Nchi gani Afrika ina JESHI hatari la ardhini?

Nchi gani Afrika ina JESHI hatari la ardhini?

Yaani acha kabisa!

RPF ni jeshi dogo sana lakini ni hataree kweli kweli, pamoja na udogo wao wameitawala DRC kwa miaka kadhaa, wamezitoa kamasi mi nchi mingi tuu inayoizunguka yenye jeshi kubwa mara 10 kuliko lao, yaani ni kama lilivyo jeshi la Israel vile, tehee tehee

Wacha kujidanganya
 
wanajeshi wetu noma wanavunja matofali kwa vichwa
 
jeshi za kuaminika afrika at the moment ni tatu tu. egypt, algeria na ethiopia. only angola comes close to these three. military strength is usually a result of recent major conflict or a major active threat. algeria has tensions with morocco and conflict with islamists. ethiopia has an unpredictable enemy called eritrea who they have fought two times. egypt has israel and iran to worry about and is relied upon as the largest army in the sunni arab world. other armies in africa remain mostly untested except for minor missions. terrorist groups like boko haram and al shabaab are not really a test of armies but of special forces and intelligence.

but let me add having a strong army is not always worth boasting about. strong armies cost money in personnel, training and equipment. ethiopia, algeria and egypt armies have the highest number of personnel and all those soldiers need a salary and benefits. if there is no military threat, there is no need to overspend on the army. keep it at the minimum. that money is better used on education, healthcare and infrastructure. when military and national intelligence points to a major emerging threat, that is the time to overspend. there are even countries in the world that have no military.
 
Wakuu nina hoja fupi sana hapa, hivi kwa bara la Afrika ni nchi gani inamiliki jeshi hatari la ardhini lenye makomandoo hatari, silaha hatari, magari hatari ya kivita na ujuzi wa ajabu katika ground wars. Unafirikia itakua ni gani?

Karibuni

Omba na vyanzo (source of data) kwa kila nchi utakayotajiwa
 
Tulipokuwa watoto wadogo kila Gari ikipita utasikia," Gari ya baba" wakati baba hata baiskeli kununua ni ndoto!!.

Kwa swali lako tegemea majibu hayo mengi.

Usije siku moja unasema ulitafiti.
 
Mightest Armies in Africa: (1) Egypt (2) Algeria (3) Ethiopia (4) South Africa (5) Nigeria. Kumbuka, Tanzania haimo kwenye majeshi kumi 10 bora Africa.
 
Mightest Armies in Africa: (1) Egypt (2) Algeria (3) Ethiopia (4) South Africa (5) Nigeria. Kumbuka, Tanzania haimo kwenye majeshi kumi 10 bora Africa.

Ethiopia haiwezi kuwa juu ya south, south ndio nchi yenye jeshi la lenye nguvu Afrika.
 
Yaani acha kabisa!

RPF ni jeshi dogo sana lakini ni hataree kweli kweli, pamoja na udogo wao wameitawala DRC kwa miaka kadhaa, wamezitoa kamasi mi nchi mingi tuu inayoizunguka yenye jeshi kubwa mara 10 kuliko lao, yaani ni kama lilivyo jeshi la Israel vile, tehee tehee
sasa mbona mnawaogopa sana watu 3000 ambao hata viatu vya kuvaa jeshini hawana? halafu mnakosea sana kujilinganisha na israel, uwezo wa israeli upo kwenye uchumi zaidi na ndio unaojenga jeshi, pia waisrael wana umoja sana, wayahudi wana umoja sana sana na hakuna wayahudi nje ya israel ambao wanawindwa kuuawa kama walivyo wanyarwanda nje ya rwanda wanaotafutwa kuuawa. wayahudi wanayo makabila 14 lakini yote hayo yana umoja hakuna ukabila, rwanda kuna ukabila ndio maana hakutakuja kuwa na jeshi la umoja, jeshi lote limejaa watusi kwasababu wahutu wakiwa wengi rwanda itapinduliwa. yaani mnachekesha sana, nchi masikini kuliko zote africa mashariki (except burundi) halafu unasema mnao uwezo? natamani siku moja tz iingie iwape kipigo.
 
Back
Top Bottom