Aliharibu mfumo gani?Na nyie wafuasi wa Magufuli, kila kitu mnataka kutuaminisha Magufuli alikuwa na akili sana na mzalendo sana. Kiongozi mzuri haharibu mifumo ya utawala bora na yeye kujigeuza Mungu mtu.
Ile International airport ya Chato imeanza kupokea ndege ipi ?? au thomassankara airlines ??Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa jamaa zake 'nepotism' Nchi ilipata bahati mbaya sana kumpoteza Magufuli baada ya kutumikia mhula mmoja tu.
Kwa kukosa maarifa sasa tunapokea uwekezaji toka popote. Nchi zingine kama Israel ni hatari uwekezaji zao maana wanalenga kujitajiri wao na kuwazuia umma wa wenyeji msiendelee.
Hilo sio siri. Nchi kama UAE tayari zimetekwa na Israel zikija kuwekeza huku Afrika ni sawa ni mayahudi wenyewe wamekuja kuwekeza. Inahitaji umakini mkubwa na uzalendo mkubwa kudhibiti uwekezaji wa mayahudi.
Viongozi wapenda rushwa na wabinafsi hawataweza kumudu wawekezaji hatari na mwisho taifa litatoka kwenye misingi ya ujamaa na kujitegemea na tutasambaratika kama Sudan na yale tunaona Congo na Rwanda.
Tutaanza kupigana wenyewe. Dalili tayari zinaonekana. Majasusi wa kigeni wapo wengi kutuvuruga.
TUMUOMBE MUNGU ATUNUSURU
Magufuli akizingatia sana katiba na sheria na ndio akaiba uchaguzi na akamweka kibaraka wake Mwinyi kuwa Raisi huku Zanzibar baada ya kuuwa watu na kuwajeruhi wengine kupata ulemavu wa maishaNasisitiza Magufuli alikua anazingatia sana katiba na sheria. Wasiopenda haki hawakumpenda kwa wao kutaka kutumia sheria kuepa haki au kufanya biashara ya kuuza haki kupitia sheria.
Kama anazingatia sheria, pesa alizopora kwenye bureau de change alizipeleka wapi? Vitambulisho vya wamachinga vilikuwa vinatolewa kwa shilingi 20,000, zile pesa zilikusanywa kwa sheria gani na ziliingizwa kwenye mfuko gani. Ni wajibu rais kuisimamia pesa za umma na kupeleka maendelea nchi nzima bila upendeleo maana pesa sio zake. Je alipokuwa anapita na kusema walipochagua wapinzani hapeleki maendeleo alikuwa anatumia sheria na katiba gani?Nasisitiza Magufuli alikua anazingatia sana katiba na sheria. Wasiopenda haki hawakumpenda kwa wao kutaka kutumia sheria kuepa haki au kufanya biashara ya kuuza haki kupitia sheria.
Wa uchaguzi.Aliharibu mfumo gani?