Nchi haina wazee wanaoshauri?

Alisema mwenyewe anataka vijana wazee waliifilisi nchi. Sisi wazee hatusikilizwi wacha vijana wachape kazi.
 
1. Yule mzee mwenye kidoti kidevuni mlimchapa makofi
2. Yule aliyewahi kuwa katibu wa chama chenu na mkuu wa mkoa wa Dar, mwanae mmemnyima uwaziri mkuu
3. Yule mzee wa msoga, mlimsimanga sana kipindi cha uongozi wake, hivyo anataka muisome, kwanza yeye mwenyewe anamuogopa Sizonje
4. Wazee wote wa Zanzibar wapo bize kuijenga nchi yao changa, kwani yanayoendelea huku wao hayawahusu hata robo chembe.
5. Mzee 'ruksa' kama lilivyo jina lake maana yake kesharuhusu haya kutokea.
6. Mzee 'asiye na dini' kwa sasa yupo huku kwetu na ana hamu kweli Sizonje akosee
Hahahah nimecheka sana
 
Back
Top Bottom