Nchi bila umeme,mafuta-bado tunasema nchi ni maskini

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
KATIKA NCHI AMBAZO KWA SASA ZIPO KWENYE WAKATI MGUMU MOJAWAPO NI TANZANIA,KWANI LICHA YA MGAO WA UMEME KUINGIA KWENYE UTARATIBU WA MAISHA YA MTANZANIA NA KUUONA KAMA HALI YA KAWAIDA,BADO MATATIZO HAIYAISHI,SWALA LA MAFUTA LILILOANZA NA KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA NA HATIMAYE KUKOSEKANA KWA MAFUTA KABISA NI BAADHI YA VITU VINAVYOFANYA MAISHA KWA MTANZANIA KWENDA KINYUME KABISA NA KAULI MBIU YA maisha bora kwa kila mtanzania.
NCHI INAENDESHWA NA VIONGOZI WASIO NA UCHU WA MAENDELEO KWA NCHI YAO,BALI KILA MTU KUJARIBU KUJILIMBIKIZIA MALI ZAKE.
NAAMINI KUNA SIKU WANANCHI TUTAGOMA NA NDIPO HAPO HII NCHI HAITATAWALIKA TENA
 
to tackle this fuel crisis ask the Gov to send Military personnel to operate the fuel depots URGENTLY!.
 
halafu mkuu wa nchi anafutarisha watu ikulu as ifi tupo kwenye kipindi kizuri kabisssssaaaaaa, naona halimbaya na jambo baya lolote lawezatokea wakati wowote tangu sasa, naomba MUNGU atuepushe nalo lakini kama hali ikiwa hivi, anaything can happen......usidhani ni hadi hali iweje ndio watu waingie mtaani ni kwamba hata sasa hali ni mbaya kuliko mtu yoyote anavyoweza kudhani.
 
Mgao wa maji, mgao wa umeme na sasa mgao wa mafuta...hili ni taifa la migao Tanzania nia bila mgao haiwezekani.
 
Viongozi wanayo mafuta, wanachofanya ni kuwapotezea kabisa wananchi. Tutahangaika wewe hadi somo litakapoingia vizuri basi wataacha. Ningependa tuwe tunarecord vifo vinavyotokana na hii shida ili baadae wajibu tuhuma.
 
Kinachotia kichefuchuefy ni kuwa watawala wala hawaonyeshi kulishighulikia tatizo hili kama ni kityu serious. Nadhani upole wa watanzania umewafanya watawala wawe complacent. kwa kuwa siku zinaenda, basi na wao wanajua kuwa mambo ni mswano tu
 
cha kusikitisha zaidi-viongozi wapo tu as if nchi haina tatizo lolote liwe-mtu akitaka kuhoji wanambana kuwa ni katumwa na wanasiasa ili achafue amani-hiv kweli tuanweza kuwa na amani wakati tuna matatizo lukuki
 
Kwa kweli we are going to end like zaire, we have gold, we have diamond, we have educated and intelligent people we have the best natural resources not to mention the lakes, falls in kilomero but we are the leading poorest countries in the world jamani mweeeeeeee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom