Nchemba ?

Hata wewe ungepanda ngazi mkuu tungekukumbuka tu.πŸ˜€
 
Nasikia kuna video ya mdinyano imevuja hapo chuoni kwenu.

Nami nasema 'CONNECTION' ili unitumie.
 
Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁

Britanicca
Habari kama hizi Chadema wanazipenda sana. Watashadidia udaku ambao hata hawajui chanzo chake ni nini, halafu baadae utawasikia, "Utambulisho wa Aziz Ki ulikuwa wa kutuondoa kwenye reli"! Pumbavu kabisa!!!
 
Wewe Jamaa inapaswa Upelekwe Mirembe Kwa ajili ya kupata Matibabu Maana naona una kila dalili ya magonjwa ya akili na kuanza kuchanganyikiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…