Nadhan miaka hii hatuwezi kusifia jeshi zuri ardhin la nchi, mi nadhani ungekuja na Uzi kuuliza kikundi gani cha waasi au magaidi wenye uwezo mkubwa wa kupigana vita vya ardhin wanao sumbua nchi zao na serikali yao wanaotumia ndege za kivita kuwapiga lakin bado mapambano yako pale pale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.