Nchi 15 hatari zaidi kuishi duniani

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
  • 15. Nigeria
  • 14. North Korea
  • 13. Russia
  • 12. Democratic Republic of the Congo
  • 11. Pakistan
  • 10. Libya
  • 9. Sudan
  • 8. Ukraine
  • 7. Central African Republic
  • 6. Yemen
  • 5. Somalia
  • 4. Afghanistan
  • 3. Iraq
  • 2. South Sudan
  • 1. Syria
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
 
Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??

Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list
 
Kwani hao "global think tank institute for economics and peace" wako wapi? Yawezekana kwao kiwango cha usalama kinatafsiriwa tofauti, inashangaza USA na South Africa kua hazimo
 
Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
  • 15. Nigeria
  • 14. North Korea
  • 13. Russia
  • 12. Democratic Republic of the Congo
  • 11. Pakistan
  • 10. Libya
  • 9. Sudan
  • 8. Ukraine
  • 7. Central African Republic
  • 6. Yemen
  • 5. Somalia
  • 4. Afghanistan
  • 3. Iraq
  • 2. South Sudan
  • 1. Syria
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
Naona nchi nyingi ni zileeee za ndugu zetu katika imani
 
Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??

Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list

Libya na DRC, zinafitishwa na hao wa magharibi halafu leo wanatuambia si salama, wanafiki ile mbaya.
 
Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??

Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list
Zingekuwepo sema kwa vile scope ya reportes ni 15 Burundi hayupo kwenye 15 bora. Wangeendelea ungekuta pengine ya 16
 
Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
  • 15. Nigeria
  • 14. North Korea
  • 13. Russia
  • 12. Democratic Republic of the Congo
  • 11. Pakistan
  • 10. Libya
  • 9. Sudan
  • 8. Ukraine
  • 7. Central African Republic
  • 6. Yemen
  • 5. Somalia
  • 4. Afghanistan
  • 3. Iraq
  • 2. South Sudan
  • 1. Syria
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
Mbona Marekani yenye bifu na mataifa mengi haijawekwa kwenye hiyo orodha?
 
Back
Top Bottom