Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 477
- 1,017
Ni wazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa wanapiga, wakandarasi na mafundi kwenye miradi wanajipigia tu, tunachosubiri ni kuona tunapoenda kuangukia. Washauri wa Rais kuweni honest na mwambieni mama kuwa nchi imekuwa ya wapigaji, mafisadi na wezi na iyo ndo image ya Tanzania ya sasa aliyoitengeneza huko duniani. Kusafiri kila siku ulaya siyo kufungua nchi bali ni kutoa nafasi ya wahuni kufanya yao. Sijui Samia atawaambia nini wananchi uchaguzi utakapoanza.