Nchi haiongozwi kwa lamri

Watchman

Member
Nov 21, 2010
25
4
Mmh!...I doubt if mr. president is real serious. jina kama Hawa Ghasia kuendelea kuwepo kwenye wizara inayosimamia maliasili muhimu kama wafanyakazi ni udhaifu mkubwa kwa aliyemweka hapo. uhusiano wa serikali na wafanyakazi bado ni tete, anahitajika mtu serious na siyo Ghasia ambaye anauwezekano mkubwa wa kuendeleza ghasia zake kutokana na kauli zake za ovyo ovyo. mr. president be serious, nchi haiongozwi kwa lamri :angry:
 
Back
Top Bottom