Nchi imekauka, mambo hayaendi...

" NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO "
 

Mkoani hali ni mbaya zaidi. Mzee wa Chato bye bye. 2020 tunatembea na Tundu Antipas Lissu.
 

Wewe unaizungumzia Dar es salaam gani?
Ya kwenye TV TBC?

Bakuri gani limefungiwa kabatini?

It seems uko out of touch na reality ya kinachoendelea nchini!
 
Hahahahaaaaaa
Mpira uliojirudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga kwa hisani ya Jiwe unasumbua sana. Deni la nchi limepaa tutalipa sisi na wajukuu wetu kwa ujenzi wa chattel.
Muda utazungumza kama hamtatuambia mmehamia Rwanda na Burundi mkituachia maumivu ya madeni.
 
Ujinga kwa hisani ya Jiwe unasumbua sana. Deni la nchi limepaa tutalipa sisi na wajukuu wetu kwa ujenzi wa chattel.
Muda utazungumza kama hamtatuambia mmehamia Rwanda na Burundi mkituachia maumivu ya madeni.
Ujenzi wa kiwanja hicho unawala akili za wapinzani wa Serikali
hadi wamesahau agenda zao za mzingi ambazo ziliwapa kujulikana hadi kufikia kuwaingiza Ikulu!

Kweli wajinga ndio waliwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa mchumba wake?
 
Awamu hii mtu hafanyi biashara ili apate faida
Anafanya biashara ili alinde mtaji wake tu
Kila kukicha ni bora ya jana,ndio kwanza ni miaka mi3 tu,bado miaka 7 inatusubiri.
Safari hii nikunyooshwa hadi ukiitwa unaitikia “Abeee!!!”[emoji38]
 
Enzi hizi usipotumia akili ya ziada utakufa na njaa. Bahati mbaya Watanzania wengi wanategemea KUSAIDIWA na siyo kupambana. Mentally tumefeli toka utotoni.
 
Tukiwamaliza wapinzani na kumaliza kuvunja nyumba za watu, tuwasiliane
 
Wacha niendelee kusoma maoni ya watu tu hapa
 

Kama unafanya tu hii biashara nina uhakika hupati faida kwenye hii biashara yako. Wewe ni mtu unayepoteza muda wako tu. Hizi ndio kazi zisizo na tija, tusidanganyane hapa.

Unalipa kodi shilingi ngapi kwenye kila tray?
Kwanza una leseni ya biashara kweli wewe?
Bado sijauliza kama una EFD Mashine

Alafu ukiambiwa hali ni mbaya unaleta kibesi, wewe ni mhuju uchumi tu kama huna habari bado wewe hujaathirika na kimachoitwa wapiga dili. Kwahiyo kaa kwa kutulia


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…