NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

mkuu hapo kwenye red iwaje wapokee kiuwazi halafu wapeleke kimnya kimnya kwani kuna agenda gani kupeleka kimnya kimnya mkuu!!halafu kumbe umesema ni mtu mzima mbona sasa unatumia makalio badala ya ubongo kufikiria??
 
Chadema ni kama caterpiller linachonga barabara then magari yanafuatia kupita.
 
Hauwezi kuikataa posho kisha ukaielekeza iende wapi! Inarudi kwa anayekulipa hiyo posho. Na kama posho hii ipo kisheria ni makosa. Posho ni hiyari ya anaekulipa. Akitaka anaiondoa hata bila kukuuliza. Nawaomba Wabunge wetu wakatae makubwa zaidi ya haya na yapo wanayajua.
 
Wewe jamaa bana!! But anyhow, vyovyote iwavyo, CCM jueni tu kuwa mshapigwa bao 2015!!
Sijakataa hilo, kinachotakiwa ni hoja ndugu yangu. hata wewe jichunguze hapa ni jukwaa la great thinkers kwa hii comment yako jipime kama unastahili kuwepo humu jamvini, maana hutoi hoja umekaa kishabiki zaidi
 

Tatizo unachangia kitu usichojua, Katika M90, Milion45 ni mkopo na Milioni45 ni bure zitalipwa na Serikali, fanya uchunguzi usiwe shabiki nazungumza kitu ninachokifahamu.
 
Wacha kuwa mjinga Tshs.70,000 x 350 =24,500,000.00 haziwezi kuleta mabadiliko hata kwenye wizara ya afya? nadhani na wewe ni mmoja wa hayo magamba na ndio maana umekuwa kipofu na kiziwi. pole zako fisadi wewe.

Kama hoja ya zitto ni ya kitoto toa yako ya kikubwa tuione na tuisikie.

Maisha mapya naunga mkono hoja yako ya magari kwa wabunge .asante.


Delabuta; Nimepata shida kuielewa hoja yako ya kwanza hapo juu ila baada ya kusoma hizo zinazofuata nikaona ulikuwa unamjibu MwanaCCM ila uliacha alama ya kuuliza. Nimeiweka kwa red. Je ni sawa? Asante.
 
Kama Kaposho kenyewe ni kadogo kihivyo, mbona Mheshimiwa sana Chiligati anapiga kelele mpaka mishipa ya shingo zote inamsimama huku mate yakiruka mdomoni kuzitetea asiondolewe!

Mbona Wasira amedai kwamba zikiondolewa zitaondoa uwajibikaji kwa Wabunge wa CCM!

Wewe acha ujinga AMKA! Gamba wee!!
 
Elfu sabini ndogo? Unafahamu take home ya mshahara wa walimu?

Usikurupuke best, mwalimu unayemzungumzia ni yupi? hivi unajua kuna walimu wenye mishahara mikubwa kuliko Wahasibu na Madaktari? be specific man
 
M90 ni mkopo 70,000 ni fedha riali.

Kwa akili yako unataka wananchi wachukue M90 ili serikali iwadai baadaye??

Mkopo ni mkopo.
Uikikopa shs10 utalipa shs10 ukikopa shs M90 utalipa Shs M90 + %.
Mkopo si zawadi au tuzo, mkopo ni deni.
Si jambo labole hata kidogo kuwabebesha mkopo wananchi.
Hizo M90 wanazopewa wabunge wanalipa zote mpka centi ya mwisho.

Hata hivyo kwa Tafsiri ya CCM mkopo wa serikali ni zawadi na kamwe si deni.

 

Nia ya Zitto Kabwe siyo mbaya, ninapomuona ni mtoto ni pale anapotaka pesa zake ziwekwe kwenye account ya KDI ndipo anakosea kwani kwani kwa kufanya hivyo analiongezea majukumu bunge, kwanini asichukue hiyo pesa na aipeleke yeye? unapomuomba mtu akusaidie kazi fulani tegemea yes or no maana hilo ni jukumu jipya kwa wahasibu wa bunge
 

Usitake kuchekesha watu asubuhi hii. CCM walivyowapenda sifa wapeleke hela kimya kimya kwa wenyenchi bila kusindikizwa na makamera na waandishi wa habari? Mimi mbunge wangu ni wa ccm mbona sijawahi muona akitugawia hizo hela?
 
mkuu hapo kwenye red iwaje wapokee kiuwazi halafu wapeleke kimnya kimnya kwani kuna agenda gani kupeleka kimnya kimnya mkuu!!halafu kumbe umesema ni mtu mzima mbona sasa unatumia makalio badala ya ubongo kufikiria??

Naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa Ban naachana rasmi na JF.
 

We mjamaa kweli ni Mwana CCM!! kWELI HILI LINAHITAJI USOMI KUELEWA KUWA NI JAMBO JEMA?
Hebu imagine kuna wabunge 300, kila mmoja anapokea 70,000/= kama seating allowances kwa siku, na bunge linakaa kwa siku 10 tu!! Hesabu za haraka haraka zinaniambia kwamba ni shilingi za kitanzania 210,000,000/=
Kwa hesabu hiyo ndogo, imagine posho za vikao kwa miaka mitano zanafutwa.....Tutaokoa kiasi gani cha fedha kusaidia shughuli za maendeleo??

Naona gamba bado linakuelemea....
 
Wabunge wetu wagomee mambo ya maana yanayowaumiza waliowachagua sio hivyo viposho ambavyo vipo kikanuni tu. Kwa mfano wagome wenzao kuteuliwa kuwa mawaziri, wagomee ule mradi wa kujengewa nyumba zaidi ya 300 pale Dodoma, wagomee viti maalum vinavyoongezeka kwa kasi ya ajabu,.....
 
milioni 90 sio posho ni mkopo,wewe unaweza kuchukua mkopo benki halafu ukaenda kulipa mahali?matumizi ya mkopo ni juu yake matumizi sio kweli wabunge wa ccm wanapeleka fedha hizo kimyakimy je unajua kama kuna mfuko wa mbunb=ge wa jimbo na fedha wanazitoa huko?usitake kutuaminisha vitu ambavyo havipo,zitto atabaki kuwa juu kwa sababu ni kijana anayekwenda na fikra za vijana wa sasa sio unakubali tu bila kuchuja,uzembe wa serkali ya ccm ndio unampa zitoo umaarufu na msipokuwa makini hili nalo litawavuruga watarudi kwa tz kuwaambia mnaona posho wanavyojilipa mtapona hapo?badilikeni jamani mbona unachanganya mambo zinazokataliwa ni perdieum,je piga 70,000 mara wabunge 300 mara siku ambazo watakuwa dodoma unapata vitanda vingapi wodini,gloves ,mseto box ngapi zitto kafanya opportunity cost anataka hizo fedha ziwe spent otherwise,
 
Naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa Ban naachana rasmi na JF.
Ah! Unataka kususa kwa hilo tu! Kwani katumwa na uongozi wa JF kukutukana? Hiyo ni mbinu ya wengi humu kutaka kukuondoa kwenye hoja unayoisimamia na hasa inapokuwa na ukweli unaoumiza.
 
naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa ban naachana rasmi na jf.
hakika wewe mwanaccm hutumii kichwa mimi nadhani unatumia uti wa mgongo kufikiri ndio maana huwezi kuchambua vitu kwa kina upuuuzi kama huu peleka facebook hapa tunataka mijadala ya maana sana,unapokurupuka ndio utapata majibu kama haya,usihame jf ila sio lazima upost thread unaweza kubaki kuwa msomaji tu.
 

hawana ujanja Mwenyekiti wao Zitto akisema wao wanafuata mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…