n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,271
Ndio ubunifu wa CCM na phd zao ulipofikia hapo.Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Kamari huleta uvivu miongoni mwa vijana.
Imewafanya vijana wazembee Sana hawataki kujituma.
Ndio ubunifu wa CCM na phd zao ulipofikia hapo.
Mimi uwa sibet kabisa ila wanaobeti uwa siwalaumu kabisa. Why serikari yenyewe hii yakwetu magumashi Mengi sana mpaka vijana wanakua frastated bora wabet ila wasiibe tu.
Kokoto kuna jaw crusher ina uwezo wa tani 500 kwa saaNimeweka kama mfano, kama utagundua nineweka private sector tu,,,
Mfano kazi ya kupasua kokoto, haiitaji mtaji zaidi ya nyundo na nguvu zako, hii inaweza kuajili watu milion 10,, kinachotakiwa ni utashi wa watu,
Kazi ya kufyatua tofali za udongo na kuchoma,, mtaji ni jembe, koleo na pumba za mpunga, tu, unafyatua, unapanga tanuru, unachoma, unauza tofali,, haina mtaji mkubwa, inataka utashi tu,, hii nchi nzima inaweza kuajiri watu, milioni 5,
Kukusanya chupa za plastics, ni kazi nzuri,, lakini inataka utashi wako tu, na inalipa,
Dreva wa bodaboda,, hii inataka uaminifu tu na kujua kuendesha boda boda,
Ukuli,, hii inataka nguvu tu, hawa makuli kwa siku wanaingiza hadi 50,000,, [emoji2369]
Kazi ni nyingi mno
SERIKALI IMEBARIKI KWA KUWA INAPATA KODI MIMI NASEMA WAJINGA NA WAPUMBAVU WAACHA WAIBIWE TU KWANI KUCHEZA NI HIARIWapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Mnapiga sana vibomu vya buku na jero, wajinga sana nyie!Mpumbavu mmoja unaongea...
Kijana ajira unategemea wapi Ale.
Nikiamua kuishi maisha yangu unanifuatilia...
Hela ya kubet unanipa.
Acha tuishi maisha tuliyoamua kuishi
Kibao kitageuka na haya mambo yatakwisha, ni suala la muda mfupi tu. Kwa sababu ya changamoto ya mzunguko wa fedha kuwa chini hii imeonekana kama suluhisho pia kunusuru mdororo wa vyombo vya habari vinavyokosa wasikilizaji kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia na kidijitali.Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Kwakutumia ujiniasi wangu ....binafsi siwezi kupinga kamari ila Serikali inatakiwa ianzishe beti yake madhubuti na kupiga marufuku watu binafsi kushezesha kamari maana tunaua dhamani ya pesa yetu bure wachezesha kamari wa kigeni wana somba faida kwa pesa za kigeni ....na kuzipeleka nje ya nchiWapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Wacheza kamari tunalipa Kodi ,wewe unalipa nini
SERIKALI IMEBARIKI KWA KUWA INAPATA KODI MIMI NASEMA WAJINGA NA WAPUMBAVU WAACHA WAIBIWE TU KWANI KUCHEZA NI HIARI