Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,831
- 8,775
Ni kweli ndg Nina hisia Kali sana za uchungu.Umeandika kwa hisia pole sana😢
Hakuna haja ya kuendelea kulaumu
Tujidhatiti kutokomeza huu ujinga
Ni kweli ndg Nina hisia Kali sana za uchungu.
Vivi umewahi kufikira ni mamilioni mangapi ya TZS yalitumika kwenye:
-Sh Uchaguzi wa 2025 kuanzia matangazo,kampeni,usafiri kwa ajili ya udiwani,ubunge na urasi?
Kila kitu kipo wazi mambo yanapangwa chumbani lakini yanatekelezwa sebuleni-Sh ngapi zinatumika kuzima fukuto la mauaji ya MO 29 kuanzia lobbying na tume za hovyo kama za Mzee Chande?
- Ah ngapi kwa ajili ya kuzima maandamano?
- Sh ngapi zinatumika mahakamani Kwa KESI ya ugaidi na uhaini
Unajua gharama hizi zote zinamalizwa ndani ya katiba mpya TU?
Siku zote wajinga wakishika madaraka ni hatari sana.Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.
Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi.
1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo.
2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani.
3) Sasa hivi kila kitu ni ujingaujinga tu.
- Uchaguzi ni wa kijingajinga TU
angalia chaguzi zote zinavyoendeshwa,mfano Oct2025
- Serikali ya ni ya kijingajinga TU
Angalia serikali inavyoendeshwa kuanzia matamko, hotuba na matendo ya Vyombo vya Dola.
Mfano mdogo TU,mtu anatangaza hakuna mikutano ya siasa,anakuja mwingine anaondoa katazo hilo.
Mmoja anasema tudai katiba mpya,wengine wanasema hatuhitaji katiba mpya.
Mmoja anasema nchini kuna magaidi,bila kujali athari.
Mwingine anasema hakuna magaidi
- BUNGE ni la kijingajinga TU
Bungeni huko ndio kama Kilabu Cha pombe za kienyeji,maisha ya huko ni mipasho TU. Mmoja anasimama bungeni anasema nchi hii Kuna Yuda Eskarioti, mwingine anasema hakuna Yuda
- Mahakama ni ya kijingajinga TU
MAHAKAMA kiasili ni sehemu takatifu, lkn hapa Sasa, ndio usiseme kabisa.
Dunia nzima inashangaa.
Majaji na wanasheria wa serikali wala hawajulikani wanataka Nini katika KESI za kisiasa.
Mwaka juzi Kuna mtu alishitakiwa kwa "ugaidi",alipotoka mahkamani akaenda ikulu kunya chai,kahawa na kashata na kupiga picha na wenyeji wa huko.
Mwaka huu Kuna mtu anashitakiwa peke yake kwa "uhaini"kutaka kupindua serikali.
Mipango ya kupindua aliifanya kwenye mkutano wa hadhara Tena kukiwa na waandishi wa habari, na nje Kuna polisi wakilinda mkutano.
Huyu mtuhumiwa ktk njama zake anatuhumiwa peke yake Hana Jeshi, wala kikundi Cha waasi.
Hana bunduki wala kisu.
IImefika wakati wananchi huko Nje ya nchi watakua wanaogopa kijitambulisha kama wao ni wananchi wa nchi hii.
Miaka kadhaa ijayo katika nchi nyingine watakua na vipindi mashuleni na vyuoni kusoma historia ya Taifa lililoongoza duniani kwa mambo ya kijingajinga.
Ujinga ukikomaa zaidi huzaa upumbavu!Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.

CCM sio njinga, njinga ni hawa top wake Wasira,moza na msoga and of that type or categoryNchi haina ujinga bali ccm ndio njinga njinga na inataka wote tuwe wajinga kama wao ndio maana kuna mvutano nchini kwa kutotaka ujinga.
Huyu kazidi aiseeSiku zote wajinga wakishika madaraka ni hatari sana.