Nchi gani Afrika yenye utamaduni huu?

Nchi yenye utamaduni huu mbovu wa maadili ni Swaziland kwa Mfalme Mswati, hivi mwakumbuka Mama Salma kawahi enda hudhuria huu upuuzi?
by cZg fromETU:pole ndugu c wapuuzi maana ka maana ya upuuzi ikizingatiwa imekupasa uwatake radhi mpuuz nialieacha tamadun yake...
 
by cZg fromETU:pole ndugu c wapuuzi maana ka maana ya upuuzi ikizingatiwa imekupasa uwatake radhi mpuuz nialieacha tamadun yake...

Wala siwezi kuwataka radhi kwa tamaduni zao za kipumbavu za kumkufuru Mungu.
 
anakula gud times ila jamaa ni kwamba hataweza kutulia na kitu kimoja halafu mbona hizo mashine hapo kama vile ni used zote..?
 
Back
Top Bottom