Nchi 10 bora za Kiafrika kwa wanawake warembo

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
Top 10 African countries with most beautiful women.

1.Ethiopia
2.Eritrea
3.Somalia
4.Mali
5.Rwanda
6.Ghana
7.South Africa
8.Kenya
9.Nigeria
10.Uganda


Sijui ilikuwaje Rick Ross akaangukia kwa Mobeto


IMG_20211201_102856.jpg
 
Kwanin usiongeze na neno flan hapo la VVU na UKIMWI mana leo ni siku yake duniani tujadili na hao warembo ktk nchi hizo
 
Kwa tuliowahi kufika nchi hizo, tunakubali kweli Kenya na Uganda wametuzidi kwa Totoz. Mpaka utembee ndo mambo kama haya unayaelewa vzr.
Kwahiyo mwanetu ukaamua utuache solemba kwenye story yako ya south Africa ??
 
Wanawake wa Uganda wamejaaliwa maumbo ila kwenye muonekano ni wachache, wakenya siwezi waongelea hivyo ni upumbavu kusema wakenya na waganda wanazidi wanawake wa kitz kwa urembo .. itoshe tu kusema aliye leta hiyo list anakatwa na wamakonde
 
correction;
ondoa Nigeri
ondoa Uganda
ondoa kenya

:- Then
weka Tz
weka Djbout
weka morocco
weka misri

Tembeeni muone acheni kudanganywa na hayo malist ya wapuuzi wachache...Tz ina waremboo bna, ni vile tu hatuna wasemaji na mastar wa uwakika(diaspora) huko nje wakuifanya nchi yetu ionekane kati ya wanao onekana, Tz ni kama kisiwa chenye utajiri wa kila kitu, lkn hakijulkani, yaan kuna giza tu, wanaishia kujulkana majiran,

kiukwel kwa East afrika Tz inaweza kuwa nchi ya kwanza kwa warembo, maana Tanzania imeconclude makabila mengi na kufanya machotara wa kila sampuli kuwepo tofaut n hizo nchi zngne zenye vujikabila vichache,

uku Tz utawakuta wenye asili za kibantu na mishepu ya hatari, pia wenye asili za machotara kiarabu&kihindi, so huwez fanisha Tz na vitu vyakipuuzi kama Nigeria walikojaa wanawake sampuli ya aina moja, ama wakikuyu wa uko kenya
 
Back
Top Bottom