arch 82
Member
- Mar 8, 2016
- 77
- 32
Tanza
Ni
Tanzania hamna au we unaona ni salama?Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
- 15. Nigeria
- 14. North Korea
- 13. Russia
- 12. Democratic Republic of the Congo
- 11. Pakistan
- 10. Libya
- 9. Sudan
- 8. Ukraine
- 7. Central African Republic
- 6. Yemen
- 5. Somalia
- 4. Afghanistan
- 3. Iraq
- 2. South Sudan
- 1. Syria
Ni