Laana kwa taifaMagufuli anafanya kazi kubwa wewe umekaa tu. Muda wote upo unabonyeza simu.
Laana kwa taifaMagufuli anafanya kazi kubwa wewe umekaa tu. Muda wote upo unabonyeza simu.
Kazi kubwa ipi? Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kesi za uonevu unyanyasaji wafanyabiashara wakubwa kwa kutumia TRA? Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Magufuli anafanya kazi kubwa wewe umekaa tu. Muda wote upo unabonyeza simu.
Utampa Mkoloni kaburu mweusi tokea chato au?Kura yangu nitampa yeye
Sera zake mbovu ndio zimeleta njaa nchi hata ufe unafanya kazi utoboi ni lzm uwe masikini ili utawaliwe upende usipendekama hamtaki kufanya kazi nani awaletee chakula asiyefanya kazi na asile mtakoma hali mbona iko shwari tuuu
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaMbaya zaidi ni huko kanda ya kusini. Serikali ya magufuli walipoona magufuli ameshindwa kufanya kampeni mikoa ya LINDI na Mtwara wakaamua Jana kumzuia Lissu kufanya mikutano kama nane kwenye mikoa hiyo. Kilichonishangaza ni kuwa wananchi wameapa kwa Jina la Allah kuwa vyovyote vile watampigia kura Tundu Antiphas Lissu na watazilinda kura zao hapo wiki ijayo.
Kweli wakati wa Mungu alishafika, hakuna wa kuuzuia!!
Kweli kabisa Aisee. Kweli kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho. Asante MunguHakuna mabaya yasiyo na mwisho na mateso manyanyaso ya CCM sasa yaenda mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu na wenzao leo hii wapo wapi?
CCM mwaka huu hawana pa kutokea. Wajiandae tu kukabidhi ikulu kwa TL mapema sana.Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Mungu yupo Tanzania hakuna shida baada ya hiyo tarehe kwa Mkoloni kaburu mweusi atakuwa chato kijijini katuliana tabiri baada ya tare 28, utaishi maisha magumu sana yenye stress zisizo isha. over.
Nampa mbeba maono lisu hao nilijichanganya 2015 sasa sirudikosa nampa lisuUtampa Mkoloni kaburu mweusi tokea chato au?
Akili kisoda haziwezi kuona tofauti, meko bye byeAKIPATA ATA DIWANI MUMOJA BASI ATAKUA AMESHINDA. MIMI NAONA ANAHARIBU MAFUTA YA CHOPA BURE TUUU.
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri wake wewe unapata Rushwa kupitia blackmail ulizowafanyia watu kupitia udikiteta wake umejinufaisha kwa kuwatisha watu ndiyo maana unamtetea mtukufu juu ya matendo yenu haramu ya kishetaniWewe bila shaka una kinyongo na Magufuli yawezekana ulikua hulipi kodi au ulikua na cheti hewa ukatumbuliwa au ulikua unafanya biashara za magendo.
Utampa Mkoloni kaburu mweusi tokea chato au?
Na hii ndiyo hali halisi ya the so called DAY DREAMING! Asante kwa kunithibitishia kuwa kuna NDOTO ZA MCHANA!Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Magendo yapo CCM Ndungai kula bilion 12 peke yake akiwa India ni magendo kula 10% kwenye miradi ya kifisadi kuanzia ujenzi wa reli SGR bwawa la umeme flyover na miradi yote mikubwa ni magendo hayo kama ulikuwa hujui utawala huu kuna ufisadi kuliko Tawala zote zilizopita tokea Nchi ipate uhuru.hana pasipo na ufisadi kote kuna majanga na kibaya zaidi ni kuiba trilion 1,5 kisha wakamtoa CAG kafara huku ununuzi wa Ndege kwa cash ukibugikwa na ufisadi mkubwa kuliko zote NchiniWewe bila shaka una kinyongo na Magufuli yawezekana ulikua hulipi kodi au ulikua na cheti hewa ukatumbuliwa au ulikua unafanya biashara za magendo.
Ndoto za mchana ni kudhani mwaka 2020 ni sawa na miaka ya nyuma ambapo CCM iliwaburuza wananchiNa hii ndiyo hali halisi ya the so called DAY DREAMING! Asante kwa kunithibitishia kuwa kuna NDOTO ZA MCHANA!
Tunaenda kuagana,na maadui wa uhuru na haki na hiyo ndio chanzo cha furaha yenyewe.Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...