Mkorintho wa 6
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 270
- 429
Ugumu wa maishaKuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
Soon utampoteza mama yako ambaye hajui hata 'Dili'ni kitu gani!! Sisi pia hatutasikitika!! Unajua kwa nini? Kwa kuwa tutakuwa dhaifu sana kuweza kumsikitikia!!wanaoshindwa kufanya biashara ni wale wanaofanya waliokuwa wakifanya biashara kiujanja ujanja kwa kukwepa kodi, nikiwa kama mwananchi mwema sijutii kuwapoteza wafanyabiasha wasio na faida kwa taifa langu.
Acha ujinga wewe, toka hapo kwa shemeji yako! Mimi nipo MWanza, nafuga kuku wa kienyeji, nina oda ya mayai ya kienyeji hadi wateja nawakimbia....kwasasa hivi nazalisha tray 2 tu kwa siku.(2 X 15,000 X 28) jibu unalo mwenyewe.Juzi moja nimepita Liberty,kirumba sokoni,mpaka Lumumba hakuna aliye na unafuu,kama huku wameanza kuwazomea viongoz wa Jiwe majukwani akina Anjelina Mabula hahahaha! hali sio nzuri,mabanda ya kuku yalishafungwa,frame kibao ziko off,gharama za uendeshaji wa biashara ipo juu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuona,masela walisifia mzigo lakini hakuona aliyejitoa fahamu,kila mtu alikuwa na jero ya haisi,kila jua linaposogea anakagua kama bado ipoJuzi moja nimepita Liberty,kirumba sokoni,mpaka Lumumba hakuna aliye na unafuu,kama huku wameanza kuwazomea viongoz wa Jiwe majukwani akina Anjelina Mabula hahahaha! hali sio nzuri,mabanda ya kuku yalishafungwa,frame kibao ziko off,gharama za uendeshaji wa biashara ipo juu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuache maana akili zako unazijua mwenyewe.Halafu hunijui sikujui mambo ya kunambia nakaa kwa shemeji pole sana,naweza kukulisha mwaka mzima wewe na familia yako na ukoo wakoAcha ujinga wewe, toka hapo kwa shemeji yako! Mimi nipo MWanza, nafuga kuku wa kienyeji, nina oda ya mayai ya kienyeji hadi wateja nawakimbia....kwasasa hivi nazalisha tray 2 tu kwa siku.(2 X 15,000 X 28) jibu unalo mwenyewe.
Kama utaweza njoo nikupe mitetea 3 na jogoo moja kisha baada ya miezi 6 urudi hapa jf uandike upuuzi wako.
hahaahha unakula ugali bado unafurahi huo ulaji wa kusazaHuku mikoani tunakula na kusaza kabisa, tunalala sehemu yenye upepo mwanana,hakuna maharufu ya chembaz,
Mkiambiwa msikimbile dar hamtuelewi.
Kama yamekushinda rudi kijijini ukalime msimu wa mvua hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Vp huyo ni fisiem au cdm?Kuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
Kwa Dar unayoizungumzia:Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.
Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu.
Ukizunguuka ukaenda kwa wauza chipsi mafuta wameyachomea chipsi wameyarudia hata mara tano yamekuwa meusi tiii, wanakwambia brother hali ni ngumu hatuwezi kumwaga yale tuliyokwisha tumia.
Ukienda kwa mama ntilie, unawaona jinsi watu wanavyohustle, vijana wanawakopa, hela ya kula ngumu na wanakwambia wanakula mlo mmoja kwa siku.
Siku hizi kuangalia TV majumbani imeshakuwa anasa, hela ya king'amuzi kila mwezi mtihani!
Hali ni ngumu kitaa, hali ni mbaya sana. Nchi imekauka kaukau
Hivi viongozi wa serikali wanalijua hili?. Hivi wako aware na hali ya kiuchumi ya wananchi wao?
Serikali ilijue hili kuwa hali ni mbaya mtaani, data na Takwimu za makusanyo na kukua kwa uchumi hazitusaidii sisi wananchi, matangazo yenu hayajatranslate kwenye hali halisi huku kitaa!
Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?
AiseeeKuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
Huo ni ukweli usiopingika biashara zimekua ngum, nenda tu pale Oil Com Ubungo zile frame zilizokua na biashara kibao zimefungwa zimebak ATM tu pale na booking office, Nchi imeyumbaaNimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.
Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu.
Ukizunguuka ukaenda kwa wauza chipsi mafuta wameyachomea chipsi wameyarudia hata mara tano yamekuwa meusi tiii, wanakwambia brother hali ni ngumu hatuwezi kumwaga yale tuliyokwisha tumia.
Ukienda kwa mama ntilie, unawaona jinsi watu wanavyohustle, vijana wanawakopa, hela ya kula ngumu na wanakwambia wanakula mlo mmoja kwa siku.
Siku hizi kuangalia TV majumbani imeshakuwa anasa, hela ya king'amuzi kila mwezi mtihani!
Hali ni ngumu kitaa, hali ni mbaya sana. Nchi imekauka kaukau
Hivi viongozi wa serikali wanalijua hili?. Hivi wako aware na hali ya kiuchumi ya wananchi wao?
Serikali ilijue hili kuwa hali ni mbaya mtaani, data na Takwimu za makusanyo na kukua kwa uchumi hazitusaidii sisi wananchi, matangazo yenu hayajatranslate kwenye hali halisi huku kitaa!
Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?
Nyie huko mchango wenu kwenye pato la Taifa ni mdogo sana, Dar peke yake inachangia zaidi ya 70% ya pato la Taifa. Kama hali ikiwa mbaya huku basi Taifa zima lina hali mbaya!
Nyie huko mnaoishi kwenye enzi za ujima ( subsistence economy) pengine hamjaanza kuifeel pinch maana mmezoea kutokuwa na hela ya maana anyway!. Ila soon kodi ya kichwa( vitambulisho maalum) itakufikieni, hapo mtaanza kuwakimbia mgambo na kujificha juu ya dari kama zamani!. Zamu yenu yaja!
Dar ni kichwa, kikifa, soon na nyie huko akina vidole mtakufa tu!
Mtoa mada atakuwa katumwa na red brigade ,sio buree kabisa, sisi green card mbona mambo mazurihahaahha unakula ugali bado unafurahi huo ulaji wa kusaza
mikoani khali napo ni mbaya, mara 2-3 jamaa yangu yuko serikalini anajifanya kunistua saa 3-4 usiku et umeme umeisha ghafla namu m-pesa.
Najua khali ni mbaya kote mkuu tuwe wakweli