Nchi imekauka, mambo hayaendi...

Nchi imekauka, mambo hayaendi...

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,850
Reaction score
62,285
Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.
Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu.

Ukizunguuka ukaenda kwa wauza chipsi mafuta wameyachomea chipsi wameyarudia hata mara tano yamekuwa meusi tiii, wanakwambia brother hali ni ngumu hatuwezi kumwaga yale tuliyokwisha tumia.

Ukienda kwa mama ntilie, unawaona jinsi watu wanavyohustle, vijana wanawakopa, hela ya kula ngumu na wanakwambia wanakula mlo mmoja kwa siku.

Siku hizi kuangalia TV majumbani imeshakuwa anasa, hela ya king'amuzi kila mwezi mtihani!

Hali ni ngumu kitaa, hali ni mbaya sana. Nchi imekauka kaukau

Hivi viongozi wa serikali wanalijua hili?. Hivi wako aware na hali ya kiuchumi ya wananchi wao?

Serikali ilijue hili kuwa hali ni mbaya mtaani, data na Takwimu za makusanyo na kukua kwa uchumi hazitusaidii sisi wananchi, matangazo yenu hayajatranslate kwenye hali halisi huku kitaa!

Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?
 
Ni lini nchi hii iiwahi kuwa mbichi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaposema hali imekuwa ngumu hatumaanishi huko nyuma ilikuwa nyepesi Bali ilikuwa ni afadhali maana ukipata elfu kumi ulikuwa unaweza kula hata siku 3 ila Leo ukiamka na sh elfu kumi ikifika SAA NNE asubuhi imekwisha.

Na pia kuipata tena ni kazi sana.

Wajinga mnasinginzia watu walikuwa wapiga dili
 
Kuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
 
Miaka mitano iliyo pita huku Mbeya ulikuwa ukinunua chips za buku mpaka muuzaji anakuuliza mpo wangapi? Maana alikuwa Ana uhakika huta maliza. Ukisema upo mwenyewe atakushauri uchukue za jero. Lakini sasa hivi chips za buku unaweza ukamkunja muuzaji ukadhani amekutapeli hela yako kwa kukupa vipunje kidogo vya viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mikoani tunakula na kusaza kabisa, tunalala sehemu yenye upepo mwanana,hakuna maharufu ya chembaz,

Mkiambiwa msikimbile dar hamtuelewi.

Kama yamekushinda rudi kijijini ukalime msimu wa mvua hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie huko mchango wenu kwenye pato la Taifa ni mdogo sana, Dar peke yake inachangia zaidi ya 70% ya pato la Taifa. Kama hali ikiwa mbaya huku basi Taifa zima lina hali mbaya!

Nyie huko mnaoishi kwenye enzi za ujima ( subsistence economy) pengine hamjaanza kuifeel pinch maana mmezoea kutokuwa na hela ya maana anyway!. Ila soon kodi ya kichwa( vitambulisho maalum) itakufikieni, hapo mtaanza kuwakimbia mgambo na kujificha juu ya dari kama zamani!. Zamu yenu yaja!

Dar ni kichwa, kikifa, soon na nyie huko akina vidole mtakufa tu!
 
wanaoshindwa kufanya biashara ni wale wanaofanya waliokuwa wakifanya biashara kiujanja ujanja kwa kukwepa kodi, nikiwa kama mwananchi mwema sijutii kuwapoteza wafanyabiasha wasio na faida kwa taifa langu.

Utakuwa umeajiriwa wewe una uhakika wa kimshahara kuingia kila mwezi.

Hebu jaribu kuitafuta sh 10000 on your own uone mziki wake!
 
Back
Top Bottom