Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Harafu we don't judge someone by higher GPA they hold we judge them by contribution they have to the society. Kuna mtu huwa anasema elimu ni kile kilichobaki kichwani sio vyeti ulivyonavyo, maana watu wanadesa kweli kweli na wanapata GPA kubwa kumbe hamna kitu.
 
you are very right mess,ndomana nasema politicians wanacheza na watu wenye uelewa mdogo!mtu ukiwa bright tunaona tu mawazo yako na contribution yako!
 
Mimi ni form Four Graduate lakini huyu Mwigulu Nchemba hawezi kufanya Debate yoyote na mimi hata inayohusu uchumi huo anaokariri kwamba yeye ni Mchumi Grade A.

Sijawahi kumsikia Lipumba akijitamba kwamba yeye ni Profesa wa uchumi, na nadhani hajui au ameshasau kwamba JK naye aligraduate Economics vilevile pale UDSM lakini kinachoendelea wote mnakiona .
 
Mbona unatoa utetezi? Si ungeshauri Kikao cha Kamati Kuu cha CDM kikumbushane kutafuta ushahidi dhidi ya Nchemba na si vinginevyo? Namshauri Mnyika aje humu na aombe mwenye ushahidi ammwagie...hatakosa hakika!

Sawa Mchemba kamshika pabaya Mnyika. Je ushahidi alioleta Godbless lema dhidi ya Pinda ka kulidanganya Bunge wakati wa vurugu za arusha ulishatolewa hadharani ....? Mnyika atauleta . Na bahati nzuri wapiga filimbi dhidi ya ya mafisadi wa benki kuu watoa ushahidi wa kutosha. A photo copies kibao. zipo kwenye stored yahoo.

Aendelee kushika pabaya tuone
 

nimeipenda hii comment sana, natumai mtoa uzi atakuwa amejifunza na si kushadadia mambo.
 
Ukiona mtu anajisifia kwa usomi, uzuri, mali, au sifa yoyote yake binafsi tena kwenye public, jua huyo mtu ni matatizo matupu, na kichwa kitupu. Mtu mwenye akili hawezi kujisifia. Watu ndo watampa sifa wanaomwangalia.
 

Utamweza Mwigulu Nchemba kwa masifa ndugu yangu?????......wasiojua wanaweza kudhani mchumi daraja la kwanza ni cheo kimeshushwa toka mawinguni.....Ahsante kwa ufafanuzi!
 
Ukiona mtu anajisifia kwa usomi, uzuri, mali, au sifa yoyote yake binafsi tena kwenye public, jua huyo mtu ni matatizo matupu, na kichwa kitupu. Mtu mwenye akili hawezi kujisifia. Watu ndo watampa sifa wanaomwangalia.

Mtu akijiamini hawezi kujisifia hata siku moja RUBERTS!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Mchumi I ni level ya Junior Officer serikalini. Kuna wanasiasa wanafikiri kuwa bado tupo karne ya 7 - kwamba unaweza kusema upuuzi wowote kwa watanzania wakakuamini. Tumeshatoka huko!
 
Mkuu hapo umejishusha tu ili kumdegrade jamaa au sio?
 


Mabwepande Master plan in action!
 
Katika wapuuzi wewe ni mmoja wao, nadhani unahitaji kujipanga upya ndio ulete mada hapa
 

Acha wivu wa kike ww, na kwenye amepasua vile vile ana AAAAA tupu, km mtu ni kilaza hawezi pata hizo, jamaa ni mashine na jembe atawasumbua sana sana huyu jamaa

 
unatoa ushauri kama nani wewe!mbona unajisahau hivi?mbona humshauri mkuu wako,kaa kimya usiwashwewashwe wewe utakunnwa pabaya!!tulia uzae usibwabwaje!
 
nimeipenda hii comment sana, natumai mtoa uzi atakuwa amejifunza na si kushadadia mambo.


hao waliotuhumiwa na lema pamoja na zitto hadi zikapelekwa ripoti, walishawahi kuomba ripoti zipelekwe haraka? soma tena thread yangu uielewe. ncemba amekua tofauti. amesimama leo na kumkumbusha mwemyekiti kuwa leo ndiyo siku ya saba. anataka huo ushahidi unaomhusisha na EPA uletwe! hili ni jambo la ajabu. kuwa great thinker. ni tofauti na mifano ya lema na zitto. yetu macho!
 

Kichwa maji kana baba yako dhaifi
 

Poor u!.....ss hapo pabaya alipomshika ni wapi?do u think mnyika mjinga kiasi cha kukurupuka kuongea asivyovijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…