
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Rais Hawezi kushitakowa kwa Ufisadi alioufanya na kundi lake
Kauli za kuita katiba ni kijitabu tusinge sikia….. yaani kiongozi wa nchi Anachukulia poa KATIBA iliyosimamiwa kuhakikisha anakaa madarakani, inashangaza sana.
Katiba ndio inaleta amani na utulivu, sio Quran au Bible…. Ni kukosa uelewa wa mambo tu ;
Ndio maana kwenye kuapa aliapa kwa kusema nitailinda Tanzania kwa mujibu wa Katiba na sio kwa mujibu wa Quran au Biblia. Viongozi kabla ya kufika juu, wafundishwe kwanza somo la katiba. Unaongozaje nchi hujui thamani ya katiba, Strange!
Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise
Heshima kubwa sana kwa CHADEMA, uchaguzi wa kisela umepitwa na wakati, sasa ni wakati wa reforms nchi itoke kwenye utawala wa drama drama na Usela huku wachache wakinenepeana kama vifurushi.
It is now or never
Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada