Nchemba naye CCM tumtazame upya

Nchemba naye CCM tumtazame upya

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Huyu naibu katibu mkuu wa chama chetu lazima tumtazame vinginevyo atakimaliza chama.

Uchaguzi wa kata nne za udiwani Arusha, alipoenda kule upepo ukabadilika na tukapigwa 4-0.

Uchaguzi wa jana maeneo yote alikopita Nchemba wiki jana,ccm imeangukia pua
Karatu alivikwa hadi uchief lakini jana matokeo mmhhh....
Bukoba mjini penye mitaa zaidi ya 60,ukawa wamebeba zaidi ya 40.
Biharamulo, Ngara,Ukerewe na kote alikopita tena wiki jana hali ya matokeo sio nzuri hata kidogo.

Lakini jamani jamaa zangu wa humu ambao huwa tunahakikisha ccm inatetewa ilimradi kila jioni tuchukue buku saba; wako wapi tangu jana mchana?
Ritz1,Lizaboni,Faizafox,Chabruma,Simiyu yetu,Mwana Diwani,T2015CCM,n.k njooni bwana chama jf kinaangamia
 
Hao uliowataja saa hizi wanamalizia dripu presha hazishuki. Kipigo hiki hakikuwa cha kitoto.
 
Tatizo sio Mwigulu Nchemba bali ni Ku- EXPIRE kwa lichama lenyewe tangu sera zake; uongozi mzima mpaka watendaji wote;
Mwigulu Nchemba ambaye kwa bahati njema sana; na Bwana apewe sifa kwa kumponya "tumour" katika ubongo wake akaanza kuyaona maisha katika mwanga bora! maana huko nyuma he used to be a loose Canon; shooting first and taking aim later! mtamlaumu na kuanzisha minyukano mipya kwenye lichama mfu; itakayowaharakisha kwenye kaburi!!

Anyway ushauri sio ushawishi; going by the trend and results katika hizi chaguzi za jana; UKAWA itaendelea kuwafunga mabao ya kisigino kwa kutumia makosa yenu;
THE SIGN IS ON THE BILLBOARD; IT IS THE BEGINING OF THE END FOR CCM; RIP
 
Huko kote alikopita alikuwa anajijenga yeye kisiasa....
bora chama kife lkn yeye awe msafi
 
Asante sana Singa Singa naomba ulete kubwa kuliko eskorooo!
 
Huyu naibu katibu mkuu wa chama chetu lazima tumtazame vinginevyo atakimaliza chama.

Uchaguzi wa kata nne za udiwani Arusha, alipoenda kule upepo ukabadilika na tukapigwa 4-0.

Uchaguzi wa jana maeneo yote alikopita Nchemba wiki jana,ccm imeangukia pua
Karatu alivikwa hadi uchief lakini jana matokeo mmhhh....
Bukoba mjini penye mitaa zaidi ya 60,ukawa wamebeba zaidi ya 40.
Biharamulo, Ngara,Ukerewe na kote alikopita tena wiki jana hali ya matokeo sio nzuri hata kidogo.

Lakini jamani jamaa zangu wa humu ambao huwa tunahakikisha ccm inatetewa ilimradi kila jioni tuchukue buku saba; wako wapi tangu jana mchana?
Ritz1,Lizaboni,Faizafox,Chabruma,Simiyu yetu,Mwana Diwani,T2015CCM,n.k njooni bwana chama jf kinaangamia

Juliana alikuwa na Nchemba aje ajibu kulikoni. Tena kwa dharau akatuwekea mapicha ya kote esp Karatu. Kiko wapi? Aibu zake.
 
iejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Nimekusoma vyema sana Faiza.
Niliona 'kimya' sana, nikaona nikushtue..!!
 
Nimesoma uzi mmoja hapa kwamba umefariki ghafla. Ni kweli?

iejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.
 
Niliona umati kwenye picha moja humu humu jf nakumbuka nilikoment picha moja nimeiona kutumika mikoa miwili tofauti. Nilikoment pia kwamba tusitizama picha bali tuzisome kwa maana ya wingi wa watoto wanashangaa nikauliza hapa mahala pana ubatizo? Niwape siri mkutano wa ccm wahuzuriaji wanaokuwa mbele kabisa huvaa unifomu za kijani hawa ni makada mkoa mzima si wapiga kura ,line inayofuata ni kina mama wa makamo na watoto mgongoni wengine wamesimama wenyewe na kwa mikutano ya kinana utakuta wanafunzi na sare za shule. Baada ya hapo utaona uwazi kisha makundi ya kina baba na na kwa mbali vikundi vingivingi vya vijana hawa ni ukawa wanakuwa wanamsoma mpinzani wao utathibitisha haya picha za mikutano ya viongozi wa ccm
 
iejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

"iejaa" ndio nini?.....

Endelea kusubiri meli airport.
 
iejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Kwahyo kunaweza kukatoka matokeo rasmi tofauti na yale ya wasimamizi wa vituo!!!!!!
Escrow imewamaliza akili ccm....
 
Anakopita huyu Mwigulu anakwenda kuwatakasa na kuwaosha na maovu aliyowasababishia enzi za uchizi na unajisi wake.Ukiona chizi kajitambua jua kapona,hata saa mbovu kuna muda inasema kweli.
 
nimejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Kwani bukoba kuna matokeo rasmi zaidi ya yaliyokwishatoka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom