Kaka una haraka ya kukosoa wenzako, na kuleta umbea hapa....huku unajisahau kuwa hata wewe ni binadamu....em tuambie wewe umekosea au upo sawa katika hayo maneno machache?? usiwe na haraka kijana...taratibu, kila mtu ameona ulichoona......lakini ni hoja isiyo na mashiko makosa ya tbc ukaconclude kama ulivofanya wewe....taratibu ndo mwendoWadau nimeona taarifa ya habari tbc obana ana hutubia chini waneandi raisi wa tanzania baraka obana.
Wadau nimeona taarifa ya habari tbc obana ana hutubia chini wameandika raisi wa tanzania baraka obana.
Wadau nimeona taarifa ya habari tbc obana ana hutubia chini wameandika raisi wa tanzania baraka obana.
umempatia.................kweliKaka una haraka ya kukosoa wenzako, na kuleta umbea hapa....huku unajisahau kuwa hata wewe ni binadamu....em tuambie wewe umekosea au upo sawa katika hayo maneno machache?? usiwe na haraka kijana...taratibu, kila mtu ameona ulichoona......lakini ni hoja isiyo na mashiko makosa ya tbc ukaconclude kama ulivofanya wewe....taratibu ndo mwendo